Wizara ya Afya Uganda imetangaza ongezeko la Wagonjwa 21 wote wakiwa raia wa Uganda na wamepatikana baada ya sampuli 1,071 kupimwa katika mipaka ya nchi hiyo
Wagonjwa hao wamepatikana katika...
Visa ya #COVID19 nchini Uganda vimefikia 160 baada ya visa vipya 21 kutangazwa jana kufuatia sampuli 1,896 kupimwa hapo jana
Kati ya sampuli hizo, 1,593 ni madereva wa malori na 303 ni sampuli...
Arua, Uganda | THE INDEPENDENT | Five Tanzanian truck drivers who tested positive for COVID-19 have been discharged from Arua Regional Referral Hospital. They include four drivers who were...
Serikali ya Uganda imeanza kutumia mashine za GeneXpert mipakani, ili kuwapima madereva wa magari ya mizigo kabla ya kuingia nchini humo
Taarifa kutoka Wizara ya Afya imesema kumekuwa na...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa itakua ni 'uwendawazimu' kuendesha uchaguzi wakati wa mlipuko wa virusi vya corona.
Ameliambia shirika la habari la Uganda NBS kwamba mipango ya...
Wakati Kenya ikilalamika kwamba Tanzania ndio chimbuko la virusi, waganda wanaiona Kenya ndio nchi yenye kuingiza virusi kwa wingi nchini mwao.
Tanzania haijachukua hatua Kali kama kuwauwa raia...
Wizara ya Afya imesema dereva mmoja amekutwa na maambukizi baada ya sampuli 2,168 za madereva kufanyiwa vipimo.
Dereva huyo ni raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 27 na aliingia Uganda kupitia...
Katika hali ya kushangaza, kutia aibu na kusikitisha, Raisi Museveni ameitisha maombi ya nyumbani, ambapo yeye akiwa na mkewe wameonekana wakiongozwa maombi na muombaji ambaye aliomba kuwa...
BREAKING: ministry of healthy of uganda has reported again today
13 truck drivers test positive for coronavirus in Uganda
[emoji3532]Results of samples tested on 8 May, 2020 confirmed 13 new...
Kama ambavyo tumekuwa tunashauri, maisha hayawezi kusimama kabisa. Ni kweli lipo janga lakini tujikinge wakati mambo mengine yanaendelea.
Tulisema kuwa baadhi ya nchi nyingi zili over react, of...
Wizara ya Afya ya Uganda imesema kuwa idadi ya wagonjwa wa corona nchini humo imefikia 101 kutoka wagonjwa 100.
Idadi hiyo imepanda baada ya Mtanzania mmoja ambaye ni Dereva wa Lori kutoka nchini...
NBS Television @nbstv
Lockdown yapunguzwa makali.
1. Uganda kuzuia madereva wa magar ya mizigo kutokushuka kwenye gar pale waingiapo uganda. Watoto wa kike wa kiganda waonywa kutembea na...
Wizara ya Afya ya Uganda imetangaza ongezeko la mgonjwa mmoja wa COVID19 nchini humo na idadi ya visa imefikia 89. Mgonjwa mpya ni dereva, raia wa Kenya aliyegundulika baada ya sampuli 2,729 za...
Wizara ya Afya Uganda imesema kuna ongezeko la wagonjwa watatu wa corona na kufanya idadi ya maambukizi ya jumla ua corona Uganda kufikia 88, wagonjwa wapya ni Dereva wa Lori MKenya na wa Burundi...
Huku idadi ya wagonjwa waliopona Corona kufikia28 baada ya wagonjwa wengine 6 kupona na kuruhusiwa kutoka hospitali leo hii.
Rais Museveni wa Uganda amesema kuwa“Nawapongeza madaktari na wahudumu...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya za kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada ya zaidi ya madereva 20 kupatikana na ugonjwa...
Uganda has confirmed 4 new COVID_19 cases out of 1,989 samples tested on Sunday 26th April. All patients are Tanzanian truck drivers who arrived via Mutukula border, Ministry ofHealth says. 411...
Baada ya mafanikio makubwa kukabili maambukizi ya corona Uganda , waziri Jane Ruth Aceng amepeleka team ya waatalamu mitaaani kutathmini hali halisi na hatimaye kuundosha lockdown kwa awamu...
President Yoweri Museveni has assured Ugandans that government in conjunction with the regional leaders is exploring ways of dealing with the continued imported cases of COVID-19 as a result of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.