Malezi
Malezi ndio Msingi bora wa kutengeneza watu bora na watu wa maana katika nchi ,malezi yasipokuwa mazuri kwa watu hakika tutatengeneza Tanzania ambayo itakosa kuwa na viongozi wazuri na...
UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI
Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya...
JE SIASA MCHEZO MCHAFU?
1. Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi
2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais
3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu
4. Mchezo huu...
Awali ya yote nipende kutoa pongezi kwa timu mbalimbali za michezo pamoja na wawekezaji wake hapa Tanzania( Simba na Yanga) zimejitaidi kadri ziwezavyo kulitangaza soccer la Tanzania kwa kila...
Utajiri: Utajiri ni namna ya kuwa na vitu vingi vya thamani na kuwa na vyanzo vya mapato ambavyo vinamilikiwa na mtu au nchi .Tanzania imebalikiwa na katika utajiri wa vitu vingi sana vya...
SEKTA YA ELIMU
"ELIMU" ni msingi katika maisha ya sasa naya baadae. napenda kuzungumzia kuhusu utoaji wa na ufaulishaji wa shule za serikali haswa za kata na nyinginezo. ili tuweze kuifikia...
In the heart of East Africa, Tanzania stands at a crossroads. For too long, its justice system has relied on speculation and circumstantial evidence to prosecute suspects, often resulting in...
UTANGULIZI:
Fomu ya Polisi namba 3 (PF3) nchini Tanzania ni hati rasmi inayotumiwa na polisi kuandika ripoti za matukio mbalimbali yanayohusisha madhara ya mwili au ajali. Inatumika kama chombo...
Kutokana na kila kiongozi /watumishi wanao teuliwa na viongozi wakuu ,mfano rais kuendeleza ufisadi karibu kila secta. Kutungwe sheria maalumu itakayo tumika kuwa filisi ,kutaifisha mali za...
SIMBA, YANGA WAMEAMUA KULALA, WAAMKE WAWE MATAJIRI
Binafsi nimekuwa mpenzi wa moja wa timu zetu pendwa hapa Tanzania. Nimekuwa mmoja wa wanunuzi na wachangiaji wazuri wa kununua bidhaa pamoja na...
Mpango huu wa kina unaonyesha ramani kabambe ya miaka 15 ya kuleta mapinduzi katika sekta ya elimu ya Tanzania, kushughulikia masuala ya kimfumo yenye mizizi mirefu na kulipeleka taifa kwenye...
Tanzania ya miaka 15 ijayo inapaswa kuwa nchi yenye mfumo imara wa vyuo vya ufundi stadi (VETA) ambao unatoa mafunzo yanayokidhi mahitaji ya soko la ajira. Kuimarisha vyuo vya VETA ni muhimu sana...
Kupanga uzazi ni kitendo cha mtu kuamua kuwa na idadi maalum ya watoto kwa ustawi wa familia yake. Wapo wanaotumia njia hizi wakiwa pia hawajabahatika kua na watoto.
Kuna aina kuu mbili za njia...
Throughout history, societies have employed storytelling as a powerful tool to convey moral lessons and shape societal values .From the grand myths of antiquity to the theatrical enactments of...
Hadithi ya kuhuzunisha
Changamoto Za Vijana
Tatizo la ajira kwa vijana ni kilio kilichokosa mfariji wa kudumu. Japo kwa Afrika kilio cha ajira machozi yake ni damu Tanzania Vijana wanaongezeka na...
Hemiptomia ni nakala ambayo ndani yake utakuta mambo ambayo mtu yeyote haswa mtaalamu au mtumishi wa serikali hawezi hawezi kuthubutu kukufahamisha. Ni mambo ambayo hayafahamiki lakini si kwa kua...
Utangulizi
Dira ya maendeleo ya taifa ya mwaka 2000-2025, iko mbioni kutamatika. Na sasa mchakato wa kupata dira mpya ya maendeleo ya taifa ya miaka 25 yaani TANZANIA TUITAKAYO ya kuanzia 2025-...
Copyrights give the copyright owner exclusive rights over their original works. While not all works are copyrightable, a few examples of copyrightable materials include movies, literary works...
Duration: 5 Years
Objective: The primary goal of this project is to implement a blockchain-based system with AI integration to facilitate secure, transparent, and tamper-proof land registration...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.