Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Rejea mijadala na marumbano inayo husiana na kifaa hiki cha ZTE chenye nembo ya kibiashara ya Vodafone kwamawasiliano ya mfumo wa GSM. Zimeainishwa njia kuu mbalimbali, zote zikianisha kuondolewa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi naleta mjadala tata lakini wenye mantiki. Ni kuhusu kutengeza vifaa vya kisasa kutengenza gongo na pombe za kijadi. Tuna kasumba ya kudharua bidhaa zetu zasili napombe zimekuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wazee nimeformat kalaptop kangu na kupandisha xp, sasa baadhi ya drivers hazijarudi, ninatumia modem, je nawezaje solve tatizo hilo kwa msaada wa net?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika kuhakikisha tunafikisha maarifa kwa jamii katika njia mbalimbali,timu nzima ya AfroIT imeanza kutengeneza Poscast zinazohusu masuala ya ICT,huu ni mwanzo ambapo siku zinavyosonga tutakuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Mi nimeomba ushauri wa Kiteknolojia namna ya kutengeneza BOMU, thread imefutwa ghafla hii kweli kiboko. Tunataka kukuza vipaji vyetu Watanzania, badala ya kuagiza nje ya nchi tutengeneze wenyewe...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
vertical bed designer jamie o’shea must have really wanted a nap when he created his vertical bed design. the vertical allows the user to sleeping standing up right in the middle of the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wa kujua kama naweza kutoka kabisa kwenye mtandao wa facebook kwa maana ya ku-resign na kuachana kabisa na mtandao huo!!! umejaa utoto mno kiasi kwamba sioni faida yake hata...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Asanten SIUTANI NA WALA SIMA MASIALA NATAKA KUTOA SOFTWARE AMBAYO ITAWAUNGANISHA WANA JF NYIE MNASEMAJE NA ITAJI MCHANGO WENU ATA MAWAZO NA WANAO WEZA PROGLAMMING
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimedondosha nokia yangu e5,hapohapo imepoteza network,Nilikuwa naomba ushauri wenu wa nn cha kufanya kabla sijaipeleka kwa fundi,Asanteni sana
0 Reactions
5 Replies
1K Views
KWA WALE WANAOTAKA KUCHAKACHUA MODERM ZAO KAMA MODERM YAKO UKIINGIZA LAINI NYENGINE INA SEMA INSERT PIN NA INA IMEI NAMBA SOFTWARE ZOTE ZA KUCHAKACHUA HIZI HAPA Download Huawei Torrents -...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
:disapointed:how can I solve the problem of bad sector,caz pc yangu ilikuwa na 60GB then 20GB only available
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ubuntu and Linux all The Way.... Cheki hii Advert....
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Chizicomputer 0712484995 majungu sitaki wanajamii forum kama umelock bios ya computer yako na ujui password niambie nitakupa jinsi ya kufanaya akuna lisilio wezakana kwani katengeneza nani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Binti yangu amelog in katika computer yangu lakini cha ajabu kila nikifungua yahoo ku sign in nakuta mail address yake na password na niki sign in inakubali. Mwanzoni nilikuwa nime create seal...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Seemingly harmless information can help ID thieves unlock key to your identity. Your pet's name is a fraudster's best friend. You may think you're revealing precious little when you tell...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Wakubwa,kwakuwa wengi wetu tumekuwa tukisumbuliwa na masuala ya Subneting,hivyo tumeandaa hii Video inayofafanua mambo hayo. Subneting- Part I(kiswahili) Ili kuakikisha tunaenda pamoja,tutakuw...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
10th January 2011 Together with a few selected vendors, Avira is offering free Avira AntiVir 8 and Avira Premium Security Suite 8 license key for free with no strings attached, yes, no crack...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari zenu, Hivi kuna mtu anazo statistics ya 'professions' zinaongoza kwa kulipwa mishahara minono tanzania? Tafadhali azimwage hapa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KAMA UNATAKA KUFUNGUA MODEM YAKO NI KAZI NAWEZA KUFANYA,MUDA HUU INTERNET YA VODA INASUMBUA KAMA UMEWEKA BOMBA 30,ZAIN IPO VIZURI,BASI KAMA UNA MODEM NITUMIE, BRAND,MODEL NA IMEI,THEN...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani wakuu risiva yangu imefutwa chaneli zote.je naweza nikarejesha mpangilio wa kiwandani(RESTOR FACTORY SETTING) au ujanja wake upoje?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…