The City of the Future: Designing Inclusive and Resilient Urban Spaces in Tanzania - A Vision for 2050
Tanzania stands at a pivotal moment in its urban development journey. Our vibrant cities...
Tanzania imeendelea kuungana na mataifa mengine mengi hasa yanayo endelea kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira hasa Kwa vijana. Uwepo wa tatizo la ajira katika mataifa mbalimbali duniani...
UTANGULIZI
Hali halisi ya Tanzania: Chanzo cha taarifa: Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu (OHCHR) ya Septemba 2023.
Kesi za Unyanyasaji wa Kingono: Idadi ya kesi za...
MTU MMOJA TU ASIYE NA SIFA ANAPOANDIKISHWA KUPIGA KURA ANAWEZA KUVURUGA UCHAGUZI MZIMA
Utangulizi
Kwa mujibu wa kifungu cha 10 cha sheria ya taifa ya uchaguzi, sura ya 343 pamoja na kifungu cha...
Kutokana na uhitaji wa lazima wa mifumo ya kisasa ya taaluma na utoaji wa ajira, ninashauri pawepo na mfumo wa kidijitali wa uhifadhi na upatikanaji wa vyeti vya elimu (accessibility and...
utanguizi.
Mmomonyoko wa maadili si neno geni hata kwa sikio jipya. Ki falsafa mmomonyoko wa maadili ni ukiukwaji wa utamaduni mama uliokuwa sahihi ki msingi; ni kinyume na kila utaratibu wa utu...
Ni wazi mpira wetu wa miguu Tanzania bara kwa sasa umekuwa, lakini kukuwa bila ya ongezeko la usajiri kwa wachezaji wazawa nje na ndani ya nchi ni kazi bure. Maana haitasaidia kwenye ongezeko la...
Ninaguswa sana ninaposikia stori za watoto kubakwa au kulaitiwa na ndugu au mwalimu au jirani.
Tafiti zinaonyesha watoto wengi wanaofanyiwa vitu vibaya ni wale ambao hawana sauti yaani...
Utunzaji wa mazingira na maliasili zetu kwa kizazi kijacho.
Serikali kwa ujumla imekuwa ikiweka mikakati mbali mbali na uundwaji wa sera zitakazowezesha utunzaji wa mazingira na maliasili...
Licha ya umuhimu wa kazi wanayofanya, watendaji wengi wa utawala wa kidemokrasia wanaofanya kazi na asasi za kiraia wanakabiliwa na udhaifu mkubwa wa uwezo wa ndani wa kuendesha ofisi kuwa...
Tarehe tano (5) mwezi juni kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya mazingira ikiwa lengo lake ni kuleta pamoja mamilioni ya watu duniani kote na kuwashirikisha kwenye jitihada za kutunza na...
Chanzo: wordvision.org/blog
Utangulizi
Tanzania ni nchi iliyojaaliwa rasilimali maji za kutosha kama mito, maziwa na vyanzo vya maji chini ya ardhi. Licha ya ukwasi wa rasilimali hizi takwimu...
Tanzania ni Miongoni mwa nchi ambazo zinavyuo na taasisi zilizo na wataalamu wazuri wa utayarishaji mifumo mbalimbali kwa njia ya tehama mfano tume ya sayansi na teknolojia COSTECH, vyuo km DIT...
Natanguliza samahani kwa uwandishi wangu wengu wenye lafudhi ya mkoani tabora pia samahani kwa uwandishi mbovu kulingana na elimu yangu kuwa dogo.
Kwa jina wanalo tumia kunita ni Timotheo kiss...
Yamkini tukiweza kuruhusu na kufungua sehemu nyingi za kiuchumi kufanya kazi usiku na mchana tutaongeza wigo kubwa la kuwapatia nafasi wasiokuwa na ajira kupata ajira.
Tukiachilia hivi karibuni...
According to the current trends in the market of sheep and goat sector, it shows that this business is at a critical stage in its development, and it is of utmost urgency to halt its decline, even...
Our long-term vision for Tanzania by 2050 is to be the best place to live, learn, work, and do business. We want our businesses, our public services, the private sector and Government to have...
Katika falsafa ya kibudha, lengo la elimu linafunganishwa kwa karibu na lengo pana la maisha ya mwanadamu, ambao ni kupatikana kwa mwanga au ukombozi kutoka katika mateso na kukomaa kiakili...
Someone will think about the future. It had better be us. Imagine that it’s 7am, January 1, 2050.What world would you be waking up to? What world would you want to wake up to?
Obviously, no human...
Despite women breaking barriers in science, technology, engineering, and mathematics (STEM) occupations and some overcoming obstacles in leadership roles, the transformation of the gender...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.