Ama kweli mchele ni mmoja mengine ni mambo ya mapishi tu.
Kama ilivyokuwa kwetu, mganda naye anaelekea tuliko fika: yaani a Corona free country:
COVID-19: Victory in Uganda as the Country...
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 11 baada ya kupima sampuli 2,575 na jumla ya walioambukizwa Virusi hivyo nchini humo imefikia 2,040
Aidha, nchi hiyo pia imewarudisha madereva wa malori 27...
Wizara ya Afya nchini humo imesema kuna ongezeko la Wagonjwa 23 baada ya sampuli 2,219 kupimwa jana na kufanya jumla ya Wagonjwa kufikia 797. Wagonjwa wapya wote ni Waganda
Katika ya Wagonjwa...
Credit: Vision Reporter
The gold, according to sources, belongs to a Tanzania-based gold dealer.
SMUGGLING
The Police Mineral Protection Unit is reported to have intercepted 93kg of gold worth...
Chama Cha waendesha bodaboda, NFPC wameishtaki serikali ya Uganda kwa kuwa na ubaguzi kwenye kuruhusu usafiri wa umma kuendelea kufungia waendesha bodaboda kuteweza kuendelea na biashara yao
Kesi...
Nchi ya Uganda imeingiza kiasi cha dola bilioni 1.3 kutokana na uwepo wa kampuni ya kuchakua dhahabu dhahabu ya “Africa Gold Refinery”. Kiasi hicho kinaifanya Uganda kuwa miongoni mwa nchi za...
Duh! Kumbe Watanzania walikua wamenunia na Waganda pia, hawa wenzetu diplomasia imewashinda, sasa ni mwendo wa full migogoro na majirani wote.
Hii ni baada ya Tanzania kusalimu amri kwa Kenya na...
Benki ya Dunia (WB) imepitisha bajeti ya Dola za Marekani Milioni 300 ili kusaidia Uganda kukabiliana na janga la #CoronaVirus.
Taatifa ya WB imesema fedha hizo zitatumika kuongeza uwezo wa...
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 19 vya CoronaVirus baada ya kupima sampuli 2,170 na maambukizi ya nchi hiyo yamefikia 889.
Katika visa vilivyotangazwa leo, 11 walisafiri kutoka...
Ikumbukwe hapa kuwa ni Rais Magufuli pekee barani Afrika aliyekataa kuwafungia wananchi ndani yaani lockdown licha ya shinikizo kubwa kutoka kwa Chadema na ACT wazalendo.
Rais Museveni wa Uganda...
Mwanamke Mmoja na mpwa wake wamefikishwa Mahakamani nchini Uganda Wakituhumiwa kuingia nyumbani kwa Mwanaume na kujificha juu ya dari kisha kumrecord Video wakati akijamiiana na baadaye wakamtaka...
Wizara ya Afya imethibitisha ongezeko la visa vipya 9 vya COVID19 na jumla ya maambukizi nchini humo hivi sasa ni 741
Wagonjwa wapya wote ni Waganda, 4 ni madereva wa malori waliotokea Kenya (2)...
Tume ya uchaguzi Uganda yazuia kampeini za mikusanyiko badala yake wagombea wajinadi kwa kutumia mitandao ya kijamii na TV.
===
TUME ya Uchaguzi ya Uganda imepiga marufuku mikusanyiko ya kampeni...
Wafiadini wa Uganda
Nchi ya Uganda iliwahi kupatwa na dhuluma dhidi ya dini, hasa Ukristo, hususan madhehebu ya Anglikana na Kanisa Katoliki. Waliouawa katika mazingira ya namna hiyo, wanaitwa...
Viongozi wa upinzani Uganda Kizza Besigye na Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine wameunda muungano wa upinzani.
Robert Kyagulanyi wa vugu vugu la People Power kwa pamoja na Dkt. Kizza Besigye...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewaagiza mawaziri wote kupima COVID-19 kabla ya kuhudhuria kikao cha baraza la mawaziri kila Jumatatu.
---
“My test results turned out negative on Saturday...
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya vya #COVID19 na maambukizi yamefikia 705 huku idadi ya waliopona ikiwa 299
Katika visa hivyo, watano aliokuwa karibu na wagonjwa ambao tayari...
Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha...
Wizara ya Afya imethibitisha Wagonjwa wapya 8 baada ya sampuli 2,423 kupimwa Juni 09, 2020 na kufanya jumla ya Visa nchini humo kufikia 665. Wagonjwa wote wapya ni Waganda
Kati ya Wagonjwa, wanne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.