Tanzania Bara, kila halmashauri ina idara ya ardhi inayosimamia masuala yote ya ardhi chini ya Kamishna wa Ardhi. Ni muhimu kila mmiliki wa ardhi awe na hati/cheti halisi cha hakimiliki...
Ulimwengu umekuwa kijiji kwasababu ya ukuaji wa sayansi na teknolojia. Kupata habari na matukio ya ulimwengu ni rahisi sana kuliko hata kuipata shilingi. Hii inatokana na maendeleo na hatua kubwa...
Elimu ni Moja ya sekta nyeti sana na yenye umuhimu sana Kwa Taifa lolote lile linalohitaji kupiga Hatua ya kimaendeleo kutoka Hatua moja kwenda Hatua nyingine,na elimu hiyo inatoka kizazi kimoja...
TANZANIA IJAYO
Joseph Nyoni
Nikiwa kama mtanzania, napenda kuchangia mambo kadhaa ambayo yatakuja kuinua taifa hili na kufanya liwe na maendeleo makubwa. Endapo mambo haya yatafanyika basi miaka...
1. Tanzania Tuitakayo Ni Lazima Kwanza Itoke Kwenye Mifumo Tegemezi Ambayo Bado Inatufanya Tuwe Watumwa Kifedha, Kifikira Na Mpaka Kutufanya Kuwa Wabinafsi;
Mfano; Mambo Ya Kukopa Fedha Kwenye...
Miaka ya 1960 mpaka miaka ya 2000 nchini Tanzania runinga nyingi zilitumia mfumo wa analojia ambapo mfumo huo uliwezesha runinga hizo kupata matangazo ya moja bila kuwa na kisimbuzi ambapo...
Adui wa haki kwa miaka yote ni rushwa.rushwa limebaki kua fumbo zito kwa nchi nyingi duniani kulitatua ikiwemo nchi yangu pendwa Tanzania, ni Imani yangu kama usipopatikana muafaka wa hili suala...
Maono ya Kibunifu kwa Kozi za Mtandaoni kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo
Utangulizi
Katika ulimwengu wa sasa unaoendeshwa na teknolojia, elimu ya mtandaoni imekuwa njia muhimu ya kuwapatia...
Sekta ya elimu ni sehemu kubwa katika maendeleo ya taifa, elimu inasaidia kwa asilimia kubwa maendeleo ya taifa katika uongozaji na jpandaji wa uchumi.
Elimu yetu kwakiasi kikubwa imekuwa ni...
Ili kupunguza uwizi kwa njia ya mtandao wa tuma kwa namba hii ni vyema Serikali kwa kushirikiana na kampuni za mawasiliano kuja na program maalum ya kuwa na limit ya umbali wa kutuma fedha lkn pia...
Wizara ya ujenzi inatakiwa kufanya kazi bega kwa bega na wizara ya madini ilikurahisha upatikanaji wa malighafi za ujenzi wa miundombinu ya barabara ili ujenzi uweze kukamilika kwa wakati na...
Tanzania NI nchi ambayo ina taasisi tofauti tofauti kwaajili ya ukusanyaji wa Kodi, ikiwemo TRA, Polis, na Taasisi tofauti tofauti, Ila cha kushangaza ni namna ya usimamizi wa MAPATO Bado...
Utangulizi:
Kwa muda mrefu mafuriko yamekuwa yakiharibu miundombinu ya uchukuzi na usafirishaji nchini, pia kuleta maafa ya vifo kwa raia na mali zao, na kwa ujumla hurejesha nyuma kasi ya...
Makazi ni mahitaji ya binadamu kwa lengo la kukizi huduma za maisha. Maisha ni hali au uwezo wa kuishi kwa kuzingatia kula mlo kamili wenye virutubisho.
Tanzania inakumbana na changamoto nyingi...
Naitwa Amos maduhu magembe kutoka ubungo manicipal kata ya kibamba.
Uchumi ni swala la msingi na UTI wa mgongo Katika maendeleo ya taifa letu la Tanzania Katika maswala ya kiuchumi, tunahitaji...
Utangulizi. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzia mwaka 1962, wakati Tanganyika ilipopata uhuru kutoka kwa Uingereza. Katiba ya kwanza ya Tanganyika ilipitishwa mwaka 1962 na ilikuwa...
Tanzania imekuwa moja ya nchi ambazo zinatafunwa na watu baadhi ambao wanachukua pesa za umma kwa matumizi yao binafsi kwa mujibu wa CAG kila wizara imepatkana na baadhi ya watu wabadhilifu kwa...
Objective; To implement rainwater harvesting systems in both rural and urban areas of Tanzania to mitigate water scarcity, improve access to clean water, and enhance sustainable water management...
Objective
To design and implement an AI-powered project aimed at enhancing wildlife conservation efforts in Tanzania, focusing on real-time monitoring, anti-poaching measures, habitat protection...
Tanzania tuliyonayo ni nchi bora kama yafuatayo yangezingatiwa tangu watoto wakiwa wadogo
1. Ufundishwaji wa elimu ya fedha mashuleni ,hii ingesaidia kujua namna ya kuzingatia matumizi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.