Mwanamke mmja huko Uganda amekamatwa na Polisi wakati alijaribu kuvuka mpaka kuja Tanzania kujificha baada ya kudaiwa kumkata Mpenzi wake uume(mboo) na kupelekea kuvuja damu nyingi na hatimaye...
Museveni aanza mapambano dhidi ya Gen Z, japo sidhani kama wale wana uthubutu....
Ugandan police deployed heavily around Kampala City on Monday to forestall planned protests by the youth against...
Matakwa ya Gen Z wa Uganda Wanaondamana dhidi ya Serikali
1. Spika wa Bunge la Uganda, Anita Annet Among ajiuzulu
2. Makamishna Wanne wa Bunge wenye Kashfa ya Kujipatia Tsh. Bilioni 1.23...
MAANDAMANO yaliyoanzishwa na vijana nchini Kenya na kupewa jina la Gen Z, yameanza kubisha hodi nchini Uganda baada ya polisi wa taifa hilo kuahirisha mpango wa vijana nchini humo kuandamana...
Kuongezeka kwa visa vya maambukizi ya ugonjwa wa monkeypox nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kunaleta wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuenea kwa ugonjwa huo nchini Uganda.
Shirika la...
Ukistaajab ya Musa utayaona ya firauni.
Ndio!! Rais wa Uganda Yoweri Museveni kupitia ukurasa wake wa twitter, amekemea shambulio la risasi alilofanyiwa Donald Trump na kumpa pole.
Rais Museveni...
Tulipokua msituni, tulisema tunapambana kwenda kulinda kila kitu cha nchi yetu,
Maneno ya Rais museven akiongea na vijana wa NRM, katika karamu ya jioni iliyoandaliwa ikulu,
Utajiri wa waganda...
Mahakama moja iliyopo Entebbe Nchini Uganda imemuhukumu kifungo cha miaka sita jela TikToker mwenye umri wa miaka 24, Edward Awebwa baada ya Kijana huyo kuchapisha video fupi kwenye akaunti yake...
Uganda, nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta katika eneo la Albertine Rift Basin, inaendelea kujifunza na kuboresha uelewa wake wa jiolojia ya eneo hilo wakati wa mchakato wa uchimbaji wa mafuta...
My Take:
Hii population growth watakuja kuishi wapi ikizingatia Kanchi kenyewe kadogo? 👇
Watu Milioni 46 ni population explosion, yaani miaka 10 ijayo watakuwa sawa na Tanzania Kwa saaa.
Afrika...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekataa kusaidini muswada wa Fedha hasi hapo Bunge litakaporejesha pesa kiasi Cha Bilioni 750 zilizotengwa Kwa matumizi mengine ya serikali ambayo hayajabainishwa...
Waandamanaji hao walilenga kuwasilisha malalamiko yao katika ubalozi wa China mjini Kampala kupinga uhusika na ufadhili wa nchi hiyo wa mradi huo.
Mradi huo ujulikanao kama EACOP umeendelea...
Kampala, capital and largest city of Uganda. It occupies a series of hills at an elevation of about 3,900 feet (1,190 metres) and is situated in the southern part of the country, just north of...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kampala kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Kampala.
Ninaomba tuangalie katika positive...
UGANDA: Chuo Kikuu cha Makerere kimesema takriban Wanafunzi 1,000 wanaacha au kuachishwa Masomo kila mwaka kutokana na kupoteza Fedha za Ada wanazozitumia kwenye Michezo ya Kubashiri maarufu kama...
Makerere University has launched a digital system that will enable it effectively monitor attendance of staff and students in order to limit the vice of dodging classes.
The two systems the...
Inspekta Jenerali wa Jeshi la Police (IGP) Abbas Byakagaba ametangaza kusitisha Mikutano yote ya Hadhara Chama cha Upinzani cha National Unit Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine kutokana...
Waziri wa fedha nchini Uganda, Haruna Kasolo ameripotiwa kulitaka bunge kupitisha mswada wa kuruhusu watu maskini kuwekwa katika mpango wa kucharazwa viboko na mijeledi kila wakati ili...
Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo. Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini.
Bigup sana Museven.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.