Kwa majina naitwa Praygod Kweka jina La sanna (Baghdad) Nasibu KATIBU Mkuu Tuma - Chama cha muziki wa kizazi kioya, ni Msanii wa fan I ya hip hop mtunzi wa Movie, Muongozaji wa movie na mtangazaji...
UTANGULIZI
Kwanza ninamshukuru Bwana Mungu na kuniwezesha, kunipa Afya njema. Pia nashukuru Jamii zote za hapa Tanzania kwa Sekta zote za Kijamii na ninatoa shukrani katika Uongozi uliopo katika...
Introduction
Tanzania stands at a pivotal juncture in its development trajectory. As the nation looks towards the future, it is imperative to envision a comprehensive roadmap for the education...
Kuchochea Maendeleo ya Miundombinu Bora ya Tanzania katika Miaka 20
Miundombinu iliyoboreshwa ni nguzo muhimu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika taifa lolote. Kwa Tanzania, kuhakikisha...
MFUMO WA TEHAMA UTAKAODHIBITI URASIMU KWENYE SEKTA YA HAKI
UTANGULIZI
Mimi ni kijana ninaesomea sheria hapa Tanzania. Mwezi uliopita nilijitolea kwenye kliniki ya msaada wa sheria kwa ajili ya...
Utangulizi: Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya pili katika bara la Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya mifugo ikitanguliwa na Ethiopia,Hata hivyo pamoja na wingi huo wa mifugo lakini...
MIKAKATI BORA YENYE KUJALI MASLAHI YA WAAJIRIWA PAMOJA NA WASTAAFU.
Utangulizi
Tanzania, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kuhakikisha maslahi bora kwa wafanyakazi na mikakati endelevu kwa...
Utangulizi
Uchovu wa wafanyakazi katika sekta ya umma ni tatizo la kimataifa linalojulikana kwa kuchoka kihisia, kupoteza ari ya kazi, na kupungua kwa hisia za mafanikio binafsi. Hali hii ni ya...
Utangulizi
Kushinda shindano la "Stories Challenge" na kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 ni tukio la kipekee linaloweza kubadili maisha. Malipo haya ni fursa adhimu ya kuweka msingi imara wa...
Tanzania iko katika wakati muhimu katika historia yake. Dira hii inaangazia hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kutokomeza ubaguzi wa kijinsia, kukomesha ndoa za utotoni, utumikishwaji wa watoto...
Tanzania itasonga mbele kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo na ndoto kubwa ya kufikia maendeleo endelevu na ustawi wa wananchi wake. Moja ya nguzo muhimu katika safari hii ni maendeleo ya kiuchumi. Kwa...
Tanzania, nchi iliyobarikiwa kuwa na mifumo mbalimbali ya ikolojia na maliasili nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa za kimazingira. Ukataji miti, unaochochewa na mahitaji ya kuni kama nishati...
"Serikali yenu, tunajua tatizo la ajira na tutajitahidi kutengeneza fursa mbalimbali ili vijana wapate ajira.” Leo ni tarehe 9 Juni, 2024, takribani miaka miwili na miezi yake kadhaa tangu kauli...
Tanzania, pamoja na eneo lake la kipekee la kijiografia kando ya ikweta na eneo kubwa la ardhi ya asili, inasimama kama mwanga wa matumaini kwa urejesho wa viumbe vilivyo hatarini kutoweka. Dira...
Utangulizi.
Migogoro ya ardhi nchini ni mingi sana,kinachopelekea uwepo wa migogoro hii ni utaratibu na mfumo wa urasimishaji ardhi kuwa na mapungufu mengi ambayo yanaruhusu mianya ya ulaghai kama...
1.Utangulizi
Tanzania ni nchi inayo ongozwa na demokrasia.Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo mamlaka kuu ya serikali imewekwa Kwa watu. Mfano wa demokrasia,serikali yetu huchaguliwa na...
UTANGULIZI
Nchini Ta nzania, tangu tupate Uhuru Mambo ya ukatili kwa watoto yamekuwa yakiripotiwa siku Hadi siku na vyombo mbailimbali vya habari. Ukatili umekuwa ukitokea kwa njia mbalimbali...
1.0 Utangulizi.
Jeshi la polisi la Tanzania, ni kati ya majeshi mengi Afrika ambayo yanalaumiwa sana na wananchi kwa ukiukaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu ikiwemo kuua raia katika...
Kitambo kidogo mtandao wa Internet ulikuwa anasa ila kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mtandao umekuwa moja ya hitaji la binadamu.
Kulingana na uchumi wa Afrika bado gharama za...
Tanzania ni nchi yetu iliyojaa amani, umoja, mshikamano na upendo. Jambo kubwa na la msingi ambalo linahitajika na kufaa katika dira ya nchi yetu kwa miaka ijayo ni kama ifuatavyo
SUALA LA KATIBA...