MAPAMBANO KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WATOTO NA KUREJESHA MAADILI KATIKA JAMII.
Imekuwa kama hadithi ya kuzoeleka katika jamii, watu wakifanya matukio ya kutisha kila kukicha hapa nchini. Wengine...
Ili kufikia malengo ya kufanikisha Tanzania tuitakayo tukianzia kwenye suala la mazingira
Tanzania ni nchi ambayo inae mazingira bora inae mazingira mazuri sana lakini tukija baadhi ya maeneo...
INTRODUCTION: As a developing country and one of the peripheral states in the world, Tanzania has so many areas to improve in order to boost economic development and improve the welfare of the...
Maana ya Rushwa:
Rushwa ni matendo ya kupokea au kutoa hongo, zawadi au malipo mengine kwa madhumuni ya kupata manufaa yasiyostahili, au kuepuka hatari inayotokana na kutofanya hivyo. Inaweza...
Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya...
Yawezekana yapo machapisho mengi yahusuyo mila,desturi na maadili lakini yakawa tofauti na wazo langu. Ndio Tanzania nchi yangu ina takribani makabila mia na ushee ambayo yanatofautiana katika...
Tanzania ina utaratibu wa kutenga kiasi cha fedha kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri zote kwa ajili ya maendeleo ya vijana, wanawake na walemavu. Fedha hizo hutokana na asilimia 10% ya...
Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya...
TRANSFORMING TANZANIA'S EDUCATION SECTOR: A VISION FOR THE NEXT DECADE
Tanzania, a land of diverse cultures and breathtaking landscapes, envisions a future where education becomes the cornerstone...
Tanzania ni jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Muunganiko huu uliofanyika 26,April,1964 takeibani miaka 60 sasa ndo ulizaa Tanzania.
Tatizo la mtandao(network)
Tangu uhuru,Tanzania na...
Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania...
Familia nyingi za sasa na walezi wengi wa sasa, wamekuwa ni sehemu ya kusababisha mengi mabaya ya jamii hii ya leo hususani katika malezi na makuzi ya watoto wa kike na wa kiume. Neno kusema hili...
Uzalendo ni kitendo cha mtu kuipenda, kuithamini na kupambania nchi yake.natamani miaka mitano na kuendelea tuzalishe jamii ya uzalendo wa kweli na kuithamini nchi yetu.
Mapendezekezo yangu bunge...
Utangulizi:
Tanzania ni nchi ambayo imepewa zawadi ya kipekee na Mwenyezi Mungu katika bara la Afrika kwa kubarikiwa kuwa na sehemu nyingi zenye vivutio na rasilimali ambazo zikitumika vizuri...
I. A Nation Held Back: Bottlenecks & Lost Opportunities.
Imagine a cashew farmer in Mtwara, their harvest ready for export, anxiously watching profits dwindle due to port delays – a reality shared...
Ni pamoja na kutunga sera ,sheria pamoja na kanuni kwa watu wenye ulemavu ili kuwajali na kushirikiana nao katika maendeleo ya nchi kwa ujumla kwakuwa na wao wanamchango mkubwa mno kwa asilimia 70...
Sera ya elimu itaje na kusimamia ujuzi wa watoto kuanzia ngazi ya msingi hadi chuo kikuu.
Elimu ilenge kutoa wataalamu na wajuzi, watoto watambuliwe uwezo mapema katika ngazi za awali kielimu ili...
Kwanza kabisa komasavaa wadau wote wa SOC 2024. Sauti tunazopaza katika makala hizi ziwe sauti zenye kuleta mabadriko kweli na zisiwe sautibubu zakuishia hapahapa jf. Mapendekezo yangu ni kama...
TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI.
Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama...
Bio gesi ni nishati ambayo hutengezwa kwa kutumia kinyesi cha wanyama kama vile ngombe, mbuzi na kondoo, na wanyama wengine ambao ni wakufugwa,pia huzalishwa baada ya kuoza kwa mbolea ya wanyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.