Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

naomba msaada, laptop yangu inatatizo la kustak stak tangu jana cjui kwa nn , yaan inastak kila wakati, msaada wa kiushauri kidogo plz
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutakuwa na workshop kubwa ya ulinzi wa mtandaoni (cyber security) na athari zake katika makampuni na mashirika mbali mbali. Workshop hii inatarajiwa kufanyika Morogoro (Morogoro Hotel) kwa siku...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
BLACKBERRY 0712484995 INA SOFTWARE INAYO ITWA RIM AMBAYO UFASH SIMU ZOTE ZA BLACKBERRY SI LAZIMA TWENDE KARIAKOO KUFLASH LINK YA KUDOWNLOAD CAPACITY 800MB Download Blackberry 8xxx_9xxx (Free...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MAJUNGU SITAKI 0712484995 HIYO NI OS AMBAYO NI PRODUCT YA MAC AMBAYO IMEWEZESHWA KU SOMA KWENYE COMPUTER ZA KAWAIDA NA INAFANYA MAC.WAPENZI MAC OS HII HAPA CAPACITY 3.6GB Download Snow Leopard...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Wadau naomba mnisaidie nina tatizo, toshiba laptop yangu nimeiformat, nimeweka win xp pro. Sasa nina tatizo kuwa sauti haijarudi licha ya sound driver kuonyesha kuwepo yaani zinaonekana ktk...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna tofauti gani ya kin'gamuzi chenye MPEG 4 na hivi vingine vya kawaida?
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Wadau nataka kununua lap top, ndogo 10" kushuka. naomba ushauri wenu vi2 gani nizingatie vya muhimu ktk specif. zake.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ihave solve my broblem
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Test how good or bad is your memory/kumbukumbu BBC - Science & Nature - Human Body and Mind - Memory Tester jaribu kamtihani hako juu kutest kumbukumbu zako za juu number rangi maumbo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
To reset your iphone, hold down the right button and the “home” front button for about 6 seconds.This can also be done in the phone section.This is different than a regular shutdown, which can...
0 Reactions
3 Replies
975 Views
These are all the tricks known so far ~cheers~ You need a PC or a Laptop and the required connectivity tools ,ie., Serial/USB cable OR Infrared Device OR Bluetooth dongle 1) Activate...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvni? leo naombeni msaada kwa jinsi gani naweza kufungua intaneti kwenye laini ya airtel tena haina GPRS/EDGS, nimejaribu kutuma intaneti kwenda 15444 bila jibu.
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Halo Mkuu!! Nimeshindwa kukutumia IMEI ya Huawei kwa njia yoyote ile, including kuku-PM. Nimeona nikutumie kwa njia ya THREAD. Samahani sana. Model: E1550 IMEI: 359124034447644 Tafadhali...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanateke linalo kujia, Hi thread nimepost ili watu wa ICT wamwage sifa zao, wabobea maswala gani katika IT na wametengeza nini. kama programa wajua languages gani na gani na umetengeza nini au...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Pirates have targeted Apple's new software download service just one day after it launched. Several groups claim to have found security flaws in the company's new Mac App Store, which launched on...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Habari ma big supporterz wa JF tecnology and Science naomba yeyote mwenye kujua link ya kudownload calculator kwa ajili ya unlock code ya simu kama vodafone 135, Huawei T158 na nyingine nyingi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimekuwa nasikia kipindi sasa kuwa mfumo wetu wa kurusha matangazo kwa televisheni upo katika mchakato wa kupadilika kutoka analogi tulio nao sasa kwenda mfumo mpya wa digital, mfumo utakaofanya...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu, nina pc zangu kadhaa (3 to be specific!) zilikuwa zinashare broadband internet (on a wired LAN), pc ya chumbani nilikuwa natumia kama "server" kugawia net study room na living. Mwanzo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
asante mwaka mwema 2011
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nahitaji kuinstall printer aina ya hp Laserjet 3015 kwenye computer ila nimepoteza CD yake, naomba mnisaidie kuiweka hapa, nimejaribu kudownload nikiinstall inagoma. Thanks in advance.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…