Wahenga waliposema kuwa ukistaajabu ya Musa basi tegemea kuyaona ya Firauni kumbe walikuwa wako sahihi na wala hawakukosea na huenda sasa inabidi tuamini kuwa Watu wa zamani ( Mababu na Mabibi...
Hannington Nuwamanya, 32, mkazi wa Magogo amewatupa watoto wake wawili ndani ya Ziwa Magogo kisha kuchoma nyumba yake moto
Ndani ya nyumba hiyo alikuwepo Mtoto mwingine ambaye alifariki kutokana...
UGANDA: BOBI WINE AFANIKIWA KUTOROKA POLISI KWA KUTUMIA BODABODA
- Amefanikiwa kutoroka ulinzi mkali wa Polisi uliokuwa ukizingira nyumba yake huko Magere
- Inadaiwa anaelekea kwenye Tamasha...
Isma Ssesanga anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua Mtoto wake wa kike aliyekula chakula chake alichochukua kwenye sherehe
Mtoto Salama Nassanga mwenye umri wa miaka 10 alifariki baada ya...
Polisi wanamshikilia Mwanamke mmoja waliyemkata kwa kumgawa Mtoto wake wa miezi 3 kwa jirani yake
Annet Kabalisa amefanya kitendo hicho ili msaidie jirani yake Annet Kobusinge aliyepanga...
Waziri wa afya nchini Uganda, amezindua kipimo binafsi cha Virusi vya Ukimwi kwa kutumia mdomo lengo likiwa ni kuhamasisha wananchi kupima afya zao hususani wanaume.
Uzinduzi huo umelenga...
ARCHBISHOP Janani Jakaliya Luwum (left), head of the church of Uganda from 1974, and one of the most influential leaders of the modern church in Africa, with his assassin Dictator Idi Amin...
CROCODILE tears: idi amin, who accused his wife kay of adultery, visiting her at the mulago hospital in kampala, before he allegedly got her killed. watch the movie: the last king of scotland.
Uganda ni nchi ambayo haikuwahi kuwa koloni. Ingawa ilikuwa na mgawanyiko mkubwa wa kiimani. Uislam uliingia Uganda kutoka Kaskazini pia wafanyabiashara wa Kiarabu kutoka Pwani ya Afrika...
TANZANIA INASHINDWA WAPI ?
Uganda imesaini makubaliano na Urusi kuisaidia kujenga uwezo wake wa kutumia teknolojia ya nyuklia kwa matumizi ya kutengeneza nishati, dawa na matumizi mengine ya...
A court has sentenced a 29-year-old man to one month of community service for forcibly attempting to inherit his uncle’s wife.
Kitgum Grade One Magistrate Paul Obuya ruled that prosecution had...
Spika wa bunge Rebecca Kadaga amewashauri wabunge wa Uganda na maafisa wa itifaki kulinda hadhi yao wakati wote wa Mkutano wa 64 wa Bunge la Jumuiya ya Madola.
Mkutano huo, uliopangwa kufanywa...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Harvard na raia wa Uganda amefungua kesi akiwashtaki, Rais Yoweri Musreveni, Msemaji wa Serikali, Ofwono Opondo na Mkuu wa Kitengo cha Siasa ndani ya Idara ya Polisi...
This is to
bring to your attention that the
government planning to privatize the
CT2 container terminal 2 to certain top
government individuals. This is
depriving Mombasa residence of their...
Takriban watu 8 wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Modrrn Coast kugongana na Lori la mizigo katika barabara kuu ya Jinja-Tororo
Mashuhuda wamesema kuwa Lori hilo lilipoteza uelekeo na...
Safe houses: In whose interest does function of State security act?
A state is the constitutive virtual power of a polity (citizens) and a government is the administrative levers (or machinery)...
KAMPALA, UGANDA,
SERIKALI imeidhinisha hoja ya kutaka kubuniwa kwa Baraza la Kitaifa la Kiswahili litakalotoa mwongozo kuhusu mchakato wa kufanya Kiswahili kuwa lugha rasmi nchini Uganda...
Waganda wanena:
But these miss Uganda organizers are also not serious, Uganda is being elevated and the whole world is watching, and then you bring Zari to do that?, they would have chosen...
NIMEPENDEZEWA SANA NA HOTUBA ZA RAIS YOWERI MUSEVEN
HASA HIZI MBILI ALIZOZITOA DAR JUZI ZINA MAFUNZO MENGI SANA
Kama ilivyo hapo juu, kwa kweli Rais Yoweri Kaguta Museven ni...