UTANGULIZI
Changamoto ya ajira hapa nchini imekua tatizo linalokua kwa kasi huku vijana wakiwa ni waathirika wakubwa. Hivyo serikali iweke mikakati madhubuti itakayotokelezeka haraka ili kupunguza...
UTANGULIZI:
Kumekuwa na mtafaruku haswa inapotokea Ajali iwe barabarani au mtaani kutokana uzembe wa dereva na kusababisha madhara fulani, lakini kukawana uzito katika kutoa Adhabu kutokana na...
UTANGULIZI
Data au Taarifa ni kiini cha maendeleo katika taifa. Taifa lililoendelea na linaloendelea hutegemea data (taarifa), namna nchi inavyokusanya taarifa,kuzihifadhi,kuzichakata na kupata...
Mfuko wa maendeleo ya jamii ulioanzishwa mnamo mwaka 2000 katika moja ya lengo lake lake la kuinua kaya masikini kwa kuwapatia kiasi cha fedha za kujikimu kulingana na mahitaji husika mfano...
Uchaguzi wa Mwaka 2015 Idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ilkua 23,161,440 ,waliojitokeza kupiga kura ni 15,596,110 sawa na 67.34%.
Mwaka 2020 idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ilikua...
It is clear that we all agree that the growth of ICT in the world has contributed to the advancement of development and the simplification of life globally.
This is one of the indicators for...
Mwanzo
Tanzania ni nchi ya muungano wa kipekee duniani ambayo serikali yake inaundwa na mihimili mitatu yaani Serikali kuu, Bunge na Mahakama. Bunge kama chombo mhimu cha kutunga sheria na...
Tanzania iko kwenye kilele cha zama za mabadiliko. Ulimwengu unabadilika kwa kasi isiyo na kifani, na ili kuhakikisha taifa letu linastawi, ni lazima tukuze maono yenye mwelekeo wa siku za usoni...
Namshukuru Mungu nami kupata nafasi ya kuchangia mawazo yangu katika kuitafuta Tanzania tuitakayo. Maoni yangu yatajikita katika mapinduzi makubwa ya kilimo Kwa maana ya ukulima wa mazao ya...
Current Examination System
Currently, university exams in our country typically follow a traditional format where students are given a set of questions on the day of the exam and are required to...
From Malnourished to Thriving: Tanzania's Nutrition Revolution
I. A Shadow of Hunger
In the heart of Tanzania, a young girl named Asha clutches a meager piece of bread - her entire breakfast...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Elimu ya sekondari imekua ni muhimu kwa watu wote (elimu msingi), lengo ni kuwa kila mtu walau afike kidato cha nne. Ni jambo...
TANZANIA TUITAKAYO
MWANZO WA ANDIKO
Katika karne hii ya 21, hapana shaka ya kuwa mapinduzi ya sayansi na teknolojia yamekuwa ni makubwa kiasi cha kuleta mapinduzi makubwa ya viwanda sehemu...
Nilipokuwa mdogo wazazi wangu hawakuacha kunisisitiza nizingatie masomo kwani elimu ni ufunguo wa maisha. Wazazi waliamini wakitupeleka shule nzuri na kutupatia elimu bora basi maisha yetu...
Chanzo: Safari Media
VITUO VYA HUDUMA JUMUISHI.
Ni namna ya kusogeza huduma karibu na wananchi.
Ni mjumuiko wa taasisi/mashirika ya kiserikali na binafsi katika eneo moja ili kutoa huduma kwa...
Utangulizi
Jamii ya watanzania tunaelekea katika mambo yanayobeba mustakali wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. kipindi cha mwaka 2024-2025 tutashiriki mambo makuu matatu ambayo yatabeba...
Infrastructure in this context will refers on all transportation networks, roads, railways ports, on the other hand, Agriculture includes Domestication, and cultivations of animal and crops...
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kumpongeza Mh Raisi Mama Samia pamoja na viongozi wote wanaopambana usiku na mchana kwa kuhakikisha Taifa hili linajengeka vyema nakuwa imara kila leo, uku...
UTANGULIZI:
Tanzania inatakiwa kuwa na malengo ya kuwa nchi yenye usawa wa kijinsia na kuheshimu haki za binadamu kwa wote. Moja ya changamoto kubwa ni ukatili wa kijinsia na ndoa za utotoni...
Tanzania imekuwa ikikumbwa na changamoto ya ajali za barabarani ambazo zimechangia kwa kiasi kikubwa vifo, ulemavu na uharibifu wa Mali na vyombo vya usafiri. Katika taarifa zinazotolewa nyingi...