Tanzania huru
Tanzania tuitakayo ni ile itakayo mupa uhuru wa kutoa maoni kuhusu selikali yetu ,
Siasa huru. Siasa huru ni ile inayo mpa mwanachama au mfuasi wa hicho chama kutoa maoni...
Bunge ni chombo muhimu sana kwenye nchi yoyote, na ndicho chombo chenye dhamana ya kutunga na kupitisha sheria mbalimbali katika nchi husika.
Hapa kwetu Tanzania kuna mabunge mawili la Tanzania...
Nadhani ili taifa liweze kuendelea na kupambana na matatizo ya kiuchumi nilazima mfumo wa utawala ubadilike.
Kwanza idadi ya vyama vya siasa ipungue
Pili iundwee selikali ya kitaifa ambayo vyama...
NAMNA YA KUFIKIA MALENGO YA MAENDELEO YA MILENIA
Malengo ya maendeleo ya milenia ni seti ya malengo yanayolenga kuboresha maisha ya watu duniani kote.ingawa malengo yenyewe yamebadilishwa na...
Kwa maono yangu Tanzania tuitakayo kuna baadhi ya vitu vinahitajika kuongezwa na vingine kuondolewa kwenye sekta ya Elimu. Mfano mitaala ya Elimu ya sasa haimuandai mwanafunzi muhitimu, kupata...
UTANGULIZI
Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia.
Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora.
Zipo tawala mbali...
Si hayo unayofikiri kuwa, bali ni mambo yaliokuwa ni hulka Kwa waja na kuwa ahadi yenye thamani kama Vito, iliyoaminika kuwa ni ndoto ya abunwasi kumbe hata Malkia mchwa anaweza kufanya ikiwa...
I. Seeds of Despair, Seeds of Hope
Mzee Juma, his hands calloused from years of toil, holds a handful of shriveled cashew nuts, a stark symbol of the crisis gripping Tanzania's cash crop sector...
Vocational education is a practical skill and real- world application over theoretical knowledge involves hands approach. In schools it's like planting for the future careers by introducing...
Climate change refers to changes in the weather patterns of a specific area, which include rising temperatures, droughts, increased flooding, and shifting rainfall periods.
Climate change has...
Our Farms, Our Profits: 10 Years to Affordable Fertilizer, Technology as the Solution
The Tanzanian sun beat down relentlessly on Mzee Juma's back, a stark contrast to the cool relief he usually...
Ni nini sababu ya uwepo wa hili giza? Nani aliitaka nuru na wakati ni giza hilohilo liliwaficha dhidi ya uovu wao , Pengine giza lilitengenezwa liulinde mfumo nufaika. Nini ni kikwazo cha...
VYANZO VIPYA VYA MAPATO
Kumekuwa na kodi na tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwagusa wananchi na zingine zimekuwa zikiwaumiza kutokana na kushuka thamani ya fedha ya Tanznia dhidi ya dola na...
UTANGULIZI
Tanzania ni nchi yenye uwezo mkubwa sana(potential) uwezo ni uwezo uliotulia, nguvu iliyohifadhiwa, nguvu isiyotumika, mafanikio yasiyotumika, vipawa vilivyofichwa, uwezo uliofungwa...
Namna inayoweza kupunguza ajari kwenye barabara zetu.
Barabara zetu nyingi zenye viwango vya lami, Zimewekwa alama za barabarani zinazosaidia kuongoza watumiaji wake wa vyombo vya moto, lakini...
Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yanakuwa kwa kasi sana duniani na ni sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote lile, Tanzania nayo kama nchi inayohitaji maendeleo lazima...
Gharama kubwa ya tiba ya magonjwa ya saratani na figo nchini zinasababisha baadhi ya wagonjwa kuacha tiba sahihi hospitalini na na kutumia dawa za kienyeji ambazo zinachangia vifo.
Pamoja na...
Wakati Tanzania inasonga mbele katika siku zijazo, moja ya malengo makuu lazima liwe ni kuhakikisha mali na viwanda muhimu vya taifa letu viko chini ya udhibiti na umiliki wa raia wa Tanzania na...
Elimu ni moja ya nguzo kubwa na muhimu katika safari ya kuyasaka mafanikio. Nchi ya Tanzania inatambua hilo na hadi kuweza kuwekeza katika elimu kwa wananchi wake. Tanzania imeweka kipaumbele...