Hii sasa ni ajabu ya Karne;
Ina maana kuna waganda wanatumia zaidi ya miezi 6 kabla ya kukutana kimwili baada ya kuoana? Sasa kwa muda huo huwa wanafanya nini?
Mzee wetu gentamycin huko Uganda...
Marekani ilitangaza Jumatano kuwa inaweka vikwazo kwa maafisa wanne wa Jeshi la Polisi la Uganda kutokana na tuhuma za kuhusika katika ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu.
Wizara ya Mambo ya Nje...
General Muhoozi amejitoa kwenye kinyang'anyiro cha uRais wa Uganda na atamuunga mkono baba yake mzee Museveni
Muhoozi atajikita zaidi kwenye kujenga Jeshi la kisasa
Sabato Njema 🌹
==========...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya jana kudaiwa kupigwa risasi katika mzozano na maofisa wa usalama Mji Mkuu wa Kampala...
Polisi nchini Uganda wamekanusha madai kwamba kiongozi wa upinzani, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, alipigwa risasi Jumanne jioni, badala yake, wamesema kwamba kiongozi huyo wa National...
Rais Yoweri Museveni amesisitiza kuwa Serikali haiwezi kuruhusu utaratibu wa Dhamana kwa Watu wanaotuhumiwa kuhusika na Ufisadi, Rushwa na Kesi za Mauaji.
Akizungumza katika mkutano wa kila mwaka...
Msanii na kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Boby Wine, apigwa risasi ya miguu akiwa katika hali ya vuta n'kuvute na polisi katika kijiji cha Bulindo nchini Uganda. Hivi sasa kiongozi huyo...
Wakuu habari zenu.
Its no longer news kuwa siku ya jana kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine alipigwa risasi ya mguu na vikosi vya usalama vya Uganda.
Soma pia: Boby Wine apigwa risasi...
1 + 1 = 2, watanzania wengi tume focuss kwenye 2 kwamba Idd Amin alivamia Kagera na ndio chanzo, tunasahau kwamba Kuna 1 + 1 zilizosababisha ikawa hio 2 na hata ukienda Wikipedia nao hawajui...
Kwani kuukubali ukweli kuwa kila kitu kina mwanzo na mwisho ni huwa ni ngumu?? Huu ukatili wote wa nini? Halafu wote wanaujiuguza majeraha!
Ugandan athlete in hospital after Kenya petrol attack...
Amani iwe nanyi
Nimekuwa nikifuatilia sana historia na makala mbalimbali kuhusiana na maisha ya Mwamba wa Africa, Hayati Idd Amin Dada. Nilichokuja kugundua kuwa huyu jamaa alichukiwa sana na...
Polisi nchini Uganda wamewakamata wanawake kadhaa waliokuwa wakifanya maandamano ya utupu kupinga ufisadi nchini humo.
Wanawake hao, baadhi wakiwa na vifua wazi, na mabango, walikamatwa...
Mwanamume mmoja wa Uganda anayesadikiwa kupatikana na fuvu za binadamu 24 huenda alikuwa akizitumia kwa ajili ya kafara ya binadamu na anaweza kukabiliwa na kifungo cha maisha gerezani, polisi...
Rais Yoweri Museveni amewaonya Wananchi wanaopanga Maandamano ya Julai 23, 2024 yanayolenga kupinga Vitendo vya Rushwa nchini humo.
Museveni amesema "Una haki gani unayotafuta kwa kuleta...
Hakika kwa hili Museveni ametisha sana, Mungu aendelee kumtunza, kwa hili jambo amecheza kama Messi. Kuanzia sasa LGBTQ ni haramu Uganda, kumbukeni juzi hapa Kenya waliruhusu vitendo vya LGBTQ...
Walimu kutoka baadhi ya maeneo nchini Uganda wameiomba serikali kufadhili elimu kwa walimu wote wa Daraja la III ili kuwawezesha kupata shahada za chuo kikuu. Wanasema kuwa mishahara yao ya sasa...
Raia mmoja wa Uganda anayefahamika kwa jina la Asuman Lukwago anaomba msaada kutoka kwa Ubalozi wa Marekani baada ya kupata ulemavu katika ajali iliyotokea Februari mwaka 2024 iliyomhusisha...
Wizara ya Elimu nchini Uganda imewasilisha Muswada wa Taifa wa Walimu wa 2024 Bungeni, ambapo Waziri wa Nchi wa Elimu ya Juu, John Chrysostom Muyingo, ameeleza kuwa muswada huo unalenga kuboresha...
Wafanyabiashara katika jiji la Kampala wako kwenye mgomo wakipinga ushuru wa juu kwa bidhaa zinazoingizwa na mfumo wa ukusanyaji ushuru, Mfumo wa Elektroniki wa Kutoa Risiti na Ankara (EFRIS)...
Uganda's President Yoweri Museveni has warned protesters that they will be "playing with fire" if they press ahead with plans to stage an anti-corruption march to parliament on Tuesday.
Young...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.