TAA YA UMEME INAVYOWEZA KUZUIA MALARIA KWA KUNASA NA KUUA MBU
Utangulizi
Malaria ni miongoni mwa magonjwa ambayo yamekuwa tatizo kubwa na umekuwa ukiuua watu miaka hadi miaka. Malaria...
AfCTA ni wazo ambalo lilizaliwa mwaka 2018 na umoja wa Afrika, na limeanza kufanya kazi kuanzia tarehe 1 januari mwaka 2021. Huu ni mpango ambao ulianzishwa na umoja wa Afrika huku dhamira kuu...
I. Utangulizi
Katiba ni msingi wa utawala bora na demokrasia katika jamii yoyote. Inaamua muundo wa serikali, haki na uhuru wa wananchi, na majukumu ya viongozi. Katika Tanzania, kama ilivyo...
Ndugu wasomaji, ni wazi kwamba mapenzi mahala pake ni moyoni, na upendo wa kweli haufichiki, mtu akipenda ni ngumu sana kujizuia kutoa upendeleo kwa ampendae. Ukiambiwa tu "nakupenda" mwili wote...
Ni majengo makubwa makubwa, yenye thamani ya mamilioni ya shilingi yakiwa yamewekezwa. Ndani yake kuna mitambo ya aina mbalimbali yenye kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotumika katika maisha ya...
KARMA NA UONGOZI: JINSI MATENDO YETU YANAVYOATHIRI JAMII
Imeandikwa na: Mwl.RCT
****************
Kuna kijiji kimoja kilichokuwa kikiishi katika umaskini mkubwa na matatizo mengi. Kiongozi wao...
I. Utangulizi
Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na taasisi za juu za elimu zina jukumu kubwa katika kutoa elimu bora na kuandaa wahitimu wenye ujuzi na uwezo wa kuchangia...
Habari jukwaa,
Dunia ina mabara saba ambayo yameruhusu watu kuweka maskani yao, hapo tunamzungumzia bara la Asia, Afrika, Ulaya, Australia, Amerika ya kusini, Amerika ya Kaskazini pamoja na...
Naitwa Bonte ni tembo ninayeishi kwenye hifadhi ya taifa ya Serengeti, Tanzania, ni miaka kumi sasa tangu mama na baba yangu walipoteza maisha mara baada ya kuingia kwenye mtego uliotegwa na...
Tumeaminishwa kwa kipindi kirefu sana juu ya umuhimu wa kijana katika taifa linaloendelea. Tumeambiwa kuwa kijana ni nguvu ya taifa la sasa na lijalo, na kuwa ni juu ya kijana kuendeleza taifa...
Mbinu za Kuwavuta Watu kwa Shetani kwa Kutumia Nyimbo za Kidini Zenye Midundo ya Shetani
Utangulizi:
Katika ulimwengu wetu wa kisasa, kumekuwa na kuibuka kwa kundi la watu wanaotumia mbinu...
UTANGULIZI.
Macho na Masikio ni milango muhimu ya fahamu inayotumika mara nyingi zaidi,Ikitokea ikapoteza uwezo wa kufanya kazi basi inakuwa changamoto kwa muhusika kupata haki zake za msingi kama...
UWAZI NA UADILIFU: NGUVU YA UONGOZI BORA KATIKA KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA JAMII.
Imeandikwa na: MwlRCT
Uongozi ni nguzo muhimu katika jamii yoyote. Ni kupitia uongozi bora ndipo jamii...
NGUVU YA SANAA KATIKA KUCHOCHEA MABADILIKO CHANYA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Sanaa ni lugha ya ulimwengu ambayo inaweza kutumika kuelezea hisia, mawazo na ujumbe mbalimbali. Katika andiko...
Habari,
Dodoma, Tanzania - Kuna taarifa ya kusisimua inayosambaa kote nchini kuhusu lugha ya ajabu inayozungumzwa kwenye Nyumba Mpya Nyeupe. Lugha hii ya ajabu imekuwa chanzo cha mabadiliko yenye...
TUMPE MAUA YAKE MHE. SAMIA
( picha kwa hisani ya Ikulu.go.tz)
UTANGULIZI
Andiko hili limelenga kumpa maua yake mhe. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake jadidi wa nchi yetu ya Tanzania. Naomba...
Kuna kauli imezoeleka sana ya "jicho la tatu". Kuangalia au kufikiria jambo kwa jicho la tatu ndio jambo nalotaka kulifikisha mahala husika. Kauli hii inamaana ya kufikiria jambo kwa undani na...
Kila mtu siku moja atakuwa mzee. Nguvu tulizo nazo hazitadumu daima; kutembea kwa nguvu, kufikiri kwa kasi, macho yetu kuona mbali, vyote; uwezo wake utayoyoma na kupungua kabisa. Huo ndio utakuwa...
Habarini wakuu!
Rushwa. Ufisadi, uhujumu uchumi na ubadhirifu wa mali za umma, ukandamizaji na ubinyaji wa haki za binadamu ikiwemo uhuru wa vyombo ya habari,Upindishaji wa haki na sheria...
Kutokana na madhara yanayoendelea kuwapata watu kutokana na mafundisho au maelekezo ya baadhi ya Viongozi wa Dini kwa ajili ya kutimiza haja zao au kutimiza mahitaji yao na matamanio ya mioyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.