Wanahabari wasiokuwa na idhini ya kuangazia uchaguzi mkuu wa Uganda wamezuiliwa kufanya hivyo.
Katika taarifa iliyotolewa Jumatano usiku na Inspekta Jenerali wa polisi nchini humo, Meja Jenerali...
Miaka ile wakati Dr. Kiiza besige akipigwa hadharani na polisi wa Uganda huku wakimweka kizuizini wakati wa kampeni na katika maisha yake ya kawaida, kwa kosa la kushiriki siasa na kugombea nafasi...
Maafisa wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, wameitaka Uganda kudhibiti vurugu za vikosi vya usalama na kuwaondolea mashitaka wapinzani wa kisiasa na wanaharakati waliokamatwa katika kile...
Ripoti za vyombo vya habari Uganda vinakariri mashahidi wakisema kwamba Francis Kalibala, aligongwa na gari la jeshi la Uganda UPDF wakati msafara wa Bobi Wine ulikuwa unarudi Kampala kutoka...
Tume inayosimamia mawasiliano nchini Uganda (UCC) imeandika barua kwa kampuni ya Marekani ya Google, ikiitaka kampuni hiyo ifunge stesheni kadhaa za televisheni zinazopeperusha matangazo yake...
Polisi Uganda wamkamata mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu ambaye ni mkosoaji wa serikali. Hata hivyo polisi wamewaruhusu mawakili wa mwanaharakati huyo maarufu Nicholas Opiyo kuzungumua...
Mwaka ujao 2021 Museveni anaenda, hatoboi Muzungu keshamchoka na sasa na hatomkingia kifua tena, color revolution imeingia Uganda, kutatokea maandamano makubwa nchini Uganda ambayo hayajawahi...
Watanzania tumetoka katika uchaguzi siku chache zilizopita lakini jirani zetu wa Uganda wanaelekea katika uchaguzi siku chache zijazo.
Mlio na nafasi jaribuni kufuatilia katika TV za Uganda hasa...
Due to the surging Covid-19 infections and persistent violation of Standard Operating Procedures (SOPs) by some political candidates, the Electoral Commission (EC) has suspended campaign meetings...
Pendekezo la viongozi wa dini ya Kikristo nchini Uganda kutaka uchaguzi uahirishwe kwa miaka mitatu limepokelewa kwa maoni mbalimbali.
Viongozi wa kidini wamejitokeza na wazo hili wakisema kuna...
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa limesema zaidi ya wakimbizi milioni 1.2 nchini Uganda watapunguziwa mgao wa fedha na chakula kuanzia mwezi Februari kutoka kwa wafadhili wa...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametishia kutumia nguvu zote kukabiliana na wanasiasa wa upinzani aliosema wanatishia wafuasi wake wa chama cha National Resistance Movement (NRM).
Museveni amesema...
Kiukweli nimeamini na nimekubali kuwa katika ulimwengu wa siasa Tanzania inafuata utawala wa sheria.
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema ataongea na Jaji mkuu wa nchi hiyo ili kufuta dhamana...
Bob Wine ameingia kwenye siasa za upinzani wa kweli nchini Uganda sasa ni miaka 3.kwa muda huo mfupi ameonyesha kumpinga rais wa Uganda mh Mseven kwa vitendo bila kuogoapa.
Mseven kwa kutumia...
Habari Wana Kijiji,
Habari za hivi punde zilizo wasilishwa na wana familia sambamba na vyombo vya habari ni kuwa "NAIBU WAZIRI MKUU WA UGANDA MR. ALI KIRUNDA KIVEJINJA" afariki dunia.
Mungu...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye anawania muhula wa sita madarakani, amesema kwamba hajaona mtu mwenye uwezo wa kuongoza Uganda kwa sasa, na hivyo ataendelea kuwa madarakani kwa sababu wapiga...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC.
Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais...
Tume ya Mawasiliano ya #Uganda (UCC) iliitaka Google ifunge YouTube Channels 17 ikiwemo Ghetto TV inayomilikiwa na Bobi Wine kwa madai kuwa zilitumika kueneza machafuko yaliyotokea hivi karibuni...
Rais Museveni amteua tena mwanae kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi.
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ambaye pia ni amiri jeshi mkuu amefanya mabadiliko katika jeshi la Uganda (UPDF)na kumrejesha...
Uganda's only female presidential candidate Nancy Kalembe has suspended campaigns over lack of funds.
Ms Kalembe made the announcement while appealing for funds from the public. She said she was...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.