Umoja wa Madaktari nchini Uganda (UMA) wamepinga suala la kulazimisha watumishi wa Afya na raia kupatiwa chanjo ya COVID19 kilazima. Wametahadharisha kuwa yatakapotokea matokeo yoyote serikali...
Marekani imesema inawawekea vikwazo vya viza watu wanaoaminika kuhusika au kushirikia katika kudhoofisha mchakato wa demokrasia nchini Uganda, ikiwemo wakati wa uchaguzi wa Januari na kipindi cha...
Serikali ya Marekani imetangaza vikwazo vya usafiri dhidi ya maafisa wakuu wa serikali ya Uganda ambao wanaaminika kuhusika na njama ya kuhujumu mfumo wa demokrasia nchini Uganda, wakati wa...
The African Development Bank (www.AfDB.org) and the Government of Uganda on Tuesday signed a $229.5 million financing agreement for the first phase of the Kampala-Jinja Expressway Project, which...
Our. Ugandan Neighbor's Prepare Yourself for worst. Your Oil Can Turn Out To Be The Biggest Curse Instead Of Blessings. Beware Of The French and their multinational company by the name TOTAL...
11 April 2021
Entebbe, Uganda
H.E Suluhu Samia Hassan, the President of the United Republic of Tanzania made her maiden official visit to Uganda.
Suluhu arrived in Uganda this morning for a...
Kwa mara nyingine tena Rais Yoweri Museveni ameishutumu kampuni kubwa ya teknolojia ya mawasiliano Facebook kwa kuwa na upendeleo dhidi ya chama tawala cha Uganda na wafuasi wake.
Matandao huo wa...
Wabunge wa Uganda wameeleza kupinga zuio dhidi ya uuzaji nje wa mahindi lililowekwa na nchi jirani ya Kenya kwa sababu za “kiusalama”.
Spika wa bunge la Uganda Rebecca Kadaga amemwagiza Waziri...
Rais wa Uganda' Yoweri Museveni amesema bado anaangalia ni chanjo ipi atakayochomwa, siku chache baada serikali yake kuanza kutoa chanjo ya Oxford-AstraZeneca kwa wananchi.
Tayari marais wengine...
Kijana wa miaka 32 Anatoli_Kiiza anaiomba kwa mara nyengine serikali yao ya Uganda kujaribu kombora lake alilotengeneza kienyeji.
Taarifa inasema Kiiza alikamatwa karibu mara saba kwa ajili ya...
Uganda imeahirisha uzinduzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ili kuomboleza kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli, ambaye alitoa mchango...
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amempongeza Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Rais mpya wa Jamuhuru ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo Dkt John Pombe Magufuli...
Kwa mara ya kwanza Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekituhumu chama cha siasa cha NUP kwa kuhusika na vitendo vya udaganyifu wa wizi wa kura katika zoezi la uchauzi mkuu uliofanyika tarehe 14...
National Unity Platform (NUP) president Mr Robert Kyagulanyi alias Bobi Wine has been arrested as he led a peaceful demonstration demanding the release of hundreds of his supporters who are...
Vyombo vya usalama nchini Uganda vimethibitisha kuwakamata zaidi ya wafuasi 40 wa chama cha upinzani NUP kwa kushiriki maandamano ya amani yaliyotangazwa na kiongozi wao Robert Kyagulanyi siku ya...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi wine amewatolea mwito raia nchini Uganda kuandamana kwa amani na bila ya silaha kumpinga rais Yoweri Museveni aliyetawala taifa hilo kwa karibu miongo...
Kanisa la Kianglikana nchini Uganda limemvua cheo aliyekuwa askofu mkuu wa kanisa hilo, Stanley Ntagali, na kusitisha utendaji wa majukumu ya uaskofu pamoja na kuzuiwa kuwakilisha kanisa hilo...
Waziri wa afya huko Uganda Ruth Aceng anasema wafanyakazi wa huduma za afya watakuwa wa kwanza kupatiwa chanjo wakifuatiwa na waalimu pamoja na makundi ya watu walio kwenye hatari ikiwemo wazee...
Kwako Rais, kwanza ya yote mimi ni shabiki wako ambae sasa nafikiria kukutupa. Nilikuwa napenda ulivyokuwa unaweka uso wako kabla hujachukizwa sana. Muhimu zaidi nikikumbuka bidii yako ya...