Ugandan communications regulator has issued a reminder to broadcasters after their coverage of the protests. The commission urges the media to act responsibly in broadcast of content containing...
Vyombo vya dola vya Uganda vyamuachia huru Bobi Wine; waliouawa katika ghasia wapindukia 60+SAUTI
Nov 20, 2020 14:27 UTC
PAKUA
Kiongozi wa chama cha upinzani cha National Unity Platform (NUP)...
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika maandamano na vurugu nchini Uganda wanaodai Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine aachiwe huru imeongezeka na kufikia 37, kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi...
Ghasia zimezuka katika miji mbalimbali ya Uganda kufuatia kukamatwa kwa mgombea urais Robert Kyagulanyi.
Picha za angalau watu watatu wanaoaminika kuuawa katika ghasia hizo mjini Kampala pekee...
Tanzania tunatumia lugha na msamiati wa neno "mabeberu" huko Uganda nako m7 kaja na mapya na yeye kaja na msamiati wa neno "mashoga" kwamba ndo wanafadhili upinzani pamoja na vikundi vya nje...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ashutumu vikali wanasiasa wanovunja masharti ya kudhibiti virusi vya corona wakati huu wa kampeni za uchaguzi wa rais.
Kauli hiyo imetolewa na mgombea huyo wa urais...
Polisi nchini Uganda wamesema kwamba watu 16 wamefariki na 65 kujeruhiwa kufuatia vurugu zilizotokea baada ya kukamatwa kwa mgombea wa urais Robert Kyagulanyi maarufu Bobi wine.
Msemaji wa polisi...
Polisi nchini humo wamesema idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na maandamano yaliyoibuka baada ya kukamatwa kwa Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) imefikia saba.
Msemaji wa Polisi, Fred Enanga...
Mgombea Urais wa nchi hiyo, Mugisha Muntu amesitisha kufanya kampeni zake mpaka Wapinzani wengine waliokamatwa jana watakapoachiwa
Muntu ametaka Mamlaka kuwaachia huru Robert Kyagulanyi almaarufu...
Mabibi na mabwana pamoja na yetu machungu, hebu na tuyaone ya wenzetu katika zile chaguzi za ghiliba ambazo labda ni bora tu zisingekuwapo.
Bobi Wine aka Robert Kyagulanyi (mmoja wa candidates...
Robert Kyagulanyi anayefahamika zaidi kama Bobi Wine amekamatwa leo asubuhi katika Wilaya ya Luuka ambapo alipanga kufanya mkutano ili azungumze na wafuasi wake
Polisi wanamtuhumu Mgombea huyo...
Gazeti la Daily Monitor la Uganda linaripoti kuwa daftari la kitaifa la wapiga kura limepelekwa Uholanzi kwa ajili ya kuhakikiwa.
Tume ya uchaguzi imeipa zabuni kampuni ya Uholanzi kuondoa majina...
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imepiga marufuku mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu mwaka ujao 2021.
Marufuku hiyo imetolewa siku moja baada ya rais Yoweri Museveni...
Waangalizi wa Uchaguzi wa ndani wameitaka Tume ya Uchaguzi Nchini humo (EC) kupinga shinikizo lolote la kuchapa karatasi za kura za Uchaguzi ujao wa 2021 ndani ya nchi kwa kuhofia kuharibu...
Zaidi ya wafuasi 130 wa chama cha NUP kinachongozwa na mwanasiasa wa Uganda Robert Kyagulanyi watafikishwa katika Mahakama ya Jeshi kujibu mashtaka ya kupatikana na vitu vinavyodaiwa kuwa sare za...
BREAKING! Bobi Wine violently arrested after nomination
Bobi Wine being driven to unknown location (PHOTO/Courtesy).
KAMPALA — National Unity Platform President and flag bearer Robert...
Uganda’s electoral body cleared President Yoweri Museveni to seek re-election, paving the way for one of Africa’s longest-serving leaders to extend his more than three-decade rule.
Museveni, 76...
Mamlaka nchini UgaDna imepiga marufuku miungano ya zaidi mashirIka 60 iliyobuniwa kuchunguza uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 kwa misingi kwamba sio halali.
Ofisi ya Kitaifa ya Uganda ya Mashirika...
Business between South Sudan and other east African countries downstream is expected to become much easier when Uganda completes construction of a modern logistics hub just closer to the border...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.