Kuongezeka kwa idadi ya watu ulimwenguni kumesababisha ongezeko kubwa la uzalishaji wa taka ngumu na vimiminika katika mazingira yetu. Ambapo ni asilimia 40 tu ya taka ngumu zinahifadhiwa katika...
Kwa hali ya sasa masanduku ya kutolea maoni yapo kwenye ofisi husika jambo ambalo maoni kama yanamuhusu mhusika anaefungua halifanyiwi kazi au kupotezewa au wakati mwingine kuto kufwatiliwa kwa...
Nafasi Ya Ujuzi Wa Kidijitali Katika Kuziba Pengo La Ajira Nchini Tanzania
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ukuaji wa ajabu katika uchumi wake wa kidijitali, na hivyo kusukuma...
Katika miaka 5 ijayo, Tanzania inaweza kuboresha sekta ya elimu kwa kufanya yafuatayo:
1. Kuongeza bajeti ya elimu ili kuhakikisha upatikanaji wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia.
2. Kuwekeza...
Tanzania ina hazina ya futi za ujazo trilioni 57.25 za gesi asilia iliyo thibitishwa, kiasi ambacho ni kikubwa kubadili uchumi na kuleta maendeleo kwa taifa la Tanzania, sehemu kubwa ya hazina...
Tanzania ya Kijani inawezekana
Yafuatayo yaweza fanyika katika Sekta ya Mazingira:
Tanzania ina ukubwa wa takribani Km za mraba 945,087. Ni moja ya nchii liyojaliwa kwa ukubwa ardhi yenye...
UTANGULIZI
Swali la kuu la kujiuliza ni kuwa , Tanzania imekuwa na vizazi vingi tangu ilipojipatia Uhuru mwaka 1961 na kumekuwa na awamu takribani tano za Uongozi, kwanini adi leo hutujaipata...
Ubia kati ya Serikali na sekta binafsi katika miradi ya maendeleo ( public private partnership), katika kuleta maendeleo ya kuichumi ni muhimu, kwa Tanzania ubia kati ya serekali na sekta binafsi...
Moja ya kitu Cha kujivunia ni kuzaliwa Katika nchi ya Tanzania, imejaliwa kuwa na vitu vingi vya kuvutia na kupendeza sana vilivyo tapakaa nchi nzima. Mfano wa vitu hivyo ni kama Mlima...
Malezi Bora yanajumuisha wazazi wote wawili kuishi pamoja na kushirikiana.
Ili kuibadilisha Tanzania yetu ni vyema malezi ya watoto yaanze tokea mtoto anapo zaliwa. Malezi bora yanatokana na...
INTRODUCTION
Dar es Salaam stands as the largest city and economic center of Tanzania, located on the eastern coast of the nation. It functions as the primary seaport and commercial nucleus...
KUWAHESHIMU NA KUWALINDA WATU WALIO NA ULEMAVU KWA AJILI YA KULIJENGA TAIFA LA KESHO
Tanzania tuitakayo miaka mitano ijayo.
Ni pamoja na kutunga sera, sheria pamoja na kanuni kwa watu wenye...
UTANGULIZI
AFYA NI NINI?
Afya ni hali ya ustawi wa kimwili, kihisia, na kijamii ya mtu binafsi au jamii nzima. Ni zaidi ya kutokuwepo kwa ugonjwa; ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, na...
kwa mkono wa: Mikael Mtanzania.
Yeyote asiyekubali kubadilika basi mabadiliko yatamuacha nyuma.
Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi hasa yanapotokea majanga au unapotokea moto umewaka sehemu...
TUWAANDAE WATANZANIA KUTOITEGEMEA TANESCO
UTANGULIZI
Nchi yetu imepitia katika matatizo ya mara kwa mara ya ukatikaji wa umeme na mgao wa umeme kwa nchi nzima takribani miaka 30...
No ya watoto wa kiume Tanzania inazidi kupunguza ukiondoa vifo ila hata uzaliwaji wa watoto wa kiume umekuwa mdogo sana na hii kupeleka hata taifa siku za usoni kukosa nguvu kazi ya taifa lenye...
M. M. Mwanakijiji
UANZISHAJI WA TRENI YA KITABIBU IFIKAPO 2027
Introduction:
Tanzania, like many developing countries, faces significant challenges in providing adequate healthcare services to...
ELIMU KIDIGITALI
Elimu huweza kumsaidia mtoto kuweza kujitambua na kutambua mambo mengi yanayomzunguka, pia huweza kumsaidia mwanadamu kuishi kwa kukabilia na mazingira yake.
Elimu kidigitali ni...
Elimu za shule ya msingi (masomo) ni mzigo mkubwa sana hasa kwa watoto ambao hawajui maisha yao ya baadaye yatakuja kuwa upande upi, labda huenda mtoto akawa daktari, rubani, mcheza soka au...
Uwekezaji Katika Teknolojia na TEHAMA: Njia ya Kuijenga Tanzania Bora
Teknolojia na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) zimekuwa nyenzo muhimu katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na...