Robert Amsterdam, the International lawyer and comrade to National Unity Platform (NUP) Presidential Flagbearer Robert Kyagulanyi Ssentamu alias Bobi Wine, feels he has so much power around him...
Foreign affairs minister Sam Kutesa Wednesday urged all stakeholders in last week’s presidential and parliamentary elections to move on following results announced by the Electoral Commission...
Ugandan opposition leader Bobi Wine on Sunday urged the international community to demand he be released from "house arrest" after a disputed election returned President Yoweri Museveni to office...
Idadi kubwa ya mawaziri akiwemo makamu wa rais na wabunge wa mlengo wa serikali wamepoteza ubunge, Waganda wameamua, wamefanya aina ya maamuzi tuliyofanya zaidi ya miaka 20 iliyopita, ukombozi wa...
Kwa mujibu wa matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya DW mchana wa leo, tayari salamu za pongezi kwa ushindi wa kishindo wa Museveni zimeanza kumiminika Uganda.
Wakati salamu hizo zikienda huko, ugeni...
Ktk biblia imeandikwa kuwa zitiini mamlaka zilizowekwa ikiwa ni msisitizo kuwatii viongozi wote wa umma na jeshi kwa ujumla kwa maamzi yote yanayoamriwa.
Mambo yalianza kuwa tofauti kwa mfalme...
Tume ya Uchaguzi (EC) imemtangaza Yoweri Museveni (76) aliyeongoza Taifa hilo tangu mwaka 1986 kuwa Mshindi wa nafasi ya Urais kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Januari 14, 2021
Tume imesema...
Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake.
Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema...
Jeshi limezunguka na kuingia kwenye nyumba ya Bobi wine na kumuweka chini ya ulinzi, Bobi amelalamika uchaguzi ulikuwa na ubadhilifu na amejitangaza kama raisi wa nchi hiyo na kwamba ameshinda kwa...
Ukiangalia baadhi ya matukio ya kisiasa Africa utabaki kujiuliza maswali mengi yasiyo na majibu. Baada ya Uchaguzi wetu Tanzania kuleta taharuki nyingi leo wote tunaangazia uganda kinachoendela...
Mgombea wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine amepinga matokeo ya uchaguzi ambayo yametangazwa hadi sasa na kujitaja binafsi kama rais mteuli, licha ya tume ya uchaguzi kusema kuwa sio kura zote...
Polisi nchini Uganda wamevamia hoteli moja ambako kikundi cha wanaharakati wa mashirika ya kiraia na wakaguzi wa uchaguzi walikuwa wamekusanya taarifa kutoka kwa waangalizi wengine wa uchaguzi...
Dunia imeendelea kushuhudia matukio ya viongozi mbali mbali wa Afrika wakigeuka miungu watu nchini kwao.
Uganda inashuhudia babu M7 akiwania uongozi hata baada ya kufikisha miaka 76,uzee ushapiga...
Watetezi wa haki za binadamu wanne wa Kenya wamekamatwa nje ya ubalozi wa Uganda jijini Nairobi asubuhi muda mfupi kabla ya kuwasilisha taarifa yao kwa vyombo vya habari kuhusiana na ukatili wa...
Huyu mzee tulimuonya tangu mapema sana kwamba miaka aliyoingoza Uganda inatosha , mwaka ujao asigombee tena , kwa bahati mbaya sana akapuuza.
Akaanza Juhudi za kishetani za kupunguza miaka yake...
Leo Uganda wanapiga kura uchaguzi mkuu
Tume ya uchaguzi Tanzania iko vizuri ona Uganda Bob wine kamaliza kupiga kura kituoni leo asubuhi ona vurugu kituoni utafikiri mkutano wa kampeni