Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

3 Votes
Safina Inayozama "Ni majira ya saa 10 jioni kikao kinakaliwa cha kuweka mikakati wa maendeleo kwa miaka 5 hadi 25 ijayo, lakini kinachowashangaza wazee wa Kijiji cha Wafagiliaji Wanashangazwa na...
0 Reactions
3 Replies
229 Views
Upvote 3
1 Vote
1. Kuhakikisha vijana wanapata nafasi ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia kijiji mbaka serikali kuu. 2.wanawake kupewa kipaumbele katika nafasi za vyama vya siasa katika kutenda haki...
0 Reactions
1 Replies
199 Views
Upvote 1
6 Votes
STORY OF CHANGE MSIMU WA NNE (4) Andiko linahusu Tanzania tuitakayo Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni; Afya...
2 Reactions
2 Replies
262 Views
Upvote 6
4 Votes
Salaam Wanajamvi Kuelekea ujenzi wa Tanzania ile tunayotaka, Mimi napenda kuchangia mawazo yangu na kufungua mjadala katika suala zima la utatuzi wa ajira hapa nchini. kati ya changamoto kubwa...
3 Reactions
3 Replies
370 Views
Upvote 4
3 Votes
Utangulizi: Katika ulimwengu uliounganishwa, mawasiliano bora ni muhimu kwa ajili ya kukuza mahusiano ya kimataifa na kukuza fursa za maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kielimu, afya, teknolojia...
0 Reactions
2 Replies
499 Views
Upvote 3
3 Votes
UTANGULIZI Urithi wa Jeshi la Polisi wa kikoloni umekuwa na athari kubwa katika utendaji na muundo wa jeshi la polisi la Tanzania. Wakoloni walianzisha mtindo wa polisi ambao uliundwa kwa misingi...
0 Reactions
2 Replies
394 Views
Upvote 3
1 Vote
Mageuzi tunayohitaji ya Vyombo vya Habari katika Jamii ya Kitanzania kuanzia Sasa mpaka miaka ijayo Mwandaaji: Johnson Paulo Meibaku Itakapofika mwaka wa 2029, Tanzania inahitaji mabadiliko...
0 Reactions
3 Replies
396 Views
Upvote 1
6 Votes
Tanzania Tuitakayo, huweza kuja kwa kuwa na taifa moja ambalo ni rafiki zaidi ya ndugu (Special Relationship) kama urafiki (Special Relationship) uliopo kati ya mataifa yaliyoendelea zaidi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 6
1 Vote
Tanzania bado tuna changamoto katika suala zima la elimu ikiwa ni pamoja na mazingira mabovu ya kujifunzia, uchache wa vifaa bora vya kufundishia nakujifunzia, uchache wa shule katika baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
191 Views
Upvote 1
4 Votes
Serikali katika suala la elimu ihakikishe Inatatua changamoto ya uhaba wa walimu kwa baadhi ya shule Ukosefu wa vifaa vizuri vya kufundishia na kujifunzia Kuongeza mashule hususani katika maeneo...
0 Reactions
1 Replies
273 Views
Upvote 4
1 Vote
UZURI NA UBAYA WA MTI NI MWONEKANO WA MATAWI YAKE Serikali kuu inafinyangwa na serikali ndogo ndogo pamoja na sekta mbalimbali zilizopo nchini. Hivyo zikiweka taswira hasi kiutendaji basi zijuwe...
0 Reactions
1 Replies
219 Views
Upvote 1
1 Vote
Tanzania, tuitakayo kwa miaka ishirini na mitano (25) ijayo; SIASA; 1.Mfumo wa upigaji kura wa elektroniki, Kuwe na mfumo wa kupiga kura na kuzihesabu kwa njia ya kielektroniki badala ya...
0 Reactions
1 Replies
209 Views
Upvote 1
2 Votes
Naipongeza serikali kwa ujenzi wa shule za kata kwa nchi yetu ya Tanzania kila wilaya kwasasa wanafunzi wetu wanapofaulu wanauhakika wa kuendelea na kidato cha kwanza pia na ukaribu wa sehemu...
0 Reactions
2 Replies
278 Views
Upvote 2
1 Vote
Hata sidhani kama story itatosha kitabu, ila kiuhalisia mitandao ya kijamii na teknolojia kiujumla imebadilisha dira nzima ya Tanzania. Hivyo kupelekea tamaduni na mila halisi walizoacha kina babu...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
Upvote 1
4 Votes
Kwa kiasi kikubwa haiwezi kupingika ya kuwa ili tuwe na Tanzania bora tunayohitaji lazima tuweke nguvu kubwa katika swala zima la malezi ya watoto na vijana kwani wao kwa kiasi kikubwa ndio...
2 Reactions
2 Replies
391 Views
Upvote 4
4 Votes
UTANGULIZI Huduma za afya nchini Tanzania zimekuwa za mbovu hali ambayo inapelekea wananchi wa kawaida kulalalamikia serikali kila mara na wengine kushindwa kuhudhuria shughuli za kimaendeleo...
2 Reactions
2 Replies
789 Views
Upvote 4
2 Votes
Fundi Cherehani (Tailor) na Fundi Mbao (Carpenter) ni mafundi wenye maajabu. Wewe kama huamini haya maneno au hujawahi kuona maajabu yao basi mtafute ndungu yako au rafiki yako wa karibu amabaye...
2 Reactions
7 Replies
605 Views
Upvote 2
1 Vote
Kanda ya Ziwa katika eneo la Afrika Mashariki, ambayo inajumuisha maziwa makubwa kama Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, na maziwa mengine madogo, ina utajiri wa rasilimali za jiolojia...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Upvote 1
1 Vote
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) la Tanzania, lililoanzishwa kwa lengo mapana la kuboresha upatikanaji wa makazi, pamoja na malengo ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata nyumba tena ya bei nafuu...
0 Reactions
1 Replies
304 Views
Upvote 1
1 Vote
Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Upvote 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…