UTANGULIZI
Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za...
Utangulizi
Umaskini ni moja kati ya matatizo yanayofanyiwa utafiti sana duniani, kwa ujumla Umaskini ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile chakula, maji salama, sehemu...
1. 0 UTANGULIZI.
Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya...
Kilimo ni moja ya sehemu ya ukuaji wa nchi na ni moja kati ya sekta iliyo ajili watu wengi katika nchi zilizoendelea na zinazoendelea kama Marekani.
Serikali ya Tanzania inahitaji kuwekeza nguvu...
MWANZO
Mfumo wa elimu uliopo hauandai mtoto wa kitanzania kwa ajili yakua hazina kwa taifa la kesho kutokana na mtaala uliopo. Mtaala huu hauna dira bora kwa ajili ya taifa tulitakalo kwasababu...
Watu wanasema "ukitaka kujua umepiga hatua basi simama na uangalie ulipotoka". Kwa sisi watanzania ambao tuna ujasiri wa kuhesabu miaka 62 tangu tupate uhuru wa kuijenga Tanzania tuliyoitaka...
UTANGULIZI:
(TAARIFA YA TCRA). 12 Mei 2024, mnamo majira ya saa tano asubuhi, kulikuwa na tatizo la upatikanaji wa huduma ya intanenti nchini. Taarifa za awali zimeonesha kuwa tatizo hilo...
TANZANIA TUITAKAYO
Nchini Tanzania wananchi uingia mkataba na viongozi kwa muda wa miaka mitano kwa lengo la kuboresha sehemu zenye mapungufu na kutatua kero na changamoto za wananchi katika...
"Ugumu wa maisha kaka umenifanya nifanye kazi hii na kuachana na taaluma yangu. Huu ni mwaka wa tatu nauza simu, maisha yanapaswa kuendelea"
Ni kauli ya kijana mmoja pale Makumbusho inayoonekana...
Utangulizi;
Kurahisisha ufikishaji wa umeme nchi nzima na utoshelevu, ni lazma vyanzo vipya vya uzalishaji wa nishati viongezeke kutokana na mazingira husika. Kama sehemu yenye milima iliyo na...
Nipende kushiriki katika stories of Change kama mdau wa JF. Kama vijana na wananchi wa Tanzania kunamambo ambayo tungependa kuona Nchi yetu ikiyazingatia hasa katika kuendana na dhima kubwa ya...
Revitalizing Tourism for a Brighter Future
It's an honor to be here today to discuss the future of tourism in our country. As a newly appointed advisor to the government on tourism, I'm excited...
Jamii inauhitaji mkubwa wa kujua SHERIA mbalimbali muhimu. Kutojua SHERIA sio sababu ya mtu kujitetea dhidi ya shitaka lolote linalomkabili mbele ya mahakama, hivyo kunauhitaji mkubwa kwa jamaii...
Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Tanzania yenye Haki na Usawa
Utangulizi
Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa...
Kwa kuzingatia Tanzania Tuitakayo hatuna budi mawazo yetu, fikra na mitazamo yetu, imuakisi kijana wa sasa na badaeTukiwa taifa ambalo tumejaliwa kuwa na kila rasilimali, ambazo tunaweza kuzitumia...
Embracing innovative ICT opportunities in Tanzania has the potential to transform the economic landscape over the next 5 to 25 years. By integrating technologies such as remote work platforms...
Mim nilikuwa nashauri serikali ianzishe mpango kazi mzurii juu ya kurahisisha upatikanaji wa vitambulisho kwa njia ya mtandaoni(online)ambapo mwananchi ataweza kuweka tarifa zake mtandaoni akiwa...
Tanzania ni nchi yenye zaidi ya watu millioni 60 Kwa mjibu wa sensa iliyofanyika 2023 pia ni nchi yenye makabila zaidi ya 120 yenye lugha tofauti tofauti lakini yanaunganishwa na lugha Moja ambayo...
Utangulizi
Tanzania ni nchi iliyo barikiwa ecologia na bainuai nyingi ikiwemo ardhi yenye rutuba,Mito mkubwa kama Rufiji,Maziwa pekee ziwa Victoria ,mabonde misitu ya asili kama msitu wa asili wa...
Kuijenga Tanzania ya Elimu Bora Ndani ya Miaka Mitano ijayo
Elimu ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote lile. Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika...