Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru sana MWENYENZI MUNGU atupaye afya,nguvu,neema na kibali siku hadi siku kwenye majukumu yetu yote.
Pili nitumie uwanja huu kulishukuru jukwaa la Jamiiforums kwa...
UTANGULIZI
khairooni ni kijan wa kike aliyeamua thubutu na kujiamin kupambania karamu yake juu ya kutengeneza tanzania. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyez mungu kwa kunipa uhai na afya .pia...
Ajira kwa vijana ni suala nyeti na muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya Tanzania. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022, zaidi ya nusu ya idadi ya watu nchini Tanzania ni vijana wenye umri...
Tanzania ni taifa linalo patikana mashariki mwa bara la Afrika liki tumia Lugha ya kiswahili katika mawasiliano baina ya mtu mmoja na mtu mwingine , Taifa hili lime tawaliwa na viongozi tofauti...
Rasilimali ; rasilimali kama vile madini , mito , bahari ,maziwa , misitu, ardhi
Rasilimali ni vitu au mbinu ambazo tunatumia kufanikisha shughuli zetu au mahitaji yetu. Na kujisikia ufahari na...
Chazo Jukwaa la vijana 2016.
Kukata tamaa kwa vijana wa miaka 30 hadi 35 ni tatizo linalozidi kuonekana katika jamii nyingi. Hii ni umri ambapo vijana wengi wanatarajiwa kuwa wamejenga msingi...
Kijana ni umri wa ukuaji wa mwanadamu unaokadiliwa ni kuanzia miaka 16-45.Huu ni umri ambao mwanadamu huwa anakuwa na uwezo zaidi wa mambo mbalimbali ukilinganisha na umri aliotoka nyuma yake...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari ya kuleta mabadiliko katika sekta mbalimbali, zikiwemo nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiteknolojia. Mabadiliko haya chanya...
Tanzania niiyakayo mimi ni ile yenye vipaumbele vya maeneo kadhaa na ntaichanganua kama ifuatavyo:
Elimu; eneo hili kwa Tanzania niitakayo linatakiwa kuwa na mikakati madhubuti na iwe na mambo...
Tanzania ya baadaye inaangazia mwelekeo wa uchumi endelevu unaoweka msisitizo mkubwa katika kuleta fursa za ajira na ujasiriamali kwa vijana. Kupitia mipango ya kibunifu na utekelezaji wa sera...
Nchi nyingi Duniani zina mambo zinayoyafanya kwa upekee na ueledi mkubwa jambo linazozipa nafasi ya kutegemewa Duniani. Mathalani zipo nchi kama Korea zinazotegemewa kwa uzalishaji wa vifaa vya...
Tanzania niitakayo ambayo itatengenezwa na watanzania wenyewe bila kutegemea misaada ya wahisani wenye masharti na vigezo visivyo na ladha ya kitanzania.
1. Tanzania ya wakulima ambao wanalima...
Moja ya changamoto kubwa nchi Tanzania ni mmomnyoko wa maadili kwa watanzania hasa vijana wengi wa kizazi hiki unaotokana na ukuaji wa teknolojia ya habari na mawasiliano(UTANDAWAZI).
Tukiwa kama...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali.
Elimu ni nyanja muhimu sana katika...
THE STORY OF CHANGE
TANZANIA YANGU MIAKA 5-25 IJAYO (UDHIBITI WA RASILIMALI FEDHA YA WANANCHI)
Tanzania ni nchi nzuri sana iliyo na watu wazuri na imesheheni rasilimali na utajiri mwingi lakini...
TANZANIA IJAYO ISAIDIA WATANZANIA KUPATA KAZI NJE YA NCHI ILI KUKUZA PATO LA TAIFA.
Diaspora ni moja ya wachangiaji wakubwa sana wa GDP ya nchi zingine hapa Duniani, Kenya wana kitengo ndani ya...
Miaka ya nyuma kidogo ilikua ni changamoto kubwa kuona wanawake wakishiriki kwenye siasa , lakini siku za karibuni sio jambo jipya sana japo Bado ushiriki wao sio wa kuridhisha lakini tumeona...
Sheria zote hapa duniani huwa zinatungwa na Mabunge ili kuleta manufaa kwenye jamii. Hii ikimaanisha kuwa mtu akivunja sheria iliyotungwa na Bunge basi ataweza kujifunza na kuogopa kutenda kosa...
1. Kama tunaitaji kusonga mbele kimaendele, Yani maendeleo ya inchi nikimanisha miundombinu ,afya ,ajila mawasiliano na maendeleo ya mtu moja moja tunaitaji wawakilishi wetu bungeni wawe ni watu...