UTANGULIZI
Wazazi au walezi wengi wa kitanzania hawana elimu bora ya malezi jambo linalopelekea kutokuzalisha vijana walio bora kwenye jamii wenye kuleta matokeo chanya kwa taifa na hatimae...
TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ZIWE HURU KIBIASHARA.
Kipindi cha wakoloni mataifa ya Afrika yalitawaliwa na nchi zilizoendelea hadi zenyewe zilishidwa kuendela, ukiangalia kwa macho ya kawaida utasema...
THE TANZANIA WE WANT
Tanzania as a country is blessed with lots of potentials that needs to be utilized in such a sense that they can enable the country to have an outstanding economy.The...
Elimu bora inamaanisha mfumo wa elimu ambao unahakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya kupata elimu ya hali ya juu na inayomudu kuboresha maisha yake. Hii inajumuisha mambo mengi, kama...
Utoaji wa dhamana mahakamani hasa kwa kesi za ukatili wa kijinsi kwa watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti kwa kiasi kikubwa zimeendelea kuathiri mwenendo wa kesi hizo kutokana na mtuhumiwa kuwa nje...
♦️Binadamu ni viumbe wa ajabu sana. Watu wakikuona una uwezo wa kufanya jambo fulani, au pengine wewe ni miongoni mwa watu ambao una ushawishi fulani kwenye Jamii, watataka kukutumia ili...
Tanzania tuitakayo:
Kumekuwa na changamoto kubwa ya vijana walio maliza chuo kukosa ajira , hii inapelekea vijana kuwa tegemezi katika familia zao. Chanzo ya vijana kukosa ajira ni mfumo mbovu wa...
Nchini Tanzania, hali ya umasikini bado imetamalaki licha ya jitihada mbalimbali kuchukuliwa ili kupunguza umasikini na kukuza uchumi. Jitihada za kupunguza umasikini zimeonekana kuwa na matokeo...
Vipaji imekuwa ni ajira inayolipa katika inchi zilizoendelea,inchi nyingi zilizoendelea duniani zimewekeza kwenye kutambua na kuibua vipaji vya watoto.
Andiko hili linaelezea umuhimu wa Serikali...
Elimu ni taa ya nchi na wananchi wenyewe.
Elimu ikipatikana Kwa ufasaha Kwa mlaji wa mwisho inachochea watu kuzipenda na kuihitaji katika maisha yao.elimu Kwa baadhi ya wazee wetu walio pata...
Nimewahi kukutana na msemo mmoja unasema "Maisha yangu yalianza kuwa magumu baada tu ya kutaka kuwa mtu mzuri kwa kila mtu".
Kwenye haya maisha unaweza ukawa mtu mwema tu lakini ikawa si lazima...
NB: picha kwa hisani ya mtandao.
UTANGULIZI.
👉 Linapokuja suala la mapenzi, mahusiano, na ndoa, watu wanaweza kuwa na matakwa mbalimbali yanayohusiana na hali ya maisha, utamaduni, na imani zao...
UTANGULIZI
Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii adhimu, ya kuleta mapendekezo chanya kwa maendeleo ya Taifa letu. Ningependa kuanza kwa kuuliza, Je Tanzania tuitakayo ni ipi? Ni...
In the next 25 years, Tanzania has the opportunity to leverage technology to propel itself to the next level in various sectors, including education, healthcare, agriculture, governance, and...
Bwana Yesu ASIFIWE ....
Assalamualaikum......
Serikali ianzishe wizara maalumu ya saikolojia na utatuzi wa migogoro ili kuzipunguzia wizara zingine mzigo wa kushughulikia migogoro
Kwanza nianze...
Ajira ni tatizo kubwa linalozikumba nchi nyingi duniani, tatizo hilo linajulikana kama (Global Problem) likiwa na maana ya tatizo la kidunia. Kutokana na ripoti iliyotolewa na Decent Job for Youth...
Mwaka Kesho 2025 mnamo October mpaka November basi kila raia wa Tanzania hadithi yake mpya itayo kua na mabadiliko ndipo itapo Anza kama ilikua ni yakupata uchaguzi wa haki,kupata kiongozi alie...
UTANGULIZI.
👉 Watu hufungwa jela kwa sababu mbalimbali, zinazohusiana na kuvunja sheria za nchi.
Picha kwa hisani ya mtandao.
👉 Adhabu ya kifungo jela inakusudia,
1. Kutoa adhabu.Kuwaadhibu...
In Tanzania, the problem of poverty and unemployment persists even though various efforts are taken to combat poverty. Efforts taken to combat poverty have produced only a modest decrease in...
Hili ni andiko langu kwa wapenda soka nchini.
Bila shaka mtakubaliana nami, kwamba, tangu kuanzishwa kwa UMITASHMITA na UMISETA, kumekuwa na malalamiko mengi kwa walimu na wadau wengine kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.