Suala la ajira limekuwa tatizo kubwa sana nchini na ukiangalia kila kukicha watu wanaongezeka na wengine kujikuta wakiwa katika msongo wa mawazo licha ya kuwa na elimu lakini wanashindwa kuhimili...
TANZANIA TUITAKAYO
Asubuhi na mapema unaamka ndani ya nyumba yako ya wastani, kutokana na kipato chako kutokuwa toshelevu. Homa nayo inakushika, unasita kwenda mihangaikoni siku hiyo. Suluhu...
Kama nchi itunge na kusimamia sheria ya maziko itakayokataza kuzika watu kwenye makaburi ya zege kuanzia chini mpaka juu. Haina hii ya mazishi inaathari kubwa kwenye mabadiliko ya tabia ya nchi...
UTANGULIZI.
MALEZI ENDELEVU INITIATIVE (MEI) ni wazo la kuandaa mfumo kamili wa kumlea Mtoto wa kitanzania kabla ya kuzaliwa, kuzaliwa mpaka utu uzima ili kujenga Tanzania imara na endelevu.
MEI...
Jamii inatakiwa kubadili mtazamo dhidi ya watu wenye ulemavu.
Kwani baadhi ya watu kwenye jamii zetu wanawachukulia watu wenye ulemavu kama kiumbe dhaifu.watu wenye ulemavu kwenye jamii...
Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao.
Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa...
UTANGULIZI
Mapinduzi matatu ya viwanda yaliopita yalileta maendeleo ya kiteknolojia ambayo yalibadilisha kwa kiasi kikubwa hali ya kiuchumi na kijamii, hivyo kulihitajika marekebisho ya kisheria...
Utamaduni wa watu kuzika watu kwenye makaburi ya zege unamadhara makubwa kwenye mabadiliko ya hali ya hewa. Binadamu na wanyama tunakula mazao ya ardhini,tumekata ecosystem kwa kutorudisha vinyesi...
Kwa kua sehemu za kupata haki ndio kunaongoza kwa kua na rushwa bhas mimi nashauri serikali kuangalia suala la kua na right RIGHT SERVICE CENTRE maeneo kama polisi na maeneo mengine ya haki kama...
Ajali ni tukio la dharura linayotokea au kupata mtu bila kutalajia na ambalo linaweza kusababisha majeruhi na wakati mwingine watu kupoteza maisha(vifo).Ajali ya barabarani ni tukio la dharura...
Wajibu wa kijamii ni mfumo wa kimaadili unaopendekeza watu binafsi na mashirika wanapaswa kutenda kwa manufaa ya jamii kwa ujumla. Dhana hii inajumuisha nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na...
Na Joseph Nyoni
Tunapozungumzia utalii nchini tunazungumzia Taifa linalopata watalii kati ya milioni 1.5 hadi milioni 2 kwa mwaka.
Na tunapozungumzia Afrika katika mataifa yanayoongoza katika...
In order to achieve the desired health status in Tanzania in the next five to ten years, innovative approaches must be implemented to bring about significant benefits to our country. Tanzania...
Tanzania We Aspire To.
Author:Nkwabi Laurent Elias
Vision Statement
This document outlines a visionary framework for Tanzania over the next 5, 10, 15, and 25 years, focusing on various critical...
Naipenda nchi yangu
i: Ushauri kwa Serikali - “Tanzania Tuitakayo”
Ndugu Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan
Sekta ya Elimu: Ili kuendeleza taifa letu, ni muhimu kuwekeza katika elimu...
TANZANIA TUNAYOITAKA KWA MIAKA 5 MPAKA 25 IJAYO.
Tanzania , nchi iliyopata uhuru wake mwaka 1961 chini ya utawala wa waingereza, ikiwa chini ya Rais wa kwanza wa jamhuri ya Tanganyika Mwl Julius...
Ili kuweza kufikia maendeleo Mazuri kama taifa afya ni kitu ambacho kinapaswa kuangaliwa kwa upana zaidi yafuatayo ni mawazo yangu juu ya maendeleo ya taifa kwa miaka kumi katika sekta ya afya
1...
Wadau wa jamii forum habari kwa majina naitwa Daud Mbuga Madakama
Katika story of change nataka kuzungumzia mazingira
Awali yayote ningeiomba serikari kuwekeza kwenye mazingira kwa leo nitajikita...
Kihistoria Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili uliofanyika mwaka 1964 ukijumuisha (Tanganyika chini ya mwalimu Julius Nyerere na Zanzibar chini ya Amir Abeid Karume ),kwa umoja wao waliweza...
Mdau wa SoCO4 mwenye namba ya simu 0765853732.
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la waathirika wa magonjwa mbalimbali ya zinaa ikiwemo Virusi vya UKIMWI, Kisonono...