Uamuzi wa serikali ya Uganda kuza watu ada ya kufanyiwa kwa hiari vipimo vya Covid-19 huenda vikaathiri usafiri kurejelewa kwa shughuli za utalii na biashar kwa
Hatua hiyo pia huenda ikawaathiri...
Bobi Wine anasema madai hayo ni jaribio lingine la kuhujumu upinzani
Mahakama nchini Uganda imemtaka mwanasiasa wa upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine, kufika mbele yake kujibu tuhuma...
Mwana mziki na mwana siasa nchini Uganda kijana Robert Kyagulanyi maarufu kama Bob Wine amesema kuwa ni lazima sasa Rais Museveni athibitishe uraia wake.
Ameyasema hayo leo hii kwenye makao makuu...
President Yoweri Museveni has issued an advisory for Ugandans to stop traveling to neighboring Rwanda, in yet another twist in the ongoing diplomatic negotiations between the two countries...
Safinah Namukwaya hakutegemea kuwa angekaa miaka 47 bila kupata mtoto baada ya kuolewa.
Wakati Safinah Namukwaya alipoolewa na Badru Walusimbi, mkaazi wa kijiji cha Nunda huko Lwabenge katika...
Miezi kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu wa Uganda utakaofanyika mwaka 2021, kijana mwenye umri wa miaka 19 amejitokeza na kuchukua fomu ya kugombea ofisi hiyo ya juu nchini humo.
Hillary Kaweesa...
Marekani imewafutia viza waganda wanne kwa tuhuma za rushwa zilizoathiri watoto katika mradi wa kuasili watoto
Msemaji Mkuu wa Marekani, Mike Pompeo amesema majaji wawili, Moses Mukiibi na Wilson...
Watoto 10 wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika Mji wa Arua. Eneo hilo limekuwa na mvua kubwa ambazo zimeambatana na radi
Imeelezwa watoto hao walikuwa wakicheza mpira na waliamua...
Joto la uchaguzi nchini Uganda limezidi kupanda baada ya vyama vya upinzani nchini humo kujiunga ili kutengeneza nguvu ya pamoja.
Bob Wine ameibukia kuwa tishio kwa rais M7 bila uoga na vitisho...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kizza Besigye amewaambia wafuasi wake kwamba hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2021.
Alikuwa akizungumza katika ofisi za chama cha Forum for...
Chama cha The Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda kimejipata katika njia panda baada ya muasisi wa chama hicho na mgombea mara nne wa urais , Kizza Besigye, kukataa ombi la kupeperusha...
Uganda imeamua kutumia wanajeshi kuzuia muingiliano na Watanzania mpakani, maana watu wanaotokea Tanzania kila wakipimwa wanakutwa na kirusi, kwa sasa hamna cha undugu tena mpakani. Kule Tanzania...
Vyama viwili vya upinzani nchini Uganda vinazozana juu ya haki ya kutumia rangi nyekundu, kila chama kikidai kuwa ndicho kina haki ya kuitumia rangi hiyo kama utambulisho wake.
Chama kikongwe cha...
Mwanaume wa miaka 33, mkazi wa Lira, Uganda anashikiliwa na polisi baada ya kuwaua ndnguze waliomtuhumu kuiba kuku na redio
Mtu huyo alimkataka mjomba wake, Jackson Olong na alimshambulia mke wa...
Binti wa miaka 16 nchini Uganda amekatwa mkono baada ya kukataa kuolewa,tukio hilo linadaiwa kutekelezwa na mwanaume ambaye amemkataa.
Polisi nchini humo wanaendelea kuchunguza tukio hilo la...
Rais wa Ugnda Yower Museveni amethibitisha kugomea tena kwa muhongo wa nne tangu aanze kuwa Rais wa Uganda.
Kiongozi huyo aliyeanza kuwa Rais wa Uganda mwaka 1986 na kuwa Rais wa Nchi hiyo kwa...
President Yoweri Museveni has joined world leaders in mourning Tanzania’s third President Benjamin Mkapa who passed away this week.
Museveni hailed Mkapa for his role in bringing unity in Uganda...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameruhusu waendesha boda boda na texi kuwabeba abiria kwa masharti kwamba lazima wavae barakoa kuzingatia muongozi wa kuzua maambukizi ya corona.
Rais pia...
Despite Tanzanian authorities denying and hiding corona virus cases, their Uganda neighbors are busy exposing them by identifying new cases of the disease on drivers from Tanzania. This is now put...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.