Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia...
Mwanzo wa Safari ya Maisha ya Kijana Mmoja Jina Lake Hamisi
Kijiji cha Nyumbani; Hamisi alizaliwa na kukulia katika kijiji kidogo cha Ngongoseke, kilichopo katika Wilaya ya Kondoa, Mkoa wa...
There is one thing in universities especially for engineering takers called PROJECT, it usually pops up at the last year. Taking one’s idea into real practice is how I can shortly describe a...
Wazo hili linahusu matumizi ya teknolojia ya blockchain katika usimamizi wa ardhi na hati za umiliki ili kuongeza uwazi, usalama, na ufanisi katika sekta ya ardhi nchini Tanzania.
Blockchain ni...
The Crisis and the Promise
The sun beats down on Mwanahamisi's weathered face as she surveys her farm, a stark reminder of the agricultural crisis gripping Tanzania. Once vibrant fields are now...
Hivi umeshawai kujaribu au kuona nini kinachotokea baada yakujaribu kujaza maji kwenye mtungi unaovuja, kwa hakika kitakachotokea ni kwamba maji yatakuwa yanaingia tu kwenye mtungi kisha yana...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Karibu kwa maada yangu. Awali ya yote, niwashukuru wote kwa kufika hapa leo.
Acha nianze kwa kusema maneno machache kuhusu mustakabari wa...
Kiongozi ni mtu mwenye maono ambayo yatakayowawezesha watu wake kufikia malengo flani waliyopanga au aliyonayo mwenyewe kwa maendeleo ya watu anaowaongoza na jamiii kiujumla.
Uongozi ni kitu...
Niwasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!......
Awali ya yote napenda kujadili maada hii kwa Maslahi mapana ya Taifa.
👉Kizazi cha sasa na kijacho nchini Tanzania kinahitaji uongozi...
UTANGULIZI
- Tanzania tuitakayo ni ile ambayo wananchi wake wana utaratibu mzuri wa kujiwekea akiba. Akiba ni muhimu sana katika ustawi wa kibinafsi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi. Kwa hiyo...
Jambo la utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo ambao wengi wao ni wanawake vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi kwa kiasi kikubwa.
Ili kupata Tanzania bora tunayohitaji lazima serikali...
Sanaa kwa kiasi kikubwa katika ukanda wetu wa bala la Africa kwa kiasi kikubwa imeanza kuwa sekta rasmi ambayo kama itawekewa mkazo kwa kiasi kikubwa sana inaweza kutoa ajira kwa watu wengi sana...
UTAGULIZI
VETA ni moja ya taasisi zinazo milikiwa na serikali ya jamuhuri ya muungano ya Tanzania,veta ni tasisi ambayo unazarisha watoa huduma na mafundi wa fani mbalimbali. Mafundi wa veta...
Introduction:
The technology sector has the potential to drive economic growth, innovation, and job creation in Tanzania. However, there are challenges that need to be addressed to fully...
Imekuwa ni jambo la kawaida kila mara zifanyikapo sherehe za kitaifa (Sherehe za Uhuru, Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar) kuambatana na maonyesho ya kijeshi. Maonyesho haya yamekua yakionyesha...
Wasalaam mabibi na mabwana, kaka na dada zangu, awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa uzima na afya, pia nawashukuru sana waandaji wa hili jukwaa la Jamii Forum Story of Change. Kabla ya yote...
Ulemavu ni hali ya mtu kuwa na upungufu kimwili ambao hufanya iwe vigumu kufanya shughuli kulingana na mazingira yanayomzunguka. Kuna aina nyingi za ulemavu kama usikivu hafifu, ulemavu wa viungo...
Eneo la mada
Miundombinu ya Usalama barabarani.
Mada:
UJENZI WA VITUO VYA DHARURA BARARANI ILI KUTOA HUDUMA KWA MAJERUHI WA AJALI ITASAIDIA KUPUNGUZA IDADI YA VIFO HAPA NCHINI.
Uwepo wa...
UTANGULIZI
Miaka ya karibuni kumekuwa na kampeni na kiu kubwa ya wananchi, Serikali na Sekta binafsi kutumia TEHAMA kama njia kuu ya kuwezesha huduma kirahisi na kwa haraka, ila changamoto kubwa...
Kuna nchi ninayotamani kuona ikijengeka, tena kwa kasi. Hii ni Tanzania iliyosheheni miti, misitu na uoto mwingine. Ili kuipata nchi ya aina hii, tunapaswa kutengeneza mikakati madhubuti, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.