Wakati Tanzania inapokimbizana na ukuaji wa uchumi, tunapendekeza dira ya taifa ambalo linaweza kutumia vyema mgao wake wa kidemografia, kuunda jamii yenye ustawi, endelevu na jumuishi. Dira hii...
Utangulizi
Tanzania inajivunia historia ya maendeleo katika sekta ya afya, lakini bado kuna changamoto zinazohitaji ubunifu na maono ya muda mrefu ili kuboresha hali ya afya ya wananchi. Maono...
Kuwa na Tanzania bora kwa miaka ishirini na tano zijazo inahitaji juhudi na mchango wa jamii nzima, ikiwa ni pamoja na serikali, sekta binafsi, mashirika ya kijamii, na wananchi wenyewe. Hapa kuna...
Utangulizi
Katika kuangazia Tanzania ya baadaye, ni muhimu kuweka mikakati ambayo inazingatia ukuaji wa kisekta kwa njia shirikishi na endelevu. Maono haya yanapania kutengeneza mazingira ambapo...
Jina langu ni FRANCIS 0742749886
Mabadiliko ni sehemu ya asili ya maisha ya binadamu, na teknolojia, mazingira, jamii, na uchumi vinaendelea kubadilika kwa kasi kubwa. Katika miaka 5 hadi 25...
Elimu:
1. Miaka 5: Kuboresha ya shule na kusambaza vifaa vya kufundishia.
2. Miaka 10: Kuimarisha mafunzo ya walimu na mfumo wa elimu unaowezesha kujifunza endelevu.
3. Miaka 15: Kuanzisha...
Tanzania ya baadaye inaweza kujenga msingi imara wa maendeleo endelevu kwa kufanya mageuzi ya kina katika maeneo muhimu kama vile elimu, afya, teknolojia, uchumi, mazingira, na miundombinu. Hapa...
### Tanzania Tuitakayo Ndani ya Miaka 25
#### Utangulizi
Tanzania ni nchi yenye maliasili nyingi, rasilimali watu yenye bidii, na utajiri wa utamaduni. Katika kipindi cha miaka 25 ijayo...
Napenda kushiriki katika story of change kwa kutoa mawazo, mapendekezo na maoni yangu juu ya Tanzania tuitakayo. Yapo mengi ambayo ningependa kuyazungumzia katika mada hii lakini ushiriki wangu...
UTANGULIZI
Changamoto ya ukosefu wa ajira nchini imeendelea kukua kwa kasi huku sababu zikielezwa kua ni ufinyu wa bajeti na wahitimu wasio na weledi. Ukosefu wa ajara unapelekea vijana wengi...
(Nchi yangu Tanzania, nilalapo nakuota wwe) .ni moja ya mstari katika nyimbo ya kizalendo ya taifa la tanzania ukibeba kiu na ndoto za wananchi wake wenye kiu ya maendelo kwa taifa hili.
Tanzania...
Executive Summary
Corruption and fraudulent activities continue to plague societies and economies around the world, leading to significant economic losses, erosion of trust in institutions, and...
UTANGULIZI:
Uzalishaji Wa Ndani ni Uzalishaji ambao ,unaohusiana Matumizi binafsi , ukuaji binafsi katika uwekezaji ,uwekezaji wa Serikali Matumizi ya Serikali Kutoka na kuingiza bidhaa ndani ya...
Tanzania kama zilivyo nchi nyingi zinazoendelea zinakabiliwa na kiwango kikubwa cha umasikini ambao unapelekea huduma za kijamii kama elimu, afya, barabara, umeme na mambo mengine kupatikana kwa...
Vyuo VIKUU nchini Tanzania vilianzishwa baada ya uhuru wa Tanganyika mnamo mwaka 1961 .chuo Cha kwanza ,kuasisiwa mwaka 1970.
Tangu wakati huo hadi sasa serikali imekuwa ikiweka msisitizo mkubwa...
Njia za Kutekeleza Sera ya Uchumi Endelevu kwa Mwananchi Mmoja Mmoja kama Nguzo ya Taifa Bora kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania
Uchumi endelevu ni dhana inayolenga kuleta maendeleo ya kiuchumi...
Kukuza Ajira kwa Vijana wa Tanzania kwa Miaka 5 Hadi 25 Ijayo Ili kupata Tanzania yenye uchumi Bora.
Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ajira kwa vijana, hali inayotishia ustawi wa taifa...
Kilimo bado ni muhimu sana nchini Tanzania, kwani kinatoa ajira kwa idadi kubwa ya watu na kuchangia takribani robo moja ya pato la ndani la taifa (Benson, 2017; Cooksey, 2012). Kwa kutegemea sana...
Kwa mujibu wa utafiti wa umoja wa mataifa, kila baada ya sekunde 8 mtu mmoja hufa kutokana na madhara ya sigara.
📸Wikipedia
Sigara ina madhara makubwa sana katika mwili wa binadamu, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.