Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Habari wadau..! Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500. Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya...
9 Reactions
81 Replies
6K Views
Uganda's President Yoweri Museveni has shut down schools and suspended public gatherings as the country faces a surge of infections in a second Covid-19 wave. Public transport between districts...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau wa JF. Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven amemteua Bi Robinah Nabanja kuwa Waziri Mkuu wa Uganda. Bi Robinah alizaliwa Disemba 17, 1969 na kabla ya uteuzi huu alihudumu akiwa Waziri wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais Wa Uganda Yoweri Kaguta Amemteu Bi Jessica Rose Epel Alupo almaarufu Jessica Alupo kuwa Makamu wa Rais wa Uganda kwa kipindi kuanzia 2021 - 2026 Bi Alupo ni Meja Mstaafu wa UPDF na...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Watu wenye silaha wamemshambulia na kumjeruhi Waziri na Kamanda wa zamani wa jeshi la Uganda, na kumuua binti yake na dereva. Walioshuhudia tukio hilo wanasema washambuliaji ambao hawajafahamika...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Rais Yoweri Museveni ametoa wito kwa Wananchi waliokidhi kupata Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona kutembelea Vituo vya Afya ili waweze kuipata Ameeleza hayo baada ya yeye na Mke wake, Janet...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
The assassination attempt was carried out in the same style as those that led to the death of over 28 people, including top government officials, in the past seven years. President Museveni has...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Siasa si ugomvi, na wale wanaochukulia personally siasa kuwa uadui, tuna hili tukio la kusikitisha toka Uganda. Waziri Mwesigwa Rukutana amashindwa katika kura za awali jimboni kwake na mpinzani...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais Yoweri Kaguta Museven Amtumbua Speaker wa Bunge Rebeca Alitawala Kadaga baada Ya kuongoza bunge miaka 10, Museven amependekeza jina la Jacob Olanya alie kuwa Naib speaker kuwa speaker wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana bodi? Naomba kujua ubora wa vyuo vingi vya Uganda, hasa vya private ukoje? maana nlijarbu kutembelea website ya "TCU" ya kwao :D :D :D naona vyuo vingi vya private vina usajili wa...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Serikali ya Uganda imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Covid 19 kama mataifa mengine duniani. Mwaka jana Rais Yoweri Museveni alisema wanasayansi wa Uganda wanajaribu kufanya utafiti kuanza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Museveni asema Uganda watatengeneza Chanjo yao wenyewe ya Corona awagomea wazungu kuendelea kuwataka kuimport chanjo zaidi ya walioleta. Asema walimwambia kazi ya Africa ni ku import sio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Yoweri Museveni ameapishwa kwa mara ya sita mfululizo kuliongoza taifa hilo hadi mwaka 2026 katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Kololo nchini humo. Museveni amekuwa kiongozi wa nchi hiyo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mlinzi wa Obote arudi Uganda baada ya kuishi Tanzania kimyakimya kwa zaidi ya miaka 50. Kijiji cha Agora wilayani Soroti nchini Uganda kililipuka kwa furaha baada ya wake wawili kuungana tena na...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Ili kufikia lengo la Dira ya Maendeleo ya 2040, Uganda, kutahitajika nchi iwe uwezo wa umeme wa 41, 738 MW na kwa matumizi ya watu 3,668 kWh. Hata hivyo, uzalishaji uliopo kwa sasa (hydro...
0 Reactions
4 Replies
996 Views
Wakati chupa za dawa zikipakiwa katika ndege zisizokuwa na rubani kwa ajili ya kusafirishwa, kundi la watu limekusanyika kwa mbali kutazama ndege hiyo yenye upana wa mita 1.5 katika eneo la Kituo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Government has confirmed that Uganda has registered the Indian Covid-19 variant B.1.617. Col Dr Henry Kyobe, the Covid-19 incident commander, yesterday said the country has now registered five...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wizara ya afya nchini Uganda imesitisha matumizi ya vitamin C katika kutibu virusi vya Covid-19 kutokana na matumizi mabaya ya wagonjwa. Vitamni C ndiyo moja ya dawa zilizokuwa zinatumiwa kWa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi hili bara lina laana gani? Mimi nilidhani Uganda kupata mafuta ndo neema kwa waganda kumbe yanasafirishwa ghafi hadi Ulaya ambapo huko yanaenda kusafishwa kuproccesiwa halaf wanayapaki...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom