Habari ya Tanzania Tuitakayo - Maono ya Baadaye
Fikiria Tanzania miaka 25 ijayo, ambapo ndoto na matarajio ya wananchi wake yamefikia ukamilifu. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka, taifa lililotibuka...
Hakuna Jambo Baya, Tafuta Jambo Chanya kwenye Hasi
Katika maisha ya watu hapa duniani kuna nyakati nyingi sana ambazo zinakuja kwenye maisha, nyakati hizi zimegawanyika katika namna kuu tatu...
STORIES OF CHANGE SEASON 04
TANZANIA TUITAKAYO
(Let's talk about our Country?
Tuzungumzie Nchi Yetu, Nchi ambayo ina safari Ndefu sana ya mafanikio,Mafanikio ambayo sisi watanzania tunataka...
MAONI KATIKA KUBORESHA NA KUKUZA ELIMU TANZANIA
(Nini kifanyike ili kuboresha na kukuza Elimu yetu ya Tanzania ?)
Naitwa Batson R. Msigwa kutoka Njombe-Tanzania. Mimi ni mhitimu Kutoka Chuo Kikuu...
MTAALA BORA WA ELIMU HUJENGA TAIFA IMARA.
DIBAJI.
Katika taifa letu kuna ongezeko kubwa la vijana wasio na kazi, wengi wakiitupia lawama serikali kwa uchache wa nafasi za ajira rasmi...
Mapendekezo ya Mabadiliko Katika Kudhibiti Rushwa na Ubadhirifu Nchini Tanzania Katika Miaka 25 Ijayo
Rushwa na ubadhirifu ni changamoto kubwa zinazokwamisha maendeleo ya kiuchumi na...
1. Maendeleo ya Kiuchumi: Kuunda mazingira wezeshi kwa ukuaji wa viwanda, kilimo cha kisasa, na biashara endelevu kwa lengo la kupunguza umaskini na kuongeza mapato ya wananchi.
2. Elimu Bora...
Elimu ni ufunguo wa maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inatakiwa kujikita katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vijana kwa ajira za baadaye...
Overview
Since gaining independence Tanzania has been gradually making advancement in various sectors. Tracing back to 1980s when industrial output and capacity utilization declined. The economy...
Watu husema afya ni mtaji kwaio ili shughuli binafsi na taifa kwa ujumla zifanyike ipasavyo yahitaji raia wenye nguvu na afya njema.Katika Sekta ya afya changamoto zimekua nyingi ambazo...
I.Tanzania's Coastal Communities: A Crisis and an Opportunity
In Tanzania's sun-drenched coastal havens, where turquoise waters meet pristine shores, a silent struggle for survival unfolds. Over...
TANZANIA ilitajwa kuwa miongoni mwa nchi nzuri duniani na Bara la Afrika kwa ujumla, kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na tovuti ya money.co.uk kutokana uzuri wa asili wa Taifa hilo lenye...
1:Elimu ya Uraia: Elimu ya uraia ni muhimu sana katika kuongeza ushiriki wa wananchi. Wananchi wanapaswa kuelewa vizuri madhara ya rushwa katika jamii na uchumi wa nchi. Wanapaswa pia kufahamu...
UTANGULIZI
Hapa nchini Tanzania kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wasomi hasa wanaohitimu ngazi ya chuo ambapo wanategemea kuajiriwa kutokana na walichokisomea. Ofisi ya Takwimu...
Afya ni utajiri wa kweli wa taifa lolote. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inajitahidi kuimarisha huduma za afya na ustawi wa jamii kwa lengo la kuboresha maisha ya wananchi wake...
Rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania yeyote yule mwenye uzalendo na kuipenda nchi yake Kwa moyo wake wote.
Rushwa inaweza kuzibitiwa Kwa njia mbali Kwa kila mtanzania mpenda maendeleo ndani ya...
Moja,anatakiwa kujua kusoma na kuandika;Kuna viongozi ambao wakiletewa mikataba wanashindwa kusoma sababu hawajui kusoma na kuandika.Kiongozi anayejua kusoma na kuandika itamsaidia wakati wa...
TANZANIA TUITAKAYO
# SEKTA YA ELIMU
Kwanini andiko hili limeegemea zaidi katika sekta ya elimu? Jibu ni hili katika maeneo muhimu na nyeti ambayo yakichezewa basi taifa laweza kupoteza dira na...
Moja,bodi ya ligi ya mpira wa miguu nchini (TFF )ihakikishe; Kila shabikin anaipa kipaumbere timu ya mkoa anapoishi. Zaidi ya Simba na yanga mfano, kilichosababisha mpaka ligi ya uingereza kukua...
Mnamo miaka ya hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana la wasichana/mabinti wanao zalia majumbani mwao namaanisha kwa walezi wao au wazazi wao.
Na wanalea watoto pekeao bila wazazi wenzao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.