Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

18 Votes
Kuna ukakasi fulani kuhusu matumaini; yanakufanya uamini utamu unaowezekana- ikiwa tu uking’ang’ania zaidi- kabla hujavunjika moyo. Kisha yanachipua tena, na muda huu- kama tochi yenye betri...
17 Reactions
5 Replies
714 Views
Upvote 18
6 Votes
HABARI WADAU Natumai mu wazima, nimefurahia kujitokeza tena kwenye kinyang'anyiro cha shindano hili hapa jukwaani. Nijikite kwenye mada tajwa hapo juu isemayo: "Uwajibikaji mahali pa kazi hulete...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Upvote 6
30 Votes
Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo...
19 Reactions
34 Replies
3K Views
Upvote 30
9 Votes
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza nini maana ya elimu wa kidato cha tano na sita (yaani "Advanced Level"), nilikuwa sipati majibu zaidi ya kwamba ni daraja la kujiunga na chuo kikuu (kama ufaulu...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Upvote 9
5 Votes
Constantine J. Samali Mauki Utangulizi Nikiwa mtoto, nilijua watu wanaosafiri kwa ndege ni watalii (kwa maana ya wazungu), matajiri, na viongozi wakubwa wa Serikali. Nilipokuwa mkubwa na mpaka...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Upvote 5
5 Votes
Utaratibu wa uteuzi kwa jinsi mamlaka husika itakavyoona inafaa huenda ulifaa sana miaka ya zamani kutokana na uhaba wa wasomi na sababu za kiusalama. Kwa miaka ya sasa ambapo mbinu za kiusalama...
4 Reactions
4 Replies
606 Views
Upvote 5
16 Votes
Uboreshaji wa Mfumo na Muongozo wa Utoaji wa Taarifa za Serikali nchini Tanzania. Utangulizi. Habari ndugu wana JamiiForums! Karibuni tujumuike katika chapisho hili lenye lengo la kuchunguza na...
3 Reactions
18 Replies
958 Views
Upvote 16
5 Votes
Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili vijana nchini Tanzania. Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Ajira (NEMA) zinaonyesha kuwa asilimia 16.1 ya vijana nchini Tanzania...
4 Reactions
3 Replies
566 Views
Upvote 5
2 Votes
A: UTANGULIZI. Usafiri ni hali ya kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa madhumuni mbalimbali. Maendeleo ni hali ya kukua kifikra, kiuchumi, siasa, kijamii au kiutamaduni kutoka...
1 Reactions
3 Replies
626 Views
Upvote 2
92 Votes
UTANGULIZI. Maafa ni madhara yanayotokana na janga ambayo yanajumuisha uharibifu wa mfumo wa kawaida katika jamii ambao husababisha vifo, majeraha, madhara ya kisaikolojia,, upotevu au uharibifu...
83 Reactions
11 Replies
1K Views
Upvote 92
11 Votes
1/2: 𝐌𝐚𝐞𝐥𝐞𝐳𝐨 𝐲𝐚 𝐛𝐢𝐝𝐡𝐚𝐚 𝐧𝐚/𝐚𝐮 𝐡𝐮𝐝𝐮𝐦𝐚 𝐉𝐞, 𝐔𝐦𝐞𝐰𝐚𝐡𝐢 𝐊𝐮𝐟𝐢𝐤𝐢𝐫𝐢𝐚 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐁𝐢𝐥𝐚 𝐊𝐢𝐥𝐢𝐦𝐨? 𝐇𝐞𝐛𝐮 𝐓𝐮𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐞 𝐧𝐚 𝐒𝐚𝐟𝐚𝐫𝐢 𝐲𝐚 𝐊𝐮𝐬𝐢𝐬𝐢𝐦𝐮𝐚;- Hivi karibuni, changamoto kubwa anayokabiliana nayo mkulima mdogo sio katika...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Upvote 11
14 Votes
Mapungufu na mapendekezo usafiri wa Mabasi yaendayo kasi(UDART) nchini Tanzania Heshima zenu wote Wakuu, UTANGULIZI Binafsi nikiwa mmoja kati ya wasafiri wanaotumia mabasi yaendayo kasi...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Upvote 14
5 Votes
Kijiji kidogo Magharibi mwa Tanzania kilikumbwa na changamoto ya ukame na upungufu wa mavuno. Kundi la vijana chini ya uongozi wa Juma liliongoza harakati za kuleta mabadiliko. Walianzisha kilimo...
3 Reactions
4 Replies
502 Views
Upvote 5
12 Votes
UTANGULIZI Imetokea mara nyingi tumesikia Rais akiteua au kuchangua watu mbalimbali kushika nyadhifa serikalini au pengine watu kuitwa kwenye usaili wa kazi ili kuchambua na kupata wafanyakazi...
5 Reactions
12 Replies
784 Views
Upvote 12
16 Votes
Picha; The chanzo. UTANGULIZI Nchi zote duniani ikiwemo Tanzania, hofu ya ustawi wa maliasili inazidi kuongezeka kutokana na wimbi la ongezeko la watu duniani na changamoto ya mabadiliko ya tabia...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Upvote 16
31 Votes
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika maendeleo ya nchi yoyote, na sekta ya kilimo haipo nyuma. Tanzania, kama nchi inayotegemea kilimo kwa kiasi kikubwa katika uchumi wake, inahitaji...
31 Reactions
21 Replies
1K Views
Upvote 31
31 Votes
Sensa ya watu na makazi ni zoezi muhimu linalofanywa na serikali kwa lengo la kukusanya takwimu sahihi na za kina kuhusu idadi ya watu na makazi, na tabia zao. Sensa hutoa taarifa muhimu kwa...
30 Reactions
16 Replies
1K Views
Upvote 31
34 Votes
Mabadiliko yanayoweza kufanyika kwenye mazingira ili kuchochea utawala bora au uwajibikaji Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Katika...
31 Reactions
19 Replies
1K Views
Upvote 34
55 Votes
Kwa mataifa mengi duniani, imekuwa kawaida watawala kutumia mifumo ya kiutawala inayokiuka misingi ya utawala bora. Katika kukuza na kudumisha utawala unao zingatia zaidi uhuru wa kujieleza...
30 Reactions
101 Replies
4K Views
Upvote 55
1 Vote
UHAMISHO WA KUBADILISHANA UNAWANYIMA HAKI WATUMISHI Nikiwa kama mkereketwa sipendezwi sana na mfumo wa watumishi kuhama (hasa walimu) wanapohitaji kuhama kwa lengo la kupata changamoto mpya na...
0 Reactions
3 Replies
758 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom