Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

2 Votes
Taxpayers Shop ni nini? Huu ni mfumo wa mtandaoni nilioubuni kwajili ya kuhamasisha na kushawishi watu wote wa ngazi zote na biashara zote kuweza kulipa Kodi muda wote wanaponunua au kuuza bidhaa...
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Upvote 2
1 Vote
Nchini Tanzania mikopo hii hutolewa na halmashauri kwa makundi maalum yanayostahili kupata mikopo hiyo makundi hivyo ni vijana, wanawake na wenye ulemavu ambapo vijana ni asilimia 4%, wanawake ni...
0 Reactions
1 Replies
415 Views
Upvote 1
1 Vote
Watanzania wengi tumekuwa na ndoto na malengo ya kutaka Tanzania yetu kuwa yenye maendeleo na vile tuitakayo, baada ya uhuru wa Tanzania mikakati mingi iliwekwa Ili kuletea maendeleo Kwa...
0 Reactions
1 Replies
268 Views
Upvote 1
1 Vote
Ninaweza kutoa baadhi ya mawazo yangu bunifu kwa ajili ya mabadiliko na maendeleo ya Tanzania: 1. Kuwekeza katika elimu ya ubunifu na teknolojia: Kuanzisha programu za elimu zinazowawezesha...
0 Reactions
1 Replies
231 Views
Upvote 1
1 Vote
Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) umeibuka kuwa dhana maarufu sana Duniani, Afrika na hususani Tanzania, huku makampuni yakizidi kujishughulisha na shughuli za uhisani. Hata hivyo, Makala hii itakwenda...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Upvote 1
4 Votes
Inafaa uwepo utaratibu wa kuwatambua watu Waadilifu na wachapa kazi Ili tuweze Kuwahimiza waingie katika siasi Ili baadae wawezi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika inchi hii. Watu wengi...
2 Reactions
1 Replies
220 Views
Upvote 4
1 Vote
Hali ya udumavu nnchini Changamoto ya udumavu nchini imekua ni suala mtambuka kwa muda sasa. Kwa kiasi kikubwa waathiriwa wakiwa ni watoto, kitakwimu udumavu wa lishe umepungua toka 31% ya 2018...
1 Reactions
2 Replies
258 Views
Upvote 1
1 Vote
Ziwa Victoria, ziwa kubwa zaidi la maji baridi barani Afrika na ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya , linatumika kama mshipa muhimu kwa Tanzania. Eneo lake kubwa la maji hutoa manufaa mengi...
0 Reactions
2 Replies
384 Views
Upvote 1
2 Votes
Kama ilivyo ada neno miundombinu haliwezi kuwa geni sana kwenye maskio ya watu. Miundombinu ni zile rasilimali ambazo zinapatikana nchini kwa lengo la kuwasaidia wananchi katika kaisha yao. Mfano...
0 Reactions
1 Replies
193 Views
Upvote 2
5 Votes
Ninasimama hapa leo, siyo kama mtazamaji tu, bali kama mshiriki mwenye shauku katika kuunda Tanzania tunayoitamani. Tanzania Tuitakayo sio ndoto ya mbali, bali ni dira wazi inayoongozwa na maono...
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Upvote 5
2 Votes
Ni miaka mingi sana imefika Tangu taifa letu lipate uhuru toka likiitwa Tanganyika na leo ni Tanzania baada ya kuunganisha jamhuri ya watu wa Zanzibar na Jamhuri ya watu wa Tanganyika. Kumekuwa...
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Upvote 2
1 Vote
Tanzania ya leo inakabiliwa na changamoto kubwa katika sekta za elimu na afya. Hata hivyo, tunapaswa kuangalia mbele kwa mtazamo wa kipekee na kufikiria mbinu zinazoweza kuleta mabadiliko ya kweli...
0 Reactions
1 Replies
264 Views
Upvote 1
1 Vote
Septemba 27, 2023 huko Cairo, Misri katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF walitangaza kuwa Tanzania, Kenya pamoja na Uganda watakuwa wenyeji wa michuano ya Afcon 2027. Michuano ya Kombe la...
0 Reactions
2 Replies
403 Views
Upvote 1
1 Vote
TANZANIA TUITAKAYO 1.0 UTANGULIZI Takribani miaka 63 imepita tangu Tanganyika kupata uhuru na miaka 60 ya muungano wa jamuhuri ya muungano wa tanzania. Chaguzi nyingi zimepita pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Upvote 1
1 Vote
Serikali itizame katika mambo yafuatayo ili kuhakikisha Tanzania tunapiga hatua katika kilimo kwa miaka ijayo. 1. Kuhakikisha wakulima na wafugaji wanapewa elimu itakayowaongoza katika...
0 Reactions
1 Replies
297 Views
Upvote 1
2 Votes
Kutokana na wasifu wangu inavyoweza kujulikana ni kwamba elimu ni muhimu Sana kwetu na ni msaada mkubwa Kwa jamii zetu. Hapo basi elimu ni maarifa ya ziada yanayotusaidia sisi katika kupambana...
0 Reactions
1 Replies
245 Views
Upvote 2
1 Vote
Miaka ya karibuni na hadi sasa Tanzania na dunia kwa ujumla imekua ikikumbwa na majanga mbalimbali yakiwemo mafuriko, matetemeko, milipuko ya magonjwa, moto, vimbuga na maporomoko ya udongo...
0 Reactions
2 Replies
285 Views
Upvote 1
2 Votes
My initial thoughts were, if we wanna project where will this country be in the next five years we have to project where the world will be in the next five years, if we project were the world will...
0 Reactions
1 Replies
442 Views
Upvote 2
4 Votes
Utangulizi, Sekta ya elimu Tanzania ndio inaandaa wadau wote wa maendeleo, Kila mmoja katika nafasi yake akijengwa kujua kitaaluma kuino nafasi yake katika maendeleo ya taifa kuna uhakika wa...
2 Reactions
1 Replies
258 Views
Upvote 4
5 Votes
Mheshimiwa Waziri wa Fedha, Tanzania yetu ni nchi yenye amani tele na yenye fursa nyingi za uwekezaji. Tuna rasilimali nyingi muhimu, uchumi imara na uwezo wa teknolojia. Hata hivyo, kwa bahati...
2 Reactions
2 Replies
325 Views
Upvote 5
Back
Top Bottom