Baada ya miezi mitano (5) tangu Msimu wa Nne wa Stories of Change 2024 ulipotangazwa, kuanza na baadaye kufuatiwa mchakato wa Majaji kufanya uhakiki wa Vigezo vilivyowekwa, hatimaye usiku wa leo...
Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register
Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’.
Mshiriki atatakiwa kutaja...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE”
JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za...
Sekta ya nishati na madini ni moja kati ya sekta muhimu na inayogusa maisha ya mwananchi mmoja mmoja hata mwananchi wa kipato cha chini.
Moja ya bidhaa za sekta hii ni mafuta ya petrol na dizel...
Soya ni zao jamii ya mboga mboga ambayo ni jamii ya mikunde, maaragwe.Hii ni nafaka ambayo hulimwa baadhi ya mikoa nchini Tanzania na hata nje ya nchi pia, mfano baadhi ya mikoa ni Tabora na...
From Savanna to Silicon: Tanzania's Unlikely Tech Hub Transformation
Introduction
As the sun rises over Tanzania's vast Serengeti, casting long shadows across the savanna, a different kind of...
Mimi nashauri MAMLAKA YA VITAMBULISHO (NIDA) kuangaliwa upya kwa maslahi mapana ya taifa letu kwa sababu zifuatazo;
1. Endapo kuna makosa yamefanyika wakati wa usajili wa mwananchi hasa makosa ya...
Kwa upekee kabisa nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa uongozi wa JF kwa kutuletea jukwaa hili.
Nirudi kwenye mada tajwa hapo juu kuhusu Serikali kutoa mkopo kwa wahitimu wa vyuo vikuu...
Dunia iko katika mapinduzi ya nne ya viwanda ambapo msingi wake mkubwa ni Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHEMA), Maendeleo ya Teknolojia na Mawasiliano yameleta mambo mengi sana duniani...
UTANGULIZI
Mafanikio siku zote hayaendi kwa watu wanaosubiria hali au mazingira yawe kamili ,
Bali mafanikio huenda kwa wale wanaojitoa na kufanyia kazi mambo au fursa zote zinazokuja mbele yao...
SULUHISHO LA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA RASMI KWA VIJANA NCHINI TANZANIA.
Ndoto ya kila mzazi au mlezi ni kuona kijana anapata ajira rasmi mara tu anapohitimu masomo yake.Huku ajira ya serikalini...
Story of change yangu ni;
"Nashauri serikali ifikirie kuwa na utaratibu wa kuwa na online system ambayo Traffic anaweza kuona leseni ya dereva, hata dereva mwenyewe awe anaweza kuona leseni yake...
Climate-Smart Coffee: A 10-Year Vision for a Resilient and Sustainable Coffee Sector in Tanzania
1. From Crisis to Opportunity: Tanzania's Coffee Sector in 2023
Tanzania's coffee sector is at a...
Utangulizi
Burundi ni moja kati ya nchi ambayo ipo Mashariki Kusini mwa nchi ya Tanzania, Kaskazini imepakana na inchi ya Rwanda, Upande wa Magharibi imepakana na Inchi ya Jamuhuri ya watu wa...
Tanzania ni moja ya wazalisahi wa Pamba hapa Africa ikiwa sambamba na chi kama Benin, Ivory coast, Burkina Faso, Cameroon, Sudan, Mali, na Nigeria na South Africa.Tanzania inatajwa kuazlisha tani...
Utangulizi
Akizungumza kwenye Kongamano la Usugu wa Vimelea vya Magonjwa Dhidi ya dawa (UVIMADA), Novemba 17, 2023, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alinukuliwa akisema takwimu za mwaka 2019 zinaonesha...
Educational institutions have long controlled the function of learning, whereas researchers, instructors & individual learners have almost no independence for the learning process & outputs.
With...
Utangulizi:
Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru...
Introduction
Healthcare services are essential for the well-being of any society. Tanzania has made commendable progress in improving its healthcare sector, yet significant challenges persist...
STORY CHANGE YA URAIBU WA MICHEZO YA BAHATI NASIBU
Nguvu ya uchumi ndio sauti pekee katika Taifa lolote Duniani, hata hivyo wazalishaji wakuu wa uchumii ni vijana , kwa kutambua umuhimu wa...
Kila mwaka wa fedha, serikali huandaa na kuweka wazi makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha unaofuata. Licha ya umuhimu wake, swali kubwa linabaki kuwa ni kwa kiasi gani wananchi...
UTANGULIZI
Miaka 15 iliyopita tulikumbana na wimbi kubwa la kushuka kwa tasnia ya filamu na michezo ya kuigiza hapa nchini Tanzania,sababu kubwa hasa ilikuwa Ni mabadiliko ya kiteknolojia ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akiongoza Tanzania katika wakati wa mabadiliko makubwa, akilenga kuleta maendeleo na ustawi kwa nchi yake. Mojawapo ya mikakati ambayo Rais Samia ameifanya ni...