I. A Coast Adrift: Challenges and a Vision for Change
The azure waters lapping Tanzania's shores hold a story of stark contrasts. While tourists marvel at pristine beaches and vibrant marine...
Pendekezo la Kuongeza Matumizi ya TZS na Kupunguza Matumizi ya USD kwa Miaka 25 Ijayo
Utangulizi
Kufikia Tanzania tunayoitaka inahitaji mikakati madhubuti ya kuimarisha ustawi wa uchumi. Moja ya...
Kwa miaka mingi sana Tanzania imekua ikipambana na watu wenye imani potofu juu ya watu wenye ualbino( albinism). Watu wanatakiwa kujua kwamba albino ni sawa na binadamu wengine ikiwa tu yeye...
Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka venye uhai na visivyo na uhai kama nyumba,mimea,watu,wanyama,hewa nakadhalika.
Mazingira machafu yanaweza kuongeza usambaaji wa magonjwa ya mlipuko kwa...
STORY OF CHANGE
NINI CHA KUFANYA ILI KUBORESHA SEKTA YA AFYA KATIKA MIAKA 5 IJAYO NA KUENDELEA
UTANGULIZI
Tanzania ya Sasa Imeendelea Katika Sekta mbalimbali Tofauti na hapo Mwanzo katika Miaka...
Maendeleo ya kimkakati ya miundombinu ya usafirishaji ni muhimu kwa mustakabali wa Tanzania. Kwa kuzingatia miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo, tunahitaji maono ya kibunifu ambayo yanaweza kufanikisha...
Tumeona miradi mikubwa ya maendeleo ikijengwa nchini, kutoka barabara za kisasa hadi viwanja vya ndege vya kimataifa. Miundombinu hii inaashiria maendeleo, lakini nyuma ya pazia, kuna ukweli...
Utangulizi
Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuboresha sekta ya afya kwa miaka kadhaa iliyopita, lakini bado kuna changamoto nyingi zinazohitaji ufumbuzi wa kibunifu ili kufikia afya bora kwa...
Utangulizi
Tanzania ina hazina kubwa ya maliasili na rasilimali watu ambayo inaweza kutumika kuleta maendeleo endelevu. Katika miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo, tunaweza kuona mabadiliko makubwa ikiwa...
Ili kifikia Tanzania tuitakayo yabidi yafuatayo yafanyike
Kuboresha miundo mbinu vijijini na mijini kwa mfano Barbara, hospitari, na hata kwenye miundo mbinu ya uchumi wa nchi, na hii itawezeaha...
Elimu
Miaka 5: Kuongeza upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia na kufundishia, pamoja na ujenzi wa madarasa mapya ili kupunguza msongamano. Kuweka mfumo wa usambazaji wa vitabu na vifaa vya kisasa...
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi Tanzania, idadi ya watu ilifikia, 61,741,120(milioni sitini na moja, mia saba arobaini na moja elfu na mia ishiri) huku ikiorodheshwa kuwa miongoni mwa...
The Quantum Leap: Revolutionizing Tanzanian Democracy through Women's Political Empowerment
Tanzania faces ongoing challenges such as poverty and inequality, highlighting the need for a new...
In Tanzania, education is a cornerstone for sustainable development, serving as the foundation for a progressive society. Presently, parents with children in public schools are relieved of school...
😭NANI WA KUPENDA TAIFA LETU KAMA TUNAVYOPENDA VYAMA VYETU VYA SIASA?😭
Taifa au chama?
Kila nikiangalia sioni natafuta sijapata bado, sio wazee, vijana hata watoto kila moja mahaba kwa vyama vyao...
Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 25 Ijayo;
Utangulizi
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi na nguvu kazi kubwa. Kwa maono ya kibunifu na mipango endelevu, tunaweza kuibadili...
1. Utangulizi Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili na urithi wa kitamaduni, ina nafasi kubwa ya kujiimarisha kiuchumi na kijamii katika miaka ijayo. Andiko hili linatoa mawazo bunifu juu ya...
Tanzania tunayoitaka kwa miaka 5 mpaka 25 ijayo ni nchi yenye maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa, ambayo inawapa raia wake fursa za maisha bora na matumaini ya baadaye yenye mafanikio...
Upatikanaji wa Taulo za kike (ped) bule Kwa mabinti kuanzia shule za msingi Hadi kidato cha Sita
Serikali haijaingiza swala la upatikanaji wa Taulo za kike Kwa wanafunzi kama kipaumbele kimojawapo...
Enyi watoto wa Kambarage ndimi ni mgeni wenu kutoka katika mamlaka ya ufahamu na utimamu wa kifikra, kwa hekima na uluwa nimetumwa kwenu niwaeleze kuwa kama mnataka mabadiliko ya kweli ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.