Tarehe 28 Machi 2022, Mahakama ya Rufani Tanzania (CAT) kupitia hukumu ya kesi ya Rufaa ya TANZANIA POSTS CORPORATION dhidi ya DOMINIC A. KALANGI (Rufaa ya Madai Na. 12 ya 2022) [2022]...
Maisha ya siku hizi yamegubikwa na vitu vingi sana ambavyo kiuhalisia vinaficha uhalisia wa maisha yetu waafrika, Ninaweza kusema kuwa haya ndiyo maendeleo lakini isifike mahali tukasahau kabisa...
Je, Umewahi kujiuliza, kwa nini baadhi ya familia watoto wanakuwa na maadili mema, huku nyingine wakiwa na tabia mbaya?
Jibu lipo wazi, Binadamu unaweza kuandaa aina ya mtu/mtoto unayemtaka, kwa...
Ni ndoto yakila mtu kuwa na mahali ambapo patampatia ujira ambao utaweza kuyamudu maisha yake, mara nyingi tunapozungumzia neno ajira huwa tunazungumzia watu waliopata elimu juu ya jambo fulani...
NATAMANI KIKOSI KAZI KILICHOUNDWA NA WAZIRI MKUU,TRA na SERIKALI WANGEWEZA KUTATUA TATIZO LA PENATI KWA KUTO KUFANYA FILING ZA P.A.YE,SDL,VAT, MAKADIRIO, NA RITANI ZA MWAKA KWA KAMPUNI/BIASHARA...
Katiba ya nchi ni nyaraka muhimu sana katika kuhakikisha uwajibikaji na utawala bora. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi katika utekelezaji wa katiba hii, ambazo zinahitaji hatua za haraka kutoka...
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kujenga nchi yenye maendeleo endelevu na ustawi wa wananchi. Kupitia uwajibikaji na utawala bora, serikali inawajibika kwa wananchi na...
CHANGAMOTO ZA KUFANIKIWA KATIKA ELIMU NA MAISHA YA KIJAMII NCHINI TANZANIA: USHAURI NA HATUA ZA KUKABILIANA NAZO
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Utangulizi: Mafanikio katika elimu na maisha ya kijamii ni...
Kilimo ni sayansi ya mifumo ya uzalishaji mimea, ufugaji wa wanyama , na uvuvi wa samaki. Mara nyingi kilimo cha mimea kinaenda sambamba na ufugaji wa wanyama, sababu kuna kutegemeana kati ya...
Uwajibikaji na utawala bora ni nguzo muhimu kwa maendeleo na maendeleo ya taifa lolote lile. Nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi, mambo haya mawili yamekuwa changamoto kubwa...
Kinachoshindikana kwa guides kugoma ni nini ?
Tuna tozo umiza kupitiliza... Kumbukeni kazi yetu sio Biashara ni hiduma kutangaza vivutio vyetu Tanzania , na tunaitwa Mabalozi ... na ndivyo...
UTANGULIZI
MB2 ni kifupisho cha “MAGIC BALLOT BOX”, ni sanduku maalumu la kupigia kura ambalo litakuwa na sifa za kipekee ambazo zimelenga kuzuia udanganyifu katika zoezi zima la kupiga kura na...
Habari ndugu msomaji. Ningependa tukumbushane jambo la muhimu sana tunalopaswa kujifunza na kuzingatia katika maisha.
Kuna baadhi ya misemo inaonekana kama imezoeleka lakini ina maana kubwa sana...
Salaam
(Namfahamu Mama nijasiri, anaondoa Utando unapodandia kuta,anatoa nyoka makatili,anapambana na majangiri wanapovamia nyumba,anaweka paa juu ya vichwa,sikuogopa njaa -nilishiba,Niliona...
Mwaka 1990 mwandishi Ralph Epperson alichapisha kitabu kinachoitwa “The New World Order.” Katika ukurasa wa 10 wa kitabu hicho kuna maandiko yanayosomeka:
“New World Order inajuimisha mabadiliko...
Miaka mingi inapita na kila ripoti ya CAG inaposomwa inabainisha kiasi kikubwa cha fedha kinachopotea au kutumika kwa ubadhirifu. Mfano, sehemu ya ripoti ya mwaka 2021/2022 imebaini mianya ya...
UTANGULIZI
Uadilifu ni hali ya kuwa mwaminifu na kuzingatia kanuni zote za kimaadili katika jamii inayokuzunguka.
Kwa upande mwingine, utawala bora lazima uwe na uadilifu ndani yake.
Jamii...
Sensa ya watu na makazi ni zoezi muhimu sana katika kuhakikisha kuwa serikali inapata taarifa sahihi za idadi ya watu na makazi katika nchi. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kubwa katika suala...
Utoro wa wanafunzi mashuleni ni tatizo kubwa ambalo linahitaji kushughulikiwa kwa dhati katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Tatizo hili linasababisha athari mbalimbali ikiwemo kupungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.