Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

3 Votes
Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao. Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira...
0 Reactions
2 Replies
391 Views
Upvote 3
1 Vote
Habari za muda huu ndugu zangu watanzania, nimewaza sana na kutafakari ni wapi kama taifa tunaelekea maana ukweli usiopingika kuwa tunazama huku tukijifariji kuwa tupo katika njia sahihi...
0 Reactions
1 Replies
210 Views
Upvote 1
2 Votes
Katika jamii ya watanzania kuna makundi mbalimbali ya watu wenye mahitaji mbalimbali yanayotofautiana, hata hivyo zipo njia mbalimbali za kuwafikishia mahitaji watu hao katika makundi yao...
0 Reactions
1 Replies
417 Views
Upvote 2
0 Votes
chanzo ni; yotube Hata sasa kwa Nchi ya Tanzania , Huduma ya upatikanaji wa namba za nida au vitambulisho vya nida bado imekuwa changamoto na mfumo huo kusumbua. Ofisi inayohusika na namba za...
0 Reactions
1 Replies
535 Views
Upvote 0
2 Votes
MAMBO 15 YA MSINGI SANA KUYAJUA ILI UISHI NA WENZIO VIZURI Thread 🧵 👏 1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Upvote 2
2 Votes
UTANGULIZI Wizara ya elimu imezindua mtaala mpya wa elimu karibuni wenye maboresho mbalimbali ambayo binafsi naona bado hayakidhi matakwa ya kasi ya sasa ya ulimwengu kisayansi na kiteknolojia...
0 Reactions
1 Replies
214 Views
Upvote 2
2 Votes
Taifa lolote lile Ili liweze kuendelea halina budi kuimarisha sekta ya Elimu Kwani ndiyo ukombozi wa binadamu na uchumi kwa ujumla. Tunaposema kuimarisha sekta ya Elimu inatakiwa kupata na...
0 Reactions
1 Replies
278 Views
Upvote 2
2 Votes
"Tanzania Innovation Hub for Education (TIHE)" ni mradi wa kipekee unaolenga kuimarisha sekta ya elimu nchini Tanzania kwa njia ya ubunifu na teknolojia. TIHE itakuwa kitovu cha ubunifu ambacho...
1 Reactions
2 Replies
226 Views
Upvote 2
2 Votes
Kama inavyoaminika katika Taifa lolote lolote misingi ya maendeleo hutokana na uwepo wa rasilimali zilizopo kwenye Taifa hilo,Taifa misingi yake ni Jamii zinazolizunguka taifa hilo, hivyo Uimara...
0 Reactions
1 Replies
237 Views
Upvote 2
0 Votes
Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani iliyojaliwa rasilimali nyingi ambazo ni fursa kwa Taifa na watu wake. Miongoni mwao ni uoto wa asili, milima, vyanzo vya maji sanjari na ardhi yenye...
0 Reactions
1 Replies
269 Views
Upvote 0
0 Votes
Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na propaganda inayoenezwa na wanasiasa, wafanya biashara na viongozi wengine wa serikali inayowakandamiza na kuwajaza hofu vijana wengi wa taifa hili ambazo kwa...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Upvote 0
1 Vote
Image: "Madini Yetu, Ustawi Wetu?" (Our Minerals, Our Prosperity?) I. Introduction: A Nation's Treasure, A People's Future Tanzania, a land of breathtaking beauty, possesses a treasure trove of...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Upvote 1
8 Votes
TANZANIA TUITAKAYO Our country TANZANIA is blessed, and in order to preserve and grow what we are blessed with we need to improvise both socially, economically and politically. The following are...
1 Reactions
5 Replies
498 Views
Upvote 8
5 Votes
UTANGULIZI Kuelekea Tanzania tuitakayo, Sekta ya Kilimo nchini Tanzania ni fursa kubwa ya kukuza Uchumi wa nchi, kupunguza umasikini kwa kuboresha maisha ya watu. Sekta hii inachangia kwa 23%...
2 Reactions
1 Replies
440 Views
Upvote 5
2 Votes
Tanzania ni miongoni mwa nchi kutoka Afrika ambayo ina uchumi wa kati, kulingana na Benki ya Dunia (WB). Vilevile, pato la nchi linakua toka lishuke kipindi cha UVIKO-19, limeongezeka hadi TSH...
0 Reactions
1 Replies
325 Views
Upvote 2
1 Vote
Kijana: "Nimechoka na huu mfumo dume unaopendelea mitihani kuliko stadi halisi za maisha. Hakuna uhusiano kati ya kufaulu mitihani na kuwa na mafanikio." Elimu: "Naelewa hisia zako, kijana...
0 Reactions
2 Replies
236 Views
Upvote 1
2 Votes
Kila Kona ya nchi yetu kumejaa madimbwi, Machozi kila Kona kila chozi linalotoka linaashiria machungu na maumivu, ni nani aliyetayari kukausha madimbwi haya?, ni nani wa kumfuta machozi huyu...
0 Reactions
3 Replies
346 Views
Upvote 2
0 Votes
Ukweli usio pingika taifa letu limekuwa likizalisha wataalamu wengi kila mwaka kutoka vyuo mbali mbali ndani na nje ya nchi. Lakini wengi wao hawapati nafasi ya kuonyesha uwezo wao kwenye soko la...
0 Reactions
3 Replies
215 Views
Upvote 0
1 Vote
Utangulizi VUTV ni mpango unaolenga kubadilisha mbinu nan njia tunazotumia Tanzania kufanya shughuli zetu hasa kwa maeneo ya vijijini ambapo ndipo uzalishaji wa bidhaa kama mazao na malighafi...
1 Reactions
3 Replies
219 Views
Upvote 1
4 Votes
UTANGULIZI Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kilimo, ikiwa ni pamoja na uzalishaji mdogo, upotevu mkubwa wa mazao baada ya mavuno, na utegemezi...
2 Reactions
5 Replies
403 Views
Upvote 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…