Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

2 Votes
Utangulizi; mazao mepesi kuharibika ni nguzo imara ya kipato kwa wafanya biashara wadogo wadogo kama vile mbogamboga na matunda, lakini changamoto kubwa ni kuharibika kwa uharaka hasa yawapo...
1 Reactions
3 Replies
328 Views
Upvote 2
0 Votes
PATRIOTISM AND ACCOUNTABILITY It's obvious the level of patriotism among Tanzanians has decreased which closely relates to the dysfunctional of public organizations in society. For example...
0 Reactions
1 Replies
157 Views
Upvote 0
2 Votes
Tz yetu hii imejikita kwenye michezo michache sana na hiyo michezo serikali ndio hitoa sapoti Kwa kiasi chake ila mm Kwa miaka kumi ijayo ni wkati wa serikali pamoja na wadau wote nchini kuunga...
1 Reactions
1 Replies
303 Views
Upvote 2
2 Votes
TUANZE NA WATOTO ELIMU YA KIFEDHA Moja ya elimu muhimu sana tulio ikwepa ni elimu ya fedha, ambayo huenda ingetusaidia sana kwenye mipango yetu ya maisha ya kila siku na hivyo kusaidia taifa hili...
1 Reactions
1 Replies
315 Views
Upvote 2
1 Vote
Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
Upvote 1
28 Votes
Utangulizi Siasa ni mchakato wa kufanya maamuzi na kuunda sera ambazo zinahusisha utawala na usimamizi wa jamii. Hujumuisha shughuli kama vile uchaguzi, utoaji wa sera, na ushiriki wa wananchi...
20 Reactions
17 Replies
2K Views
Upvote 28
4 Votes
Kwa kifupi kuabudu ni haki ya kikatiba kwa kila mtanzania. Walemavu wakusikia kama walivyo alemavu wengine wamesahaulika kabisa sehemu za ibada kama misikitini,makanisani.hata katika baadhi ya...
2 Reactions
2 Replies
224 Views
Upvote 4
2 Votes
Zao la tumbaku ni miongoni mwa mazao ya biashara ambayo kwa kiasi kikubwa iliaminika kwa miaka mingi kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi. Hili sio jambo la kufichika kutokana na ukweli...
1 Reactions
3 Replies
357 Views
Upvote 2
2 Votes
Advising the Government on Science and Technology As an AI assistant with a deep understanding of the complex interplay between science, technology, and governance, I am honored to provide a...
2 Reactions
1 Replies
193 Views
Upvote 2
2 Votes
Tanzania ni nchi yenye historia inayojieleza vizuri kwa wengi, ukwasi rasilimali na umoja. Katika kuelezea kuhusu Tanzania tuitakayo, ni muhimu kuelewa na kutathmini vipengele mbalimbali...
2 Reactions
2 Replies
214 Views
Upvote 2
4 Votes
Bungeni; Katika bunge la tanzania ni muhimu watu wenye mahitaji maalimu wangejumuishwa katika nafasi ya wabunge wa viti maalum hii itasaidia kuwepo kwa uhalisia wa mambo yao wanayowakabili katika...
3 Reactions
1 Replies
146 Views
Upvote 4
2 Votes
**Makala: Matumizi Sahihi ya Mitandao ya Utangulizi Katika dunia ya leo, mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano vinachukua nafasi muhimu sana katika kuendesha mabadiliko ya kijamii...
1 Reactions
1 Replies
311 Views
Upvote 2
2 Votes
III Tanzania yetu kufikia nchi ya ahadi inahitaji kuimarika katika ngazi ya demokrasia huru na kupunguza vitendo vinavyochochea ubaguzi wa kisiasa katika nyanja mbalimbali kama vile; 1. Uchaguzi...
1 Reactions
1 Replies
214 Views
Upvote 2
2 Votes
Katika miaka 25 ijayo, Tanzania inayo safari ya mabadiliko kuelekea kuwa ni kielelezo cha kudumu cha mazingira, ubunifu, na utajiri. Msingi wa maono haya ni azimio la kutumia nguvu ya sayansi na...
2 Reactions
1 Replies
215 Views
Upvote 2
3 Votes
Utangulizi Katika dunia inayoendelea kwa kasi kubwa ya mabadiliko ya kiteknolojia, nchi yetu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi. Mabadiliko haya, hasa kutokana na kuibuka kwa...
1 Reactions
1 Replies
313 Views
Upvote 3
4 Votes
Janabi alikuwa kijana mwenye nguvu na azimio kubwa, akiwa na ndoto ya kuleta matumaini kwa kijiji chake na ulimwengu kwa ujumla. Alitamani siku moja awe rais, daktari, au kiongozi mkuu ambaye...
2 Reactions
1 Replies
199 Views
Upvote 4
2 Votes
Tuntufi alikuwa msichana mdogo mwenye akili sana aliyekulia katika kijiji kidogo cha Mtwara, kusini mwa Tanzania. Wazazi wake, Bi. Na Bw. Mwakasege, ambao wote walikuwa wakulima wenye bidii wa...
2 Reactions
1 Replies
160 Views
Upvote 2
1 Vote
Kutokana na takwimu za sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwaka 2022 imeonesha kuwa Tanzania ina watu wapatao milioni 60+ ikiwa ni ongezeko la watu milioni 20+ kutoka sensa ya mwaka 2012, kwa...
1 Reactions
1 Replies
278 Views
Upvote 1
2 Votes
Dira ya taifa kuelekea mwaka 2050 ni hatua muhimu sana itakayotoa taswira na muelekeo wa taifa kwa miaka takriban 25 ijayo. Umuhimu wa kuwa na malengo ya muda mrefu ya kitaifa ni nafasi nzuri ya...
1 Reactions
2 Replies
274 Views
Upvote 2
1 Vote
Ni wakati sasa serikali inatakiwa kuwaangalia wanawake wajawazito nakutoa elimu ya magonjwa ya afya ya akili kwa wajawazito lakini kwa jamii nzima kuelewa hili janga kwasababu jamii yetu pia haina...
1 Reactions
1 Replies
303 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom