The Commissioner for Maritime Administration at the Ministry of Works and Transport, Mr Robert Ntambi, has urged schools across Uganda to integrate swimming lessons into their practical curricula...
Bishop Robert K. Muhiirwa of the Fort Portal Catholic Diocese has called on Uganda's Electoral Commission to uphold its constitutional duty of organizing free and fair elections in 2026 without...
Wakuu,
Askari wa Usalama wanaomlinda Rais wa Uganda Yoweri Museveni walimzuia mwanaume asiyetambuliwa aliyekuwa akijaribu kumkaribia Rais Museveni katika viwanja vya Msikiti wa Mbogo wakati wa...
Idadi ya vifo vilivyothibitishwa na maabara vya ugonjwa wa mpox nchini Uganda imepanda hadi 10 baada ya vifo vinne kusajiliwa katika siku tano zilizopita, kulingana na mamlaka.
Katika ripoti ya...
Ofisi ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) nchini Uganda imesema visa vya Mpox nchini humo vimezidi 800, ongezeko kutoka jumla ya visa 495 vilivyoripotiwa kufikia Novemba 20.
The World Health...
Uganda exports 400kg of marijuana to German
Summary
Uganda last week exported 400 kilogrammes of medical marijuana to Germany, the fourth delivery to foreign countries since the government...
Picha: Baba(Rais), Mtoto (Luteni Jenerali), Mama (Waziri wa Elimu)
Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni nani?
Muhoozi Kainerugaba ni mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda na mama Janet Museveni...
Watu kadhaa wameripotiwa kufariki Dunia Kaskazini Mashariki Nchini Uganda kutokana na kukabiliwa na njaa licha ya kuwa idadi kamili haijatajwa.
Zaidi ya watu laki tano katika maeneo ya Karamoja...
Mashariki mwa Uganda, kundi la Waislamu wenye itikadi kali limemuua Mchungaji Weere Mukisa, mke wake Annet Namugaya, na watoto wao wawili, Judith (7) na Sylvia (4), kwa kuwachomea nyumba usiku...
My Take
Sina hakika kama wanajua ugumu wa utafutaji bila kutegemea mbeleko za Serikalini/siasa .👇👇
https://www.instagram.com/p/DGh7le-KXps/?igsh=MWlwYTRyNXpud2M1eQ==
Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha.
Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani!
Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye...
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Mshauri Mkuu wa Rais wa Uganda kuhusu Operesheni Maalum, hivi karibuni alitangaza kuwa ofisi yake itaanza kufanya ukaguzi wa vyombo vyote vya habari nchini, kwa...
Kiongozi wa upinzani wa Uganda, Dkt. Kizza Besigye amegoma kula chakula katika gereza la Luzira, Mjini Kampala kwa madai ya kupinga kuendelea kushikiliwa pamoja na kuhofia maisha yake.
Dkt...
Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, amefikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, huku maombi ya mawakili wake ya kutaka apelekwe hospitalini kwa matibabu yakikataliwa...
Dkt Besigye alirejeshwa katika gereza la Luzira lakini sasa kwa amri ya Mahakama Kuu. Sio tena Mahakama ya Kivita. Huenda hayuko Luzira kwa haki lakini sasa yuko huko kihalali. Ifuatayo...
Hello fellow JF members, I am planning to trip to Uganda later this year probably on December I'm just looking for someone to host my stayings I will staying there for 2 weeks I have opted to book...
Polisi nchini Uganda imethibitisha kuwashikilia maafisa tisa wa Wizara ya Fedha kwa uchunguzi wa tuhuma za kudukua mifumo ya benki kuu na kuiba kiasi cha shilingi bilioni 62 (Dola Milioni 16.87)...
Wakuu,
Wizara ya Afya nchini Uganda, imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola, ‘Sudan Ebola Virus Disease’ (SVD) jijini Kampala baada ya sampuli kuthibitishwa na maabara tatu za...
Mahakama ya juu nchini Uganda imeamuru kuwa kesi zote zinazowahusu raia ambazo zilikuwa zikisikilizwa katika mahakama za kijeshi zisitishwe mara moja na kuhamishiwa katika mahakama za kawaida...