Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

The Ministry of health has confirmed 701 new cases of Covid-19, the highest the country has ever registered since the pandemic outbreak in March this year. A statement from the ministry shows...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mgombea Urais wa Uganda kupitia NUP, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) amesema kinachompa imani kuwa wanaweza kuushinda udikteka ni historia ya Vijana kuwa chachu ya mabadiliko barani Afrika. Katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Uganda jaji Simon Mugenyi Byabakama, amesema kwamba tume hiyo haitasita kumchukulia hatua rais Yoweri Museveni ambaye ni mgombea urais kupitia chama cha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
A two-day Uganda presidential candidates' debate has been cancelled indefinitely. The inter-religious council that was organizing the debate scheduled to start on Friday said the cancellation was...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kwamba wanasayansi nchini humo wamepiga hatua kubwa sana katika kupata tiba dhidi ya Corona. Katika hotuba kwa taifa jana jumapili, Museveni amesema kwamba...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mgombea urais nchini Uganda Robert Kyagulanyi ameshinda katika makao makuu ya tume ya uchaguzi kwa ajili ya kuwasilisha lawama za namna wanavyohujumiwa na kunyanyaswa na vyombo vya usalama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu kadhaa wamejeruhiwa wakati ambapo vikosi vya usalama vilikuwa vinawatawanya wafuasi wa mgombea urais wa upinzani Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, eneo la Kayunga, karibu na Kampala...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Uganda has deported journalists attached to CBC News, a Canadian public broadcaster, who were in the country to cover the 2021 General Election. The journalists include Margaret Evans, Lily...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Police said they have commenced investigations into the killing of 54 people during the recent protests to establish culpability and prosecute the perpetrators. The police categorised the dead...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora imemfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Igunga muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Igunga, Wallace...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni amewaambia raia wa Uganda wasidhani kuwa wanasiasa hawaguswi na sheria kiasi cha kuwafanya waandamane wanasiasa wakikamatwa Amewaambia pia wafuasi wa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahakama ya juu nchini Uganda imemuhukumu kifungo cha jela mgombea wa zamani wa urais kwa kutumia lugha ya matusi dhidi ya majaji , ikiwa ni pamoja na kuwaita majaji "Wapumbavu wasio na uwezo wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati Yoweri Tibabuhurwa Kaguta Museveni alipochukua madaraka kuongoza Uganda mwaka 1986 alikuwa kijana wa miaka 42. Miaka 34 baadaye anaingia kwenye kinyang'anyiro cha kutetea kiti chake dhidi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mgombea Urais nchini Uganda kupitia NUP, Robert Kyagulanyi au Bobi Wine na msafara wake wamelazimika kulala kwenye magari huko Migera Katika Ukurasa wake wa Twitter, Bobi Wine ameandika Polisi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Clashes between police and protesters furious over the arrest of Ugandan opposition presidential hopeful and musician Bobi Wine have left dozens dead and hundreds under arrest, police said Friday...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Vyombo vya habari vya kibinafsi nchini Uganda, vimekataa kupeperusha hotuba ya rais Yoweri Museveni ambayo alikuwa amepanga kufanya kila Jumapili, kuanzia saa moja kamili jioni hadi saa tatu usiku...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea. "I am not here because I committed a crime. I am...
34 Reactions
134 Replies
13K Views
Idadi ya watu waliokufa katika maandamano Uganda wafikia 45 Polisi nchini Uganda imesema kuwa idadi ya vifo vilivyotokea katika maandamano ya wiki iliyopita imeongezeka na kufikia watu 45...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Uganda is currently descending into caso all because one man thinks it's his God given right to rule Uganda without opposition. If we're not careful, things could get a lot worse before Uganda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa nchi hiyo kupitia National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi anayefahamika zaidi kama Bobi Wine amepata dhamana baada ya kukamatwa Jumatano Kwa mujibu wa Polisi, Mgombea...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom