UTANGULIZI
Katika nchi ya Tanzania tatizo la afya ya akili, limekuwa ni moja la tatizo linalogonga vichwa vya habari kila kukicha. Kumekuwa na taarifa nyingi sana za watu kujiua kutokana na sababu...
Mazingira ni kitu Chochote kinacho mzunguka mwanadamu mfano mito milima na mabonde,bahari,misitu n vitu vingi sana vingi. Ila katika hayo mazingira pia yako mazingira ya kubuni n yako mazingira ya...
Katika jamii kote ulimwenguni, uhusiano kati ya raia na vikosi vya usalama una umuhimu mkubwa sana kwa masilai makubwa ya usalama wa taifa. Ni mwingiliano unaobadilika unaounda muundo wa uthabiti...
UTANGULIZI.
Licha ya selikari kufanya jitihada kubwa katika huduma za afya, ikiwemo majengo ya kutolea huduma za afya na wataalamu mbalimbali. Bado Kuna changamoto katika upatikanaji wa bidhaa za...
Kati ya mambo yanayoikwamisha nchi yetu ya Tanzania kufikia maendeleo ya kimiundo mbinu pamoja na maendeleo hitajika ni udokozi yaani upigaji wa fedha za umma. Hii imesababisha baadhi ya...
Habari Wanajukwaa wote!
Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja...
Utangulizi:
Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania...
Introduction
Tanzania, often celebrated for its stunning landscapes and rich cultural heritage, faces a critical challenge: widespread sanitation issues. Despite global advancements in urban...
Ufafanuzi wa Elimu Kidegitali
Elimu kidigitali ni mchakato wa kujifunza na kufundisha unaotumia teknolojia za kidigitali kama kompyuta, vifaa vya mkononi simu janja, vishikwambi na mtandao ili...
Nimefurahishwa sana na ukweli kwamba mimi ni Mtanzania. Hii si kwa sababu nina pesa sana na matatizo yote ambayo nchi yangu inakabiliwa nayo, lakini kwa sababu ninaona wakati ujao ni bora na...
Background Information
In recent years, Tanzania has experienced rapid urbanization, particularly in major cities such as Dar es Salaam, Mwanza, Arusha and Mbeya. This urban growth has resulted in...
Kuifikia Tanzania tunayoitaka ambayo itakuwa kwaajili ya wanajamii wote ,tunahitaji mbinu mbadala ambayo itaunganisha watu wote husika na itahusianisha huduma mbadala kwa makundi husika ya jamii...
SERIKALI ISISUBIRI MATUKIO NDIO ITOE AJIRA
Serikali yetu imekuwa itumia ajira kutuliza matukio ya kisiasa, kiuchumi, au majanga yanayotokea hapa nchini. Ili kuwa na utawala bora Kuna haja ya kuwa...
Ukiongelea haya mambo utajua ni utani,ila ukosefu wa hivi vitu ndio sababu namba 1 ya vifo vingi kwenye mkanyagano katika mikusanyiko na vifo kupitia magonjwa ya ghafla majumbani
[emoji117]Kwa...
TANZANIA TUNAYOITAKA NI ILE AMBAYO RAIA WANAIJUA SHERIA KAMA WANAVYOJUA WAJIBU WAO.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukihangaika na matokeo ya ukiukwaji na upindishwaji wa sheria bila kupambana na mzizi...
Elimu ni Kitu cha msingi sana ili kuipata Tanzania Tuitakayo, Kuna baadhi ya mambo yakiboleshwa katika Elimu kuanzia ngazi ya msingi hadi Elimu ya juu:-
1. Ufuatiliaji wa mitaala kwa shule za...
TANZANIA TUNAYOITAKA NI ILE AMBAYO INATHAMINI WANAOTUMIA AKILI KULIKO WANAJITOA AKILI.
Tupo kama tulivyo kisiasa,kiuchumi na kijamii sababu ya kazi kubwa waliyofanya waliotutangulia ambao...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizomo katika Ushirikiano wa Kusini-Kusini (South South developing countries). Ushirikiano huo unaashiria ushirikiano wa kisiasa, kiuchumi, na kiutamaduni kati ya...
TANZANIA TUITAKAYO
Black Author
Utangulizi
Dira halisi ya maendeleo ya taifa lolote linaloendelea,na lililoendelea katika mipango yake,huzingatia sana mambo mawili yafuatayo,Kwanza,ni nadhari...
kilimo ni uti wa mgongo katika uchumi wa nchi.kutokana na matokeo ya sensa ya kilimo mifugo na uvuvi ya mwaka 2019/2020 yanaonesha asilimia 65.5 ya kaya zilizopo Tanzania zinajihusisha na kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.