UTANGULIZI.
NB: picha ya kibonzo kwa hisani ya mtandao mchoraji Marco Tibasam
📌Tanzania ina historia ya mafanikio katika michezo mbalimbali kama vile riadha, masumbwi,soka, na mengineyo. Ingawa...
Ubunifu katika Sekta ya Elimu kwa Uwezeshaji wa Kufikia Utoaji wa Huduma Bora kwa Jamii kwa Awamu
Ili kuboresha elimu na kuhakikisha kila mtu anapata fursa sawa ya elimu bora, ninapendekeza...
Kuunda Tanzania bora zaidi katika miaka ijayo kutafuta mbinu madhubuti na mawazo bunifu ya kutekelezeka katika nyanja mbalimbali. Kupitia mipango ya miaka 5, 10, 15, na 25, tunaweza kuona...
Imekua ni dhana iliyoko kwenye vichwa vya watu wengi hasa watumishi, wapya na wengine wazoefu kuwa kufanya kazi kwenye kata ni jambo gumu sana kuweza kulitekeleza, na hiyo inathibitika kutokana na...
🇹🇿 Tanzania viongozi na taasisi za serikali bado ushirikiano hakuna baadhi ya taasisi aziwasiliani na taasisi zingine katika kufanya maendeleo unakuta kila taasisi mbabe kwakuwa kila mtu...
Kuhusu swala la umeme apo jambo la muhimu ni kuangalia changamoto na matatizo yaliyopo ndio waanze mbinu na mifumo mipya,awawezi kuanza mfumo mpya wakiwa na vitu ambavyo sio bora.atuwezi kuwa na...
Chanzo: Adequate spacing between births may reduce stunting in children, Study
Utangulizi:
Afya ya watoto ni muhimu sana kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Hata hivyo, tatizo la watoto...
Nimekuwa nikifatilia muda mrefu sana toka Serikali imebadili baadhi ya maombi ya ajira kuwa yanaombwa kwa njia ya mtandao (Online Application) nina kama miaka 4 sasa nafanya kazi hii ya kusaidia...
Magonjwa yasioambukizwa sio jambo geni masikioni mwetu, shuleni tumesoma baadhi ila kwa juu juu sana. Magonjwa yaliyopewa kipaumbele ni magonjwa ya kuambukiza, elimu yake imekua ikitolewa mpaka...
Kwa majina naitwa Majengo Saidi Swadi.
Nianze kwa kuangazia namna ambavyo maisha halisi ya wananchi yanavyotofautiana na takwimu za kukua kwa uchumi wa nchi.
• Kwa kawaida tunasema kipimo cha...
Tusipo jiandaa mapema, Watanzania wanaweza wakatumbukia kwenye dimbwi kubwa la migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa matukio yenye uhusiano na magonjwa ya akili...
1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya...
Dawati la Jinsia ni kitengo kinachopambana na Ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto kilichopo ndani ya Idara ya Polisi Tanzania na kitengo hiki hupatikana katika vituo vingi vya polis...
Maliasili ni vitu ambavyo vipo asilia. Vitu hivi ni vitu vinavyotuzunguka lakini havijatengenezwa na mtu au taifa fulani. Asilimia kubwa tunategemea maliasili kwa ajili ya kuendeleza uchumi wa...
Mfumo wa kidijitali wa ufuatiliaji wa Miradi ya Serikali Ili kuongeza uwazi. (Government Projects Tracking System).
Maendeleo ya Sayansi na teknolojia yamerahisisha utoaji wa huduma mbalimbali...
Tanzania kama zilivyo ichi nyingine inakabiliwa na changamoto lukuki za kimaendeleo, mfano Kwenye sekta ya elimu, miundo mbinu, uchumi na afya hivyo kunahaja kubwa ya kuchukua hatua mathubiti ili...
1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya...
Tanzania imekua ikishuhudia mabadiriko mbalimbali ya kimaendeleo, kufuatia mabadiriko haya vijiji vimekua toka ukijiji hadi mitaa, miji hadi manispaa, manispaa hadi majiji nakadharika.
Kufuatia...
UTANGULIZI
Inaweza kutafsiriwa kama umaridadi kuwa na gari kila kaya, lakini ndivyo ukweli ulivyo kuwa gari kila kaya ni mwarobaino wa vifo vinavyotokana na umbali wa vituo vya afya kwa baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.