Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya...
Pata kujua jinsi watu wanavyounlock modem unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa.
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU JAMBO HILI
Wakuu Habarini!
Nimekwama Hapa Jinsi Ya Ku Unlock Hii...
Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za Android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata...
Simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini...
Hello Guys,
Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread.
SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna...
hapa nimeweka na nitakuwa naweka kwenye uzi huu wallpapers za jamiiforums (submitted by users) ambazo mtaweza kupamba desktop za computer zenu....
pia soon zitakuja za mobile as soon as poassible...
Habari wakuu,
Kutokana na jukwaa letu kuwa na mada nyingi nzuri japo nyingine za muda kidogo, mada maalum zinazoelezea matatizo ya kitu fulani lakini hazionekani kirahisi na kadhalika nimeomba...
Fridge zipo za aina tofauti kulingana na ujazo na aina ya matumizi, fuatana nami katika Makala hii fupi itakayokuongoza namna ya kuchagua kulingana na mahitaji yako;
Fridge zenye pande mbili
Hizi...
Hi?
DAYS GONE ni game ambalo liliniteka kihisia na kiakili mpaka nikajihisi na mimi ni moja ya character wa mule ndani ya game mpaka siku ile namaliza mission ya mwisho najihisi kama naenda...
Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho.
McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo...
HABARI WANDUGU
NAPENDA ULIZIA MATUMIZI YA RICE COOKER YA 1.8L , IKIWA INAPIKIWA MCHANA NA USIKU YAANI INATUMIKA MARA 2 KWA SIKU , JE UMEME WA 5000 UTAFAA KWA SIKU 30 ?
AU NI KUBWA SANA ...
Japan kutuma chombo kwenda kusafisha Anga kwenye roketi zilizokufa
Shirika la Anga toka Japan Astrocale inakabiliana na tishio la kuongoezeka kwa takataka Angani na kuamua kuzindua Misheni ya...
Jinsi ya Kuepuka Kutapeliwa Online
Katika dunia ya kidigitali, kuna fursa nyingi za kufanya biashara, kupata huduma, na hata kujifunza. Lakini pamoja na faida hizi, kuna pia hatari ya kutapeliwa...
Wakuu naomba anaeweza kueleza vizuri kuhusu theory ya relativity ya Einstein aje.
Nilisoma physics Advance lakini niwe mkweli nilikariri. Nimeangali tutorials nyingi lakini bado sielewi.
Mwenye...
Je, uhai lazima uwe na macho? Lazima utambe au uruke? Au unaweza kuwa kitu tulivu, kinachostawi gizani, kikienea polepole kwa mamia ya karne bila mtu yeyote kugundua? Katika simulizi ya ajabu ya...
Pia kama una AC, hapa panakuhusu.
Twende moja kwa moja kwenye mada. Watu wengi tunamiliki majokofu au friji lakini tunauelewa mdogo juu ya utendaji wa hichi kifaa. Kimsingi, kama mtumiaji...
Habari za muda huu ndugu zangu? Ukweli ushamba mzigo kumbe kenya wanabei ndogo ya simu kuliko aliexpress? Juzi nilikuwa nataka simu aliexpress nilikuwa na laki 8 niliona ngoja nitafute xiamon...
Wadau Leo ktk pitapita zangu nikakutana na mpango wa Marekani kufungua crypto reserve kama walivyofanya kwenye Gold reserve kule fort Knox.
Lakini Kuna siku niliwahi sema siiamini USDT kwasabu ni...
Viongozi habari zenu,
Naomba kwa yeyote anaejuwa mfumo unaoweza kutumika kweny kampuni ambao unaweza kutumiwa kweny hizi departments
1.Accounting
2.Inventory
3.Sales
4.Human resource
Etc...
Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha.
Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers...
Nataka nianze work from home.
Sasa naulizia hizi PC naziona online bei Tsh 550-750k All in One, majina makubwa kama Dell, HP, Lenovo.
Sasa niko hapa najiuliza, zina faa au danganya toto?
Kama...
Habari za muda huu wakuu wa JF!
Najua hapa JF kuna vichwa vyenye akili kali na ujuzi wa kila aina, lakini leo nimekuja na swali moja nyeti je, kuna mtu humu anayeweza kuhack WiFi?
Sio kwamba ni...
Mimi ni mwanafunzi diploma in computer science. Nimeangalia google, kwa nchi nyingine php ni kama ya kizamani kidogo na wengi hawa recommend. Lakini kuna mtu kaniambia tanzania website nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.