Habari wataalam!.
Kama title inavyojieleza hapo juu, nimepata wazo la app ambayo itasaidia wafanyabiashara wa mkoa na dar ata nje ya TZ kwa ujumla kununua bidhaa kwenye soko la kariakoo bila...
Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea.
Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu...
Chief-Mkwawa Kwanini Google stadia ilifail wakati naona ilikuwa na potential kwa sababu ulihitaji tu kuwa ni kifaa cha interneet kama tv na chrome cast, laptop basi.
Hahikuhitaji ununue game...
Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa.
Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao...
Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers...
Habari zenu!
Kama wewe ni programmer au una ndoto za kuwa mmoja wa programmer, huu ndio uzi wako! Hapa tunasaidiana, tunashauriana, na tunahamasishana. Kama unakutana na changamoto yoyote kwenye...
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk...
hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa.
Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA...
Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo.
Mimi ni music Enthusiast toka...
Kila mtu anapenda kumiliki kitu kizuri ila baadhi kipato hakiruhusu, hii imepelekea kuwepo kwa bidhaa za kila aina sokoni ili kubeba pesa yoyote mteja aliyonayo. Kwa upande wa TV zipo kampuni...
Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation.
Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet)
Leo...
Dubai wamefanikiwa kuzindua kamera zenye Teknolojia ya hali ya Juu ya AI iliyoundwa ili kuweza kugundua ukiukaji wa sheria 17 za alama za barabarani, kuanzia watu ambao wako kwenye gari hawafungi...
Habari wakuu! Kwenye simu yangu nilikuwa na shida ya matangazo kila sekunde 30 tangazo, kibaya zaidi nikiwasha tu data, matangazo yanaanza kujitokeza! Hii simu nilinunua kwa mtu nahisi aliuza...
Mzuka wana Jamvi..
Siku hizi Wasap kumezuka mtindo wa hata watu ambao hamfahamiai nao kukutag kwenye grupu kuview status zao na mara nyingine bila hata kupenda na kutarajia unakuta unaview sasa...
Wakati dunia imeshikwa na sonny, LG, Samsung na Sonny kwa kipindi kirefu… huku wakitamba na vifaa vyao konki na bora duniani…. JBL pia alikuepo sokoni.
Ila hakuwa na vifaa vingi vya kushika soko...
Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp
Bill Gates - Windows, Xbox, n.k.
Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k.
Steve Jobs (RIP) - iPHONE
Sam Altman - Chat GPT
n.k.
Ni nini...
Wakuu swalamaa......
Nina mpango wa kuanza kutengeneza content (yaani kuwa content creator)mwishoni mwa mwaka huu 2025, yaani baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania.
Je;ni SIMU aina gani...
Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la...