Utangulizi
Hakuna nchi yoyote duniani iliyoendelea bila na elimu bora ambayo ndiyo chimbuko la teknolojia mbalimbali zitumikazo viwandani. Teknolojia bora ndiyo msingi wa kuifanya nchi ipige hatua...
UTANGULIZI
Kufuatia ukuaji wa miji, changamoto mbalimbali zimekua zikishuhudiwa siku baada ya siku. Changamoto mojawapo ikihusisha ukosefu wa usalama katika makazi.
Kidunia suala la ukuaji wa...
Bayoteknolojia ni uwanja wa kisayansi unaojihusisha na matumizi ya viumbe hai na mifumo ya kibiolojia katika uzalishaji wa bidhaa na huduma mbalimbali. Teknolojia hii hutumika katika sekta nyingi...
Tanzania kama tukiamua kumaliza tatizo la uhaba wa chakula inawezekana ila Kwa kila mikoa yenye vilimo tunapaswa kuzingatia mambo machache yenye kuleta tija na kumaliza tatizo la uhaba wa chakula...
UTANGULIZI
Kufuatia ukuaji wa miji, changamoto mbalimbali zimekua zikishuhudiwa siku baada ya siku. Changamoto mojawapo ikihusisha ukosefu wa usalama katika makazi.
Kidunia suala la ukuaji wa miji...
TAIFA LA KESHO
Nchi yangu Tanzania naipenda kwa moyo wangu wote , sitakusahau Tanzania nitakapokuwa popote duniani . Tulipotoka ni mbali sana na bado tunasonga mbele. Najivunia amani, umoja na...
Tanzania tuitakayo ni tanzania ambayo itatuleta pamoja watanzania bila kujali itikadi za vyama vyetu,dini au kabila. Na Tanzania hiyo itawezekana kuipata kwa juhudi zetu wote watanzania wenye...
Utunzaji wa kumbukumbu ni msingi mkuu wa taasisi yoyote duniani bila ya kumbukumbu taasisi haiwezi kufanya kazi zake kwa ufasaha na inaweza kupelekea kuvuja kwa taarifa za siri za taasisi...
Sekta ya sheria ni msingi muhimu wa utawala bora na maendeleo endelevu katika jamii yoyote. Kwa miaka mingi, Tanzania imeendelea kufanya juhudi za kuboresha mfumo wake wa kisheria ili kuhakikisha...
KUBADILISHA TANZANIA TUITAKAYO.
Tanzania nchi Yangu iliyobarikiwa kila njanja,
Tanzania iliyo na Neema ya uoto asili,
Nchi iliyo na Watu Wenye afya ,Iliyobarikiwa Viongozi walioleta Amani na...
I. Introduction
The dim light of the clinic barely illuminated Aisha's face, etched with worry. Her baby, normally so full of life, lay listless in her arms, his tiny chest heaving with each...
Do we need an 18-hole golf course right in the city center of Dar es Salaam?
Can flood-prone areas such as Jangwani be turned into public parks?
Do vast military zones have to be located in...
Nguvu za giza inaweza ikawa uchawi, kulimishwa usiku, kurogwa ,kubebeshwa mikoba ya kifamilia na hata pia kutumiwa majini.
Sababu kubwa inayosababisha wanafunzi kufeli katika masomo yao ni...
Tanzania inazidi kuongezeka hasa Kwa idadi ya watu tulikuwa ml 60 kwa Sasa Kwa takwimu zisizo rasmi tunaenda kufika ml 67 hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi ya watu ndani.
Nchi yenye watu wengi...
Ili kuleta Tanzania iliyo imara katika nyanja tofauti za afya, michezo, kijamii, na uchumi tunahitaji mikakati thabiti na ushirikiano wa pamoja kutoka kwa serikali, jamii, na sekta binafsi. Katika...
Tanzania tunayoitaka ni taifa linalojengwa juu ya misingi ya usawa, haki, na maendeleo endelevu. Moja ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo ni mgawanyo usio sawa wa madaraka na mishahara kwa...
Katika Tanzania tunayoipenda, uhuru wa kuwasiliana na kutoa habari ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya jamii yetu. Hata hivyo, sheria ya serikali ya kutoza leseni kwa vyombo vidogo vya habari na...
Serikali inapo amua kufanya jambo na watendaji wanapo timiza majukumu yao hakuna kinacho shindikana.hatua ambazo serikali inapaswa kuzichukia kuwalinda wananchi na matukio ya taasisi/ vikundi vya...
Leo tunakutana hapa kujadili mustakabali wa nchi yetu katika ulimwengu wa teknolojia, hususan Teknolojia ya Akili Bandia (AI). Teknolojia hii ina uwezo wa kubadilisha maisha yetu kwa kiwango...
Jeshi la kujenga taifa (JKT) ni moja ya chombo kilichoundwa tarehe 10 Jul, 1963 baada ya nchi yetu kupata uhuru. Lengo kuu ni kuelimisha, kudumisha uzalendo, maadili na nidhamu ya vijana na...