Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

1 Vote
Tanzania huru Tanzania tuitakayo ni ile itakayo mupa uhuru wa kutoa maoni kuhusu selikali yetu , Siasa huru. Siasa huru ni ile inayo mpa mwanachama au mfuasi wa hicho chama kutoa maoni...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Upvote 1
5 Votes
Bunge ni chombo muhimu sana kwenye nchi yoyote, na ndicho chombo chenye dhamana ya kutunga na kupitisha sheria mbalimbali katika nchi husika. Hapa kwetu Tanzania kuna mabunge mawili la Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
239 Views
Upvote 5
1 Vote
Nadhani ili taifa liweze kuendelea na kupambana na matatizo ya kiuchumi nilazima mfumo wa utawala ubadilike. Kwanza idadi ya vyama vya siasa ipungue Pili iundwee selikali ya kitaifa ambayo vyama...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Upvote 1
2 Votes
NAMNA YA KUFIKIA MALENGO YA MAENDELEO YA MILENIA Malengo ya maendeleo ya milenia ni seti ya malengo yanayolenga kuboresha maisha ya watu duniani kote.ingawa malengo yenyewe yamebadilishwa na...
1 Reactions
0 Replies
222 Views
Upvote 2
2 Votes
Kwa maono yangu Tanzania tuitakayo kuna baadhi ya vitu vinahitajika kuongezwa na vingine kuondolewa kwenye sekta ya Elimu. Mfano mitaala ya Elimu ya sasa haimuandai mwanafunzi muhitimu, kupata...
1 Reactions
0 Replies
289 Views
Upvote 2
1 Vote
UTANGULIZI Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia. Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora. Zipo tawala mbali...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Upvote 1
1 Vote
Si hayo unayofikiri kuwa, bali ni mambo yaliokuwa ni hulka Kwa waja na kuwa ahadi yenye thamani kama Vito, iliyoaminika kuwa ni ndoto ya abunwasi kumbe hata Malkia mchwa anaweza kufanya ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Upvote 1
1 Vote
I. Seeds of Despair, Seeds of Hope Mzee Juma, his hands calloused from years of toil, holds a handful of shriveled cashew nuts, a stark symbol of the crisis gripping Tanzania's cash crop sector...
1 Reactions
0 Replies
204 Views
Upvote 1
0 Votes
Vocational education is a practical skill and real- world application over theoretical knowledge involves hands approach. In schools it's like planting for the future careers by introducing...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Upvote 0
0 Votes
Climate change refers to changes in the weather patterns of a specific area, which include rising temperatures, droughts, increased flooding, and shifting rainfall periods. Climate change has...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Upvote 0
0 Votes
Our Farms, Our Profits: 10 Years to Affordable Fertilizer, Technology as the Solution The Tanzanian sun beat down relentlessly on Mzee Juma's back, a stark contrast to the cool relief he usually...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Upvote 0
0 Votes
1. Ninalo wazo bunifu, Ila mwenzenu nahofu, Wapo wenye nia chafu, Wanoweza nizulia. 2. Ninaposhusha usuli, Uhusuo serikali, Wenye hiba na adili, Wao wataupindua. 3. Watazua yaso mana, Ambayo...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Upvote 0
0 Votes
Ni nini sababu ya uwepo wa hili giza? Nani aliitaka nuru na wakati ni giza hilohilo liliwaficha dhidi ya uovu wao , Pengine giza lilitengenezwa liulinde mfumo nufaika. Nini ni kikwazo cha...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Upvote 0
1 Vote
VYANZO VIPYA VYA MAPATO Kumekuwa na kodi na tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwagusa wananchi na zingine zimekuwa zikiwaumiza kutokana na kushuka thamani ya fedha ya Tanznia dhidi ya dola na...
1 Reactions
2 Replies
173 Views
Upvote 1
1 Vote
UTANGULIZI Tanzania ni nchi yenye uwezo mkubwa sana(potential) uwezo ni uwezo uliotulia, nguvu iliyohifadhiwa, nguvu isiyotumika, mafanikio yasiyotumika, vipawa vilivyofichwa, uwezo uliofungwa...
1 Reactions
0 Replies
266 Views
Upvote 1
0 Votes
Namna inayoweza kupunguza ajari kwenye barabara zetu. Barabara zetu nyingi zenye viwango vya lami, Zimewekwa alama za barabarani zinazosaidia kuongoza watumiaji wake wa vyombo vya moto, lakini...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Upvote 0
0 Votes
Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yanakuwa kwa kasi sana duniani na ni sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote lile, Tanzania nayo kama nchi inayohitaji maendeleo lazima...
1 Reactions
0 Replies
253 Views
Upvote 0
0 Votes
Gharama kubwa ya tiba ya magonjwa ya saratani na figo nchini zinasababisha baadhi ya wagonjwa kuacha tiba sahihi hospitalini na na kutumia dawa za kienyeji ambazo zinachangia vifo. Pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Upvote 0
0 Votes
Wakati Tanzania inasonga mbele katika siku zijazo, moja ya malengo makuu lazima liwe ni kuhakikisha mali na viwanda muhimu vya taifa letu viko chini ya udhibiti na umiliki wa raia wa Tanzania na...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Upvote 0
0 Votes
Elimu ni moja ya nguzo kubwa na muhimu katika safari ya kuyasaka mafanikio. Nchi ya Tanzania inatambua hilo na hadi kuweza kuwekeza katika elimu kwa wananchi wake. Tanzania imeweka kipaumbele...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom