The new release in Microsoft Windows is Vista. It is very demanding as it requires even more resources than XP. However, customising XP to make it look like is Vista is not at all tough. It must...
hi all
last time i came here to ask for assistance on database driven web. And I was so grateful for the help I received especially from invisible. I learnt lots of new things and am still...
Nimefanya majaribio kadhaa kwenye computer yangu yenye windows Xp.
-Nimeinstall windows XP SP 2 kwenye laptop yenye specs zifuatazo (Intel Centrino Duo core 2 1.86,2gb Memory na 120Gb hard disk)...
I recently found out that a surveillance software has been installed on my notebook for the purpose of monitoring my internet activities.
How would I uninstalled the software?
Kwanza Tanesco wamepandisha gharama za kuunganishia umeme wateja kwa zaidi ya 200%
EWURA wamekataa ongezeko hilo
Tanesco kasitisha huduma uunganishaji wa umeme kwa wateja akidai gharama...
Komputer yako lazima iwekewe updates za kisasa , iwekewe antivirus pamoja na updates zake bila kusahau firewall , windows xp service park 2 inakuja na service park yake ingawa haikuhakikishii...
Yahoo settles its China lawsuit
Yahoo has agreed to settle a lawsuit brought against it on behalf of several Chinese dissidents, according to papers filed in a California court.
Yahoo...
Hi JF
Nilikuwa na Computer yangu Aina ya Dell ambayo natumia kwa ajili ya kazi za offisini,Especial GIS and Database Software Like Acquire for Data base,Vulcan(3D),ArcView,MapInfo etc.ina RAM ya...
Nimekua nafuatilia mijadala ya computer kwa muda mrefu , lakini kuna vitu ambavyo naona watu haswa nyie mafundi hampendi kujadili au hata kama mkiulizwa basi mnakwepa na kuwaachia watu wengine...
Moja ya tekinologia nzuri na ya kipekee katika tovuti ya google ni hii inayoitwa google translate , unaweza kutumia google translate katika kutafsiri maneno toka lugha moja kwenda nyingine bila...
Jamani Kama Nimpenzi Waudaku Nilikua Nafatilia Sana Gazeti La Ijumaa Na Magazeti Yake Mama But Now Whenever I Tried To Open " Bandwidth Limit" Kulikoni? Hembu Basi Wakina Shingingo Fatilieni Hili...
Mwaka Jana nilikumbana na Computer moja aina ya Acer , ilikuwa ina matatizo kidogo kwahiyo nikatakiwa nirekebishe , matatizo yenyewe yalihusu Operating system , nami nilitaka kufanya repair tu ...
"I was held up at gunpoint in July, and my laptop was stolen. There are companies out there which, for a fee, install tracker software on your laptop. If it's stolen or lost, they track its...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.