Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Starting September 3, all travellers arriving in Uganda, including citizens, will be subjected to a mandatory PCR Covid test before they are cleared to enter the country. The Ministry of Health...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Imeripotiwa kuwa nchini Uganda kuna ongezeko la Wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao mara baada ya kujifungua Kuna taarifa kuwa Wanaume hunyonya maziwa yote na kuwanyima watoto haki yao ya...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Serikali ya uganda imekubali kupokea wakimbizi takribani 2000 kutoka nchini Afaghanisitani kufuatia anguko la serikali eliokuepo madarakani na wana mgambo wa kitalibani kuchukua madaraka ya nchi...
4 Reactions
273 Replies
21K Views
Mahakama ya katiba ya Uganda leo imetengua sheria ya kuzuia kuangalia picha za ngono. Mahakama imeamua kuwa Sheria hiyo ni kinyume na haki za binadamu so imewaruhusu watu kutuma, kuangalia na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wananchi nchini #Uganda wameonekana kujitokeza kwa wingi kupata chanjo ya #COVID19 ambapo wengi wamelalamika kutopatiwa chanjo kwa wakati Ongezeko la wanaohitaji chanjo limetokana na ongezeko la...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Polisi wa Uganda wameshtumiwa kwa ukatiliImage caption: Polisi wa Uganda wameshtumiwa kwa ukatili. Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameshutumu kile alichokitaja kuwa utovu wa nidhamu unaotekelezwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KAMPALA, Uganda -- At a COVID-19 vaccination site in the Ugandan capital, Kampala, tempers flared among those waiting for scarce AstraZeneca jabs, with some accusing others of trying to jump the...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Passenger train services in Uganda's capital Kampala have resumed after the country lifted a 42-day lockdown on July 30 following a reduction in the Covid-19 infection rate. Deo Kyomya, the...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Turkey-based Ugandan blogger and government critic, Mr Fred Lumbuye is being investigated on 15 different case files by Ugandan authorities following his arrest in Turkey last week, police have...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
The government has announced that Covid-19 vaccination will resume today and that medical students will be prioritised in this third rollout of vaccines to allow for the reopening of medical...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Ugandan opposition, activists denounce digital car tracker plan THURSDAY JULY 29 2021 Uganda's President Yoweri Museveni arrives at the UK-Africa Investment Summit in London, Britain January 20...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Wananchi wa Uganda wameonesha kukasirishwa na hatua ya serikali ya nchi hiyo kutoa zaidi ya dola milioni 30 za Marekani (sawa na zaidi ya Tsh bilioni 69.5) fedha za kununua magari ya wabunge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uganda imethibitisha kuwa watu zaidi ya 800 walichomwa maji badala ya chanjo ya #COVID19 Watu hao wamechomwa kati ya Mei 15 hadi Juni 17. Wataalamu wamesema hawako katika hatari kwa kuwa ni maji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mamlaka za nchini Uganda zimesema zaidi ya watu 800 na wateja wa idadi siyojulikana kutoka kampuni kadhaa katika jiji la Kampala walipokea chanjo feki za ugonjwa wa Covid-19. Ripoti hiyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Polisi wamezuia watu kugawa chakula kwa wasiojiweza kipindi hiki cha ‘Lockdown’ kwa kuwa wanakiuka miongozo ya Afya ya Kudhibiti maambukizi ya #COVID19 Wanaotaka kugawa chakula wametakiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Polisi nchini Uganda inawashikilia wahudumu wawili wa afya kwa madai ya kuhusika kuwachoma takriban watu 800 chanjo feki za corona mwezi uliopita. Mtu mmoja, ambaye ni daktari, anatafutwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali ya Uganda imeunda tume yenye wajumbe 9 itakayozuia kusambazwa na kutumiwa kwa picha, video na vitu vingine vinavyochochea ngono. ======== Uganda's Ethics minister Simon Lokodo. The...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Mamalaka zimeripoti watu 73 kuuawa katika wiki moja iliyopita kutokana na magomvi ya nyumbani na kupungua kwa doria na kuvurugwa kwa watu kutokana na ‘lockdown’ kuongezwa kwa siku 42 Wengi huuawa...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Mkazi wa Kalaki katika kaunti ya Ogwolo nchini Uganda amemnyonga mtoto wake wa miezi 9 baada ya kutopokea hela za serikali wanazopewa watu wasiojiweza kipindi hiki cha COVID19. Mkuu wa Wilaya ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ni baada ya Rais Museveni, kuwaelekeza maafisa wa usalama kufanya uchunguzi wa haraka na kuwakamata waliokuwa wanasambaza habari feki kuwa amekufa Msemaji wa Idara ya Upelelezi nchini humo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom