Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

2 Votes
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi kiasi cha kuweza kuihudumia dunia katika mambo mbalimbali kama chakula, sekta ya madini na hata mavazi endapo zitatumika vema. Tangu kipindi cha uongozi wa...
2 Reactions
3 Replies
255 Views
Upvote 2
0 Votes
Mi na ishauri serikal hasa kwenye sekta ya elimu maana ndio chimbuko la kila wadhifa elimu ya sekondari iwekwe mafunzo ya udereva ili pindi mtu anapo maliza kidato cha nne anakuwa tayari anayo...
0 Reactions
2 Replies
287 Views
Upvote 0
3 Votes
KUWEKEZA KATIKA UVUNAJI WA POLENI ZA NYUKI KWA AJILI YA MATIBABU YA FIGO Poleni ni seli za uzazi za mimea. Nyuki, wadudu wengine, upepo, na maji hupamba mimea kwa kuhamisha poleni kutoka kwenye...
3 Reactions
7 Replies
488 Views
Upvote 3
1 Vote
UTANGULIZI Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazoendelea barani Afrika. Ingawa changamoto zipo, tunaamini kuwa tuna fursa kubwa ya kujenga mustakabali mzuri kwa taifa letu. Chapisho la Gupta, 2020...
1 Reactions
2 Replies
257 Views
Upvote 1
0 Votes
Mfumo wa Elimu tulionao hapa Afrika hatukuutengeneza sisi wenyewe bali maadui zetu, hivyo kamwe usitegemee adui yako akupe elimu nzuri. Akupe elimu nzuri ili umpindue? Wazungu walipokuja kwa mara...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Upvote 0
2 Votes
Habari wadau, Kulingana na taratibu, sheria na kanuni mbalimbali za nchi hii nafasi za mawaziri huteuliwa na mheshimiwa raisi. Lakini siku ya leo napenda kutoa maoni yangu juu ya nafasi tano za...
2 Reactions
2 Replies
195 Views
Upvote 2
2 Votes
Ninaguswa sana na jinsi ya elimu yetu Tanzania, vitu tunavyofundishwa darasani sio vitu unavyokutana navyo kazini. Kuna umuhimu wa kuboresha ufundishaji wa elimu ya chuo kikuu. Ninaamini elimu...
2 Reactions
4 Replies
340 Views
Upvote 2
1 Vote
Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote, ikichangia kwa kiasi kikubwa ustawi na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, Tanzania inakabiliana na changamoto kadhaa...
1 Reactions
2 Replies
388 Views
Upvote 1
3 Votes
Utangulizi  Elimu ni nyenzo pekee ya kujenga ujuzi, maarifa, uwezo wa kupambanua mambo, udadisi na kujiamini ambako huchochea mapinduzi ya fikra, hatimaye maendeleo ya jamii husika. Changamoto ya...
3 Reactions
2 Replies
516 Views
Upvote 3
2 Votes
Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko...
2 Reactions
1 Replies
341 Views
Upvote 2
3 Votes
TANZANIA TUITAKAYO NA MFUMO WA MALEZI KATIKA LISHE Mimi ni mwanachama wa Jamii Forums, Jina langu ni mchechemuzi. Ushahidi wa tafiti za kisayansi umeonyesha kwamba msingi wa Taifa lolote lile...
2 Reactions
1 Replies
199 Views
Upvote 3
5 Votes
Katika maksha yetu ya kitanzania tunakabiliwa na changamlto kubwa sana ya ukuwaji wa kiuchumi. Tatizo ambalo linaonekana ni la kutithi Kwa vizazi na vizazi . Kwa Tanzania tumekua tuki Ami I kama...
3 Reactions
3 Replies
387 Views
Upvote 5
4 Votes
Kwa takriban mwaka mmoja sasa nchi nyingi za Afrika zimeendelea kukabiliwa na upungufu wa fedha za kigeni, hasa dola, fedha zinazotumika katika uagizaji wa bidhaa mbalimbali. Sababu kubwa...
3 Reactions
2 Replies
336 Views
Upvote 4
1 Vote
I. Introduction Tanzania, a resource-rich nation, is held back by corruption and fiscal mismanagement, with TZS 42.92 billion lost in 2022 alone. To combat this, the nation aims to achieve fiscal...
2 Reactions
1 Replies
243 Views
Upvote 1
2 Votes
Nianze makala hii kwa kutoa mfano halisi ambao nilikutana nao mimi mwenyewe. Siku moja nilikutana na tafrani kati ya dereva bajaji na askari barabara. Kile kilichotukia ni dereva kukamatwa...
2 Reactions
1 Replies
218 Views
Upvote 2
1 Vote
Tanzania, a land bathed in sunshine, holds immense potential to harness the power of the sun. "Future of Tanzania in Solar Energy" is not just a hopeful vision, but a call to action. By embracing...
1 Reactions
1 Replies
233 Views
Upvote 1
6 Votes
ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA. SHULE AU DAY CARE...
2 Reactions
12 Replies
359 Views
Upvote 6
1 Vote
Tanzania, a land woven with vibrant cultures, breathtaking landscapes, and a rich curtains of history. Tanzania is a nation we all call home, your home, my home its our home. Yet, the true beauty...
1 Reactions
1 Replies
200 Views
Upvote 1
2 Votes
Cargo system mtandao ni mfumo wa teknolojia ambao unawezesha kusafirisha bidhaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa njia ya mtandao. Inaweza kutumika kwa kusafirisha bidhaa za kielektroniki...
2 Reactions
1 Replies
215 Views
Upvote 2
2 Votes
Kilimo:ni utajiri na chakula Kwa binadamu wote Kwa Tanzania. Kilimo kinalisha watu wote Tanzania pia kilimo kinatajilisha watu waliomo humo kwenye kilimo hicho hicho.zipo njia baadhi zikitumika...
2 Reactions
5 Replies
249 Views
Upvote 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…