Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

4 Votes
Tanzania tuitakayo Ofisi ya CAG ipewe mamlaka kamili Kama chombo kinachojitegemea na kujitosheleza Kama ilivyo TAKUKURU. Yaani wawe na mamlaka ya kumfikisha mahakamani na kumfungulia mashitaka...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Upvote 4
6 Votes
UTANGULIZI Kwa kipindi kirefu kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma katika serikali kupitia miradi mbalimbali kitu kinachopelekea serikali kupoteza fedha nyingi pasipo kuwa na ulazima na mara...
0 Reactions
4 Replies
323 Views
Upvote 6
4 Votes
Moja Kati mambo yanayoongeza ufanisi wa maendeleo ni kuongezeka kwa vijana wasioathirika na mpenzi katika kazi zao za kiuchumi,, hivyo inasemekana kufikia miaka kumi tangu 2024 vijana wengi...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Upvote 4
7 Votes
Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza...
1 Reactions
0 Replies
229 Views
Upvote 7
8 Votes
Utangulizi Tanzania tuitakayo ni ile ambayo imejenga sekta za kisasa za maendeleo na sekta mojawapo kuu ikiwa ni viwanda; ambayo itachangia hali ya maisha ya watu wake kuwa bora kwa kuongeza pato...
3 Reactions
2 Replies
208 Views
Upvote 8
2 Votes
Tanzania pamekuwa na ubadhilifu wa mali za Umma Kila siku lakini hakuna uwajibishwaji wa wale wanaohusika hadi inapelekea kuwa KAWAIDA na wengine hutamani kuiba! Hii ni Kwa sababu 1. Hakuna...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Upvote 2
5 Votes
KESHO YA TANZANIA INATEGEMEA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA. 1.0. Utangulizi. Teknolojia, kulingana na ensaiklopedia ya Britannica inaamanisha utumiaji wa maarifa ya kisayansi kwa vitendo kwaajili ya...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Upvote 5
5 Votes
Jina la Andiko: Kuimarisha Upatikanaji wa Elimu kwa Wanafunzi Wanaoishi Mbali na Shule: Hatua za Kusaidia na Kupunguza Athari za Usafiri wa Jumuiya Elimu ni moja ya nguzo kuu za maendeleo ya...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Upvote 5
5 Votes
TANZANIA TUITATAKAYO MABADILIKO KATIKA MFUMO WA ELIMU. MUDA WA ELIMU. Kupunguza MUDA unaotumika kwenye mfumo wa elimu wa sasa wa Darasa la kwanza hadi Kidato cha Sita. Miaka saba (7) ya elimu ya...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Upvote 5
6 Votes
SOKO LA AJIRA KWA VIJANA WENYE ELIMU YA KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA. TUJIULIZE MASWALI YAFUATAYO. Je vijana wenye elimu ya kidato cha nne na sita wanasaidiwaje katika soko la ajira? Je...
1 Reactions
0 Replies
661 Views
Upvote 6
5 Votes
Suala la rushwa na kudhibiti kwake bado kuna ugumu na changamoto kubwa licha ya jitihada zinazofanywa na taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa hapa nchini. Suala la rushwa ni moja ya kikwazo...
1 Reactions
1 Replies
152 Views
Upvote 5
4 Votes
CHANGAMOTO. 1: Ukosefu wa taarifa za mngonjwa pale anapona tibiwa hospital mbili tofauti kwa wakati tofauti. 2: Kutokea kwa makosa ya kimatibabu kutokana na ukosefu wa taarifa za mngonjwa. 3...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Upvote 4
4 Votes
Kwa miaka mingi hadi Sasa Tanzania imeendelea kukabiliwa na changamoto katika utoaji huduma ya maji Kwa wananchi pamoja na ubovu wa miundo mbinu hasa ya Barabara nchini. Changamoto katika maswala...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Upvote 4
4 Votes
Tanzania imekuwa na sera na mipango mbalimbali ya miaka kadha mbele na imepiga hatua katika hilo. Mifano ya sera na mipango iliyofanikiwa ni Sera ya uwepo wa shule za sekandari kata , Sera ya...
0 Reactions
2 Replies
199 Views
Upvote 4
4 Votes
Tanzania faces significant nutritional challenges, including high rates of malnutrition, micronutrient deficiencies, and diet-related non-communicable diseases. Rural areas, in particular, suffer...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Upvote 4
5 Votes
Tanzania ni nchi yenye wasomi wengi sana wenye maarifa ya hali ya juu,uwezo mkubwa katika proffesional zao na vyeti ambavyo vina watambulisha kuwa wamefuzu katika fani zao walizo somea kama...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Upvote 5
6 Votes
Kukwama na kusuasua kwa maendeleo ya Tanzania yanaweza yakawa yameshikiliwa na mambo machache ambayo kama yakibadilishwa yanaweza kuchochea mabadiliko ya kimaendeleo ya kasi sana.Nchi ni mali ya...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Upvote 6
4 Votes
UTANGULIZI Siasa ni sera ya kufanya maamuzi katika ngazi mbalimbali za jamii, kama vile mji,taifa au hata kujumuisha dunia kwa ujumla. Kuna sababu kazaa za kulazimisha kwa nini ushiriki wa...
1 Reactions
2 Replies
200 Views
Upvote 4
3 Votes
Tanzania's ApiRevolution: A Sweet Symphony of Economic Transformation and Ecological Harmony In the heart of East Africa, a symphony of change is buzzing into existence. Tanzania, a nation...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Upvote 3
4 Votes
Mimi mtazamo wangu, Tanzania tuitakayo kuweza kuifikia: 1. Kufanya Kazi Kwa bidii shambani na viwandani. 2. Kuwatafutia wakulima masoko ya nje ILI kuweza kuuza bidhaa zao. 3. Kusimamia vzr mapato...
0 Reactions
2 Replies
146 Views
Upvote 4
Back
Top Bottom