Source: Kitini cha sheria
UTANGULIZI
Hapa nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na vitendo vya...
Wananchi wa kata ya Kiru wilaya ya Babati mkoani Manyara wameiomba serikali kukarabati zahanati ya Kiru six inayotegemewa na vijiji sita vya kata hiyo na vijiji jirani, ili iweze kutoa huduma bora...
Kama nchi tumekuwa na taratibu nyingi sana ambazo zinafanyika nje na taratibu hasa na mhimili mkuu wa serikali lakini mihimili mingine(bunge na mahakama) havina meno ya kuikosoa na kuielekeza...
Je, Tanzania inahakikisha vipi maendeleo yanaenda sambamba na uhifadhi wa mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa na baadaye?
Kuhusu swala la Tanzania na maendeleo na uhifadhi mazingira ili liwe...
Elimu ni kurithisha au kuhamisha maarifa, ujuzi, taarifa au taaluma kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.
Malengo ya elimu katika nchi yetu ya Tanzania kuanzia 2025 adi 2050 yawe ni
i. Kurithisha...
Leo ningependa kuzungumzia suala la uongozi, siasa, na utumishi wa umma kwa ujumla. Kuna mambo kadha wa kadha ninayaona katika nchi yangu, na mimi kama kijana nimepata mawazo ya kuyawasilisha...
Barabara kama njia kuu ya usafiri
Tanzania ina jumla ya kilomita 181602.2 za mtandao wa barabara, chini ya mgawanyo wa Kilomita 37225.5 barabara za kitaifa (barabara kuu na za kimkoa) na kilomita...
UTANGULIZI
Tanzania imeendelea kukumbwa na changamoto ya ukatili kwa makundi mbalimbali, watoto wakiwa ni miongoni mwa kundi hili. Kundi hili limekua likikumbwa na adha za ukatili wa jinsi, ndoa...
Utangulizi
Wazo kuu ni kuboresha mchakato wa ununuzi wa umeme ili kuruhusu kuwaka moja kwa moja (automatic) mara baada ya units za umeme kununuliwa na mtumiaji, mfumo huu (HeWasha) unalenga...
Idadi ya wazee Tanzania
Kwa mujibu wa sensa ya 2022 Tanzania ina jumla ya wazee 7,469,714 chini ya mgawanyo wa wazee 7,294,654 Tanzania bara na 175,060 Tanzania Zanzibar,( Ripoti ya Mgawanyo wa...
Ukatili wa kijinsia kwa watoto ni kitendo chochote anachoweza kufanyiwa mtoto na kikasababishia madhara ya kimwili, kisaikolojia na kiafya. Ukatili wa kijinsia kwa watoto unaweza kusababisha...
TANZANIA TUITAKAYO: MAONO YA KIBUNIFU KWA MIAKA 5, 10, 15 HADI 25 IJAYO
Utangulizi
Tanzania, taifa lenye rasilimali nyingi na watu wenye ari ya maendeleo, linahitaji kuwa na maono ya kibunifu na...
The governmental educational policies of Tanzania need to be revised to accommodate meritorious students from poorer communities and provide them with an equal platform for competing against...
Katika kuangalia usawa na udhibiti kwa ndugu zetu wanaoendesha vyombo vya moto vya pikipiki maarufu bodaboda nimeona tatizo halipo kwa madereva tu bali hata kwa abiria wao, mfano unakuta abiria...
Tuanze kuwaza sasa kama nchi kubadilisha sheria zinazo simamia haya mashirika ya umma ili kuongeza ufanisi.
Mashirika mengi ya umma yanalalimikiwa kwamba hayana ufanisi, yanajiendesha kwa hara...
Utalii ni Neno Pana na lenye manufaa makubwa kwenye uchumi wa taifa letu la Tanzania.
Uchumi wa nchi yetu ya Tanzania unategemea rasilimali mbalimbali ikiwemo rasilimali inayohusisha vivutio vya...
Tufe njaa kwa kulinda misitu? mkulima na kiongozi katika hili Nani asikilizwe?
Katika maisha ya sasa na siasa mwanasiasa anasimamia Sera za nchi mkulima anavunja Sera za nchi kumlisha mtunga...
Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa wakoloni katika bara la Afrika sisi tulikuwa wamoja kwa kushirikiana katika kila kitu kilicho husiana na Ubuntu wetu kwa kutokuwekeana mipaka katika bara letu. Kwa...
Mazungumzo na mwanangu:
Jioni moja kwenye mazungumzo na mwanangu nikamtajia wazo langu kuwa, ingekuwa vema angeingia kwenye siasa, kwa vile nafikiri hapo baadae angeweza kupata nafasi ya uongozi...
Mfumo wa soko la ndani wa mazao na bidhaa za kilimo (na uvuvi) kwa kiasi kikubwa unaendeleza dhulma na unyonyaji kwa wazalishaji mali hizo. Ijapokuwa zipo jitihada za serikali zenye kukusudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.